Phlagiey
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 3,487
- 1,661
Mkuu acha kurahisisha hesabu biashara haiko hivyo.Mimi niko tofauti Sana, na izo ajira, mfano iyo idadi kila mmoja angepewa m 5 na kila mmoja azirudishe ndani ya miaka mitano bila riba, ndani ya miaka mitano wangefanya mahajabu,ajira ni utumwa wa fukra, wawezeshe watu wapambane na fulsa mbali mbali.
Mtaji wa ml tano mtu hawezi kosa Cha kufanya kuweza ingiza elfu 40 kila siku hivyo
Chukua 40×30= 1.2m
1.2×12=14.4 per year
14.4m×5yrs =almost 72 m
Wakati mshahara wa ualim
Ametengeneza pesa nyingi kwa miaka mitano sidhani Kama hata 30m inafika,