Antonio de Guzman
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 7,090
- 13,511
Ni haki yao lakini maana wamepunjwa daraja mojaYah,
Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni haki yao lakini maana wamepunjwa daraja mojaYah,
2012 madaraja matatu ni sawa?
Walimu ni kundi la watu wajinga haswaHali ya walimu TZ ni aibu Kwa taifa na ni indicator ya poor education system nchini!!
Kuna mwalimu nilimtoa out mhudumu kuleta chenchi ya elfu nne nikamwambia ampe aliirukia kwa mshtuko mpaka nikaona aibu Mimi!!
Viongozi nao wanawalaghai sana na kuwachezea kwa viahadi vyakuwapanga kazi maalumu chache zitokeazo!!
Walimu wengi wakike wanateseka mmmno kwa kudhulumiwa kingono na viongozi uchwara kwenye halmashauri zao huu ni ukweli usiosemwa!!
Wataongezwa laki 1 lakini inakatwa kodi na mfumoko wa bei balaaHii serikali ya ccm usitegemee chochote
Kweli yule laaanatullah jiwe mungu wa wajinga ndio source ya upuuzi wote.Mwasisi wa hizi changamoto ni yule baba anayesifiwa sana na watu wa kanda flani. Kwa maoni yangu, jamaa aliharibu momentum ya vitu vingi. Niweke nukta hapa kwa sasa.
Kweli yule laaanatullah j
Na ndiyo wanatuandalia watoto wetu,sijuwi tunaandaa taifa la namna ganHali ya walimu TZ ni aibu Kwa taifa na ni indicator ya poor education system nchini!!
Kuna mwalimu nilimtoa out mhudumu kuleta chenchi ya elfu nne nikamwambia ampe aliirukia kwa mshtuko mpaka nikaona aibu Mimi!!
Viongozi nao wanawalaghai sana na kuwachezea kwa viahadi vyakuwapanga kazi maalumu chache zitokeazo!!
Walimu wengi wakike wanateseka mmmno kwa kudhulumiwa kingono na viongozi uchwara kwenye halmashauri zao huu ni ukweli usiosemwa!!
Sijajua but Kwa ajira ya 2014 walitakiwa mwaka 2025 waingie daraja la 3 Mpaka sasa wanalo Moja hakuna usawa kabisa.. wakati mwingine sio wakati mwingine ni kweli wapinzani bungeni ni wa muhimu katika kuleta maebdeleo, upinzani sio vitaKwani kuna kada iliyoajiriwa 2014 ina daraja zaidi ya moja?!
Ni kweli atakayepinga labda kichwani Kuna gorori walimu wanateseka sanaNa ndiyo wanatuandalia watoto wetu,sijuwi tunaandaa taifa la namna gan
Ndugu yangu hao mawaziri matajiri watafikilia masikini kweli? Fikiria ajira ya 2014 na 15 wanadaraja Moja wakati 2025 walitakiwa kuwa na daraja la3 sasa hv wanatafuta la 2 usawa haupo kabisaNimeshangaa sana naibu waziri kuongelea walimu wa 2013 wakati hawa walipanda 2019 na pia mwaka 2023 wamepanda,wakati walimu wa 2014 na 2015 toka wameajiliwa hadi leo hii wana daraja moja tu wakati walitakiwa kuwa wanalotafuta daraja la tatu.
Fikiria ndalichako kama waziri wa Elimu 2015 alipandisha gafla vigezo vya kuingia chuo kikuu Kwa Nchi masikini tuliozidiwa na Kenya Kwa Elimu Kwa mbali tu, je watu wa 2014 kushuka wanapataje vigezo vya TCU alihali vimebadilika, nilitegemea waje na aina Mbili ya udahiri 1. Waliomaliza 2014 kushuka waende na D+E or E+E . 2 WALIOMALIZA 2015 MPAKA SASA WAENDE NA HIZO D+DCCM wanawaza uchaguzi na matumboYao ,hawataki watanzania wapewe elimu Bora
Hawalalamiki yaani watanzania mtu akiongea haki eti analalamika. Sasa unataka afanye Nini aonekane halalamiki?Serikali iangize maafisa utumishi wa halmashauri zote nchi nzima wabandike orodha ya watumishi waliokidhi vigezo vya kupanda hayo madaraja kwa mwaka wa huu wa fedha 2023/2024 ili hao wa 2014 na 2015 wanaolalamika waone kama chali au wategemee