digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,926
- 17,880
Jambo usilolijua nI bora kukaa kimya kuliko kujifanya mjuaji ukajiondolea hata kaheshima kadogo ulikokuwa nako.Wataongezwa laki 1 lakini inakatwa kodi na mfumoko wa bei balaa
Walimu Mungu awasaidie sn maana akili zenu mnazijua wenyewe, 142K kabla ya makato inabaki nini? vitu vimepanda zaidi ya mara 3Jambo usilolijua nI bora kukaa kimya kuliko kujifanya mjuaji ukajiondolea hata kaheshima kadogo ulikokuwa nako.
Madaraja hayaji na ongezeko la laki moja,mfano mwalimu wa daraja c akipanda kwenda D kunaongezeko la,takribani 142K baada ya makato,mwalimu wa Daraja D Kwenda E kuna ongezeko la takribani 180K ,hinyo hivyo itapanda kulingana na daraja husika
Pongezi kwa serikali ya awamu ya sita
Kama Walimu unawachukulia hivyo, vipi watumishi wengine ambao mshahara wao uko chini ya ule wa Walimu?Walimu Mungu awasaidie sn maana akili zenu mnazijua wenyewe, 142K kabla ya makato inabaki nini? vitu vimepanda zaidi ya mara 3
WApi nimesema kabla ya makato mkuu,uelewa wako unatia shaka snaWalimu Mungu awasaidie sn maana akili zenu mnazijua wenyewe, 142K kabla ya makato inabaki nini? vitu vimepanda zaidi ya mara 3
Nyie walimu kupata akili itawachukua miaka 90 ijayoWApi nimesema kabla ya makato mkuu,uelewa wako unatia shaka sna
Mku Bado nasisitiza uelewa wako ni wa shida ,kujua kuandika tu ni nguvu za walimu,nadhani wewe ndo uelewa wko uko chini ikiwa unakubali kuwaacha watoto wako 8 hrs chini wa walimu nani mjinga hpo na bado unawaponda walimu si nishida iko kwa bichwa lako ?Nyie walimu kupata akili itawachukua miaka 90 ijayo
mnoooo!
Huna ulijualo zaidi ya kukaririshwa kama kasuku.Hakuna hakuna kada ya watu waoga kudai haki Yao kama walimu,hakuna kada ya watu wenye shida kama walimu,hakuna kada ya watu wanaodhalilishwa kama walimu.
Achana na huyo jobless,anataka tuandamane ili tufukuzwe kazi yeye aajiliweHuna ulijualo zaidi ya kukaririshwa kama kasuku.
Niambie kada zilizowahi kuingia barabarani kudai haki zao? Mara ya mwisho walikuwa ni Walimu (wakiongozwa na CWT ya Ezekiel Oluoch) na Madaktari (wakiongozwa na Dr.Ulimboka). Haya hizo kada nyingine zilishawahi kujaribu hilo?
Hao Maaskari (majeshi yote) wanaolipwa mafao kiduchu baada ya kustaafu walishawahi kufanya hilo walilofanya Walimu na Madaktari? Unafikiri huo sio uoga? Unajua pesa kiduchu wanayopokea Majenerali wastaafu?
La SALENDA ama... TANZANITEKauli hiyo imetolewa leo na Naibu Waziri wa Nchi, Utumishi na Utawala Bora Ndg. Ridhiwani Kikwete wakati anajibu maswali yaliyoulizwa na Mbunge wa Ngara Ndg. George Ruhuro Bungeni Dodoma.
Akieleza Naibu Waziri Kikwete amesema kuwa baada ya uhakiki wa taarifa za walimu ilibainika kuwa Walimu wapatao 52,551 wamefuzu vigezo vya kupandishwa madaraja ikiwemo Walimu 148 wa Halmashauri ya Ngara na wengine 54442 ambao walikuwa hawajapangwa katika madaraja ya kimshahara wakiwemo Walimu 540 watapangwa katika madaraja husika kwa njia ya Mserereko.
Anaongea utafikiri yeye ana jeuri ya kuzivimbia mamlaka. Baada ya Dr.Ulimboka kung'olewa kucha na meno nani mwingine alijitokeza kuvaa huo ujasiri? Hata huyo mpuuzi anayesema Walimu ni waoga yeye mwenyewe ni muoga nambari 1.Achana na huyo jobless,anataka tuandamane ili tufukuzwe kazi yeye aajiliwe
Acha polojo,mwl gani huyo anaenuka? Alafu wewe unapata sh ngapi kwa mwezi kiasi Cha kuona walimu ni duni kiasi hicho.shida mnataka sekta za rushwa ndio maana mnazalau walimuWalimu ndiyo kada pekee inayo dharaulika, kupunjwa, kuminywa haki za msingi, kutumikishwa kwa malipo duni, isiyo heshimika na serikali.
Ndiyo kada pekee yenye kutukanwa, kuagizwa na kufokewa na kila kiongozi hata kiongozi wa mtaaa.
Mshahara alio anza nao 2014 anaambulia nyongeza ya 130,000/=
Hatimaye anaishi kinyonge, mchafu kunuka, nyumba duni, nauri kukopa, mavazi duni, kutomidu bili ya umeme, maji, madeni lukuki.
Anaamua kuwa MLEVI Maana ndoto zimezima.
Huku wanasiasa na viongozi wa serikalini wakifurahia maisha na kulaumu walimu walivyo wavivu kwa kutojituma kufundosha muda wa nje ya kazi na weekend.
Angalia personal info. Kwenye ESSHali ipoje ndugu watumishi
Kwakweli na alale tu anapostahili.Mwasisi wa hizi changamoto ni yule baba anayesifiwa sana na watu wa kanda flani. Kwa maoni yangu, jamaa aliharibu momentum ya vitu vingi. Niweke nukta hapa kwa sasa.
Kuna nini humo?Angalia personal info. Kwenye ESS