Serikali: Wanafunzi waliopata mimba kuendelea na Masomo katika mfumo rasmi

Maendeleo gani yakufundisha watoto uzinzi...Alafu hiyo lugha tu yako inakuonyesha u binadamu wa desturi gani no wonder unashadadia watoto wetu wapewe motisha za kuendeleza uzinzi mashuleni
 
Kwamba Msingi mwanao akuletee wajukuu wawili arundike hapo, sawa ili mradi anaendelea na masomo. O-Level akuletee wawili tena. Sawa, ili mradi anasoma. A-Level akuletee mmoja. Sawa, ili mradi anaendelea na masomo!

Wewe mzazi uko juu na nakukubali!
Wewe unataka mzazi aue mwanae kwasababu kamletea wajukuu?
Au unataka mzazi achukie na akatae mwanae kuendelea na masomo?
 
Au wewe mtaani kwako wamepewa mimba wangapi?
 
Anaupiga mwingi
 
Au wewe mtaani kwako wamepewa mimba wangapi?
Sina muda wa kufatilia nyege za mtu na matokeo yake ni mimba..mimba sio ugonjwa..mimba unaitafuta mwenyewe..karne hii hakuna anayebakwa bila ridhaa ya ukubalifu wake na maelewano yao..


Huyo hatakiwi kurudi shule kwa mfumo wa kwaida
 
Sina muda wa kufatilia nyege za mtu na matokeo yake ni mimba..mimba sio ugonjwa..mimba unaitafuta mwenyewe..karne hii hakuna anayebakwa bila ridhaa ya ukubalifu wake na maelewano yao..


Huyo hatakiwi kurudi shule kwa mfumo wa kwaida
Wewe ndiye umeuliza hilo swali kwanza ,, nikajua labda una utaalamu wa kufuatilia watiwaji mimba mtaani kwako.


Kikubwa matakwa ya wengi yameanza kutimizwa,, hiyo ndiyo demokrasia.
 
Meza zinapinduliwa kibabe mnooo, huo ndio ubaya wa kuwa dikteta uchwara, watu wanakusikilizia tu, ukichomoka tu wanakubadilikia, wengi unaohisi wanakusapoti hawakusapoti, ukweli ni kwamba wanakuwa wanakuogopa tu.
Kwani kabla ya awamu ya tano,waliokuwa wanapata mimba walikuwa wanaendelea kusoma kwa mfumo maalimu?
 
K

Kwani mimba ni issue ya ajabu?
M
Hivi kwenye nchi zao hili lipo?tuanzie hapo kwanza
 
Hatimae mfadhili/donor ameshinda. Anaemlipa mpiga zumari ndie anaechagua wimbo.
 
Baada ya kuruhusu wanafunzi wazazi kuchanganyikana na wenzao ambao wamejitunza kitakachofuata itaonekana kuwa mzazi ni fashion na hivyo wataiga, Idadi ya mimba kwa wanafunzi zitaongezeka na hao hao waliotufanya tuharibu taratibu zetu za kuzuia mimba watakuja na mbinu nyingine (ambayo tutalipia au kukopwa) vidhibiti mimba yaani kondomu, vidonge, vitanzi, nk...Ngozi nyeupe huwa na mkamkati wa miaka 20-50 mbeleni!

Haya mawazo yangu hayatapita kamwe!
 
Tujiulize swali moja, mwanafunzi kupata mimba akiwa shuleni Hilo si ni tatizo? Kama ni tatizo kwanini kuliwekea sheria nyepesi?.

Ukweli ni kwamba, ilitakiwa yule anayempa mimba mtoto wa like akiwa anaendelea na shule mvua ya miaka 30 imhusu sambamba na Hilo mtoto wa like nae shule iishie hapohapo.

Lakini hii ya kulegeza sheria hizi, bila shaka namba ya wapata mimba mashuleni itaongezeka.

Na huu utaratibu inawezekana una msukumo kutoka ubeberuni, kweli Kama taifa bado tuna Safari ndefu.
 
Hiyo inaitwa fungulia mbwa, ni mwendo wa mimba tu sasa
Yaani kweli itakuwa fungulia mbwa, zitakuwa mimba za kumwaga kama university, baby care ziwepo kabisa shuleni kwa ajili ya wajukuu [emoji3][emoji3]
 
Kwa hiyo ile miaka 30 bado iko pale pale uki mmimba dent au wametutolea tuabze kuwa karabati vzr
 
Wazazi Kama nyie dunia ndio inawafunza ..


Watoto wako wanapigwa mimba na hawaolewi na unalea wajukuu mwenyewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]


Punguza mdomo mkuu ,nimeshuhudia wazazi Kama wewe .....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna Baba aliwambia wanaye nyie nimewazaa nikiwa na mama yenu sasa nyie kunifungulia nursery school hapa ndiyo nini Baba zao wapo wapi!
 
Hivi watakao kuwa walezi wa hao wajukuu ni kina nani,binti kwao maisha magumu halafu anapata mtoto duu kisha baada ya miaka 2 arudi shule kula yake mwenyewe mtihani, haya sawa hapa wenye uwezo ndiyo watarudisha watoto wazazi kusoma, kulea huku unasoma mmm patamu hapo wao wangekazia maadili tu.
 
Sheria ya shule zote tz inasema kujihusisha na ngono ni kosa la kufukuzwa shule, kwa hio kupata Mimba ni ushahidi kuwa mwanafunzi alikuwa anafanya ngono, Sasa hii Sheria inabidi ifutwe
Mh
Watajua weyewe bwana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…