Wananchi wa kawaida/maskini ni walipa kodi wazuri, kupitia huduma/manunuzi ya bidhaa wanayofanya direct wanakua wamelipa kodi ila tatizo lipo kwa serikali ktk kuhakikisha kodi hizo zinaingia serikalini.
Mfano mdogo serikali inapoteza mabilioni ya kodi wanayolipa wananchi kupitia manunuzi kwa sababu wafana biashara hawapendi kutoa risiti, mpaka hapa tunaona wafanyabiashara ndo wanaihujumu na kuidhulumu serikali kodi inayolipwa na wananchi kupitia manunuzi.
Ombi langu kwa serikali kaeni na wafanya biashara muwaeleweshe kua wao ndo kikwazo cha kodi inayolipwa na wananchi kupitia manunuzi hivo mtaikata kwao direct kuondoa usumbufu wa risiti na upotevu wa mabilioni ya mapato.
Ni aibu kwa serikali kumuongezea mzigo wa tozo mwananchi anaelipa kodi daily kisa tu mmeshindwa kuzikusanya kwa uzembe wenu
Nb:kama mnaona tozo ni bora zaidi basi mziondoe kodi zote tunazolipa kupitia bidhaa ili tununue bei halisi maana mmeshindwa kuizkusanya na zinawanufaisha wafanyabiashara tu, mkifanya hivi hatutawalalamikia kuhusu tozo.