Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,559
- 11,180
Mkuu hizi roho za kwanini tunazo huku kwetu uswahilini kwenye kuuza bagia na maandazi na bidhaa zingine za dukani, utamzuiaje Zambia asipitishe mahindi kupeleka Kenya wakati ya kwako yapo bei juu? Kinachotakiwa ni kujifunza kwanini mahindi ya Zambia na umbali wote yanakuwa bei rahisi kuliko sie ambao tupo pua na mdomo na Kenya bei inakuwa juuTaarifa umeipata wapi ndugu?
Na mahindi ya Zambia si lazima yapitie Tanzania ndipo yaende Kenya?
Iwapo na sisi tukizuia yasipite itakuwaje?
Nadhani umefika wakati wawakilishi wa mataifa haya wakae na kuzungumza. Hizi "stunts" hazitamfaidisha yeyote yule.