digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,926
- 17,880
Jambo usilolijua nI bora kukaa kimya kuliko kujifanya mjuaji ukajiondolea hata kaheshima kadogo ulikokuwa nako.Wataongezwa laki 1 lakini inakatwa kodi na mfumoko wa bei balaa
Madaraja hayaji na ongezeko la laki moja,mfano mwalimu wa daraja c akipanda kwenda D kunaongezeko la,takribani 142K baada ya makato,mwalimu wa Daraja D Kwenda E kuna ongezeko la takribani 180K ,hinyo hivyo itapanda kulingana na daraja husika
Pongezi kwa serikali ya awamu ya sita