Serikali: Wanaoficha Watoto kuanza Shule wachukuliwe hatua

Serikali: Wanaoficha Watoto kuanza Shule wachukuliwe hatua

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Waziri wa TAMISEMI, Ummy Mwalimu ameagiza Mikoa kutosita kuwachukulia hatua Wazazi/Walezi ambao wanaficha Watoto walio na umri wa kuanza Shule

Akizungumza leo Januari 06, 2022 amesema hadi kufikia Desemba 31, 2021 Wanafunzi 488,780 wa Darasa la Awali wameandikishwa katika Shule za Serikali, na idadi hiyo hairidhishi

Mikoa iliyotajwa kuwa chini katika uandikishaji Wanafunzi wa Darasa la Kwanza ni Rukwa (18.62%), Katavi (18.83%), Shinyanga (26%), Mwanza (26.26%) na Mtwara (27.98%)
 
Back
Top Bottom