Serikali: Walimu wa Shule za Sekondari na Msingi walioajiriwa ni elfu nane pekee

Mimi niko tofauti Sana, na izo ajira, mfano iyo idadi kila mmoja angepewa m 5 na kila mmoja azirudishe ndani ya miaka mitano bila riba, ndani ya miaka mitano wangefanya mahajabu,ajira ni utumwa wa fukra, wawezeshe watu wapambane na fulsa mbali mbali.

Mtaji wa ml tano mtu hawezi kosa Cha kufanya kuweza ingiza elfu 40 kila siku hivyo
Chukua 40×30= 1.2m
1.2×12=14.4 per year
14.4m×5yrs =almost 72 m
Wakati mshahara wa ualim
Ametengeneza pesa nyingi kwa miaka mitano sidhani Kama hata 30m inafika,
Mkuu acha kurahisisha hesabu biashara haiko hivyo.
 
Mimi niko tofauti Sana, na izo ajira, mfano iyo idadi kila mmoja angepewa m 5 na kila mmoja azirudishe ndani ya miaka mitano bila riba, ndani ya miaka mitano wangefanya mahajabu,ajira ni utumwa wa fukra, wawezeshe watu wapambane na fulsa mbali mbali.

Mtaji wa ml tano mtu hawezi kosa Cha kufanya kuweza ingiza elfu 40 kila siku hivyo
Chukua 40×30= 1.2m
1.2×12=14.4 per year
14.4m×5yrs =almost 72 m
Wakati mshahara wa ualim
Ametengeneza pesa nyingi kwa miaka mitano sidhani Kama hata 30m inafika,
Mkuu edit basi hii kazi.Wataanza kukukosoa sasa hivi
 
Majina yote yapitiwe upya na TISS na Takukuru kabla hawajaripoti vituo husika. Tamisemi wamefanya madudu kwenye hizi ajira
TISS wajikague kwa Madudu waliyofanya? Hiyo elfu 13 ilitangazwa na Magufuli na Tiss, huku Tamisemi wakiwa hawana hela ya kuajiri idadi kubwa hivo ya waalimu kwa mwaka huu wa fedha..

Kumbuka ajira hizo zilitangazwa kipindi Magufuli yuko hoi bin taaban kwenye Kampeni anaahidi tu kila kinachomjia kichwani
 
Watu wana pihechDii lakini hawajaachaga mazingaombwe!
 
Mimi niko tofauti Sana, na izo ajira, mfano iyo idadi kila mmoja angepewa m 5 na kila mmoja azirudishe ndani ya miaka mitano bila riba, ndani ya miaka mitano wangefanya mahajabu,ajira ni utumwa wa fukra, wawezeshe watu wapambane na fulsa mbali mbali.

Mtaji wa ml tano mtu hawezi kosa Cha kufanya kuweza ingiza elfu 40 kila siku hivyo
Chukua 40×30= 1.2m
1.2×12=14.4 per year
14.4m×5yrs =almost 72 m
Wakati mshahara wa ualim
Ametengeneza pesa nyingi kwa miaka mitano sidhani Kama hata 30m inafika,
Halafu hiyo elfu 40 kwa siku unakula na kulala kwa baba yako!
 
Hapo ndo shida na ndo huwa tunakatisha watu Tamaa , mkuu kuanza maisha ,sio Jambo jepesi, yote yanawezekana, ukiwa nyumbani,KWA ndugu hata KWA rafiki mbona wote tuliowengi, tumepitia njia hizo, unasoma mfano hata ukipata likizo nauli ya kwenda nyumbani inakosa inabidi kuungana na rafiki yako kwenda kwao Kama ni karibu, wakati mwingine siku mnaludi shule nyote mnafungashiwa matumizi ila leo tupo hapa,
 
Hapo ndo shida na ndo huwa tunakatisha watu Tamaa , mkuu kuanza maisha ,sio Jambo jepesi, yote yanawezekana, ukiwa nyumbani,KWA ndugu hata KWA rafiki mbona wote tuliowengi, tumepitia njia hizo, inasoma mfano hata ukipata likizo nauli ya kwenda nyumbani inakosa inabidi kulingana na rafiki yako kwenda kwao Kama ni karibu, wakati mwingine siku mnaludi shule nyote mnafungashiwa matumizi ila leo tupo hapa,
 
TUTAFANYAJE WAO NDO WENYE MALI WENGINE TUSHAJIKATIA TAMAA TUNAPAMBANA NA MAISHA YA KAWAIDA USIJE UKAFA KISA KUONGEA. HATA WATUDANGANYE MUNGU ANAWAONA IPO SIKU MUNGU ATAMCHUKUA KILA MMOJA ATENDA KUJIBIA MACHOZI YA MAELFU YA WATANZANIA WANAOKOSA AJIRA WAKATI SHULE ZINAJENGWA AJIRA ZINAPUNGUA
 
Hapo ndo shida na ndo huwa tunakatisha watu Tamaa , mkuu kuanza maisha ,sio Jambo jepesi, yote yanawezekana, ukiwa nyumbani,KWA ndugu hata KWA rafiki mbona wote tuliowengi, tumepitia njia hizo, unasoma mfano hata ukipata likizo nauli ya kwenda nyumbani inakosa inabidi kuungana na rafiki yako kwenda kwao Kama ni karibu, wakati mwingine siku mnaludi shule nyote mnafungashiwa matumizi ila leo tupo hapa,
Tatizo amekuwa too optimistic kwa hesabu alizopiga bila kujali matumizi mengine muhimu ya kibinadamu. Hivyo kwa uzoefu wetu wa maisha inabidi tum- caution ili asije akakata tamaa mambo yakienda tofauti na matarajio.
 
Mimi niko tofauti Sana, na izo ajira, mfano iyo idadi kila mmoja angepewa m 5 na kila mmoja azirudishe ndani ya miaka mitano bila riba, ndani ya miaka mitano wangefanya mahajabu,ajira ni utumwa wa fukra, wawezeshe watu wapambane na fulsa mbali mbali.

Mtaji wa ml tano mtu hawezi kosa Cha kufanya kuweza ingiza elfu 40 kila siku hivyo
Chukua 40×30= 1.2m
1.2×12=14.4 per year
14.4m×5yrs =almost 72 m
Wakati mshahara wa ualim
Ametengeneza pesa nyingi kwa miaka mitano sidhani Kama hata 30m inafika,

Mikopo haitolewi kwa watu wasio na biashara ukipewa pesa biashara ikafa utafanyaje?
 
Back
Top Bottom