Serikali wasikilizeni Wananchi kuhusu tozo

Serikali wasikilizeni Wananchi kuhusu tozo

Ushawishi kuuliza why wafanya biashara hawapendi kutoa risiti na kulazimisha unapewa ya mkono? Sababu ni moja tu serikali inawachekea
Jibu ni dogo Sana hawataki mzunguko wao halisi wa biashara kujulikana ,ndii maana hata wenye mashine wanatumia kwa mujibu wa kiasi walichokadiliwa na TRA
 
Jibu ni dogo Sana hawataki mzunguko wao halisi wa biashara kujulikana ,ndii maana hata wenye mashine wanatumia kwa mujibu wa kiasi walichokadiliwa na TRA
Sasa unadhani serikali wangekua hawawachekei wasingefuata utaratibu? Kwa wenzetu ikibainika umekwepa kodi inashughulikiwa kweli kweli bila kujali we ni nani
 
Sasa unadhani serikali wangekua hawawachekei wasingefuata utaratibu? Kwa wenzetu ikibainika umekwepa kodi inashughulikiwa kweli kweli bila kujali we ni nani
Toka lini walifuata? Alikuwepogo Magu lakini hakuna aliyefuata ,kwamba utaweka askari kila duka ?

Hapa ilitakiwa mtu ukikamatwa na Tra huna lisiti faini inakuhusu tena faini ni 1,000,000 mbona watu wangedai risiti tuu.Shida sio wafanyabiashara shida ni watu , mfanyabiashara yuko kutafuta faida na si vinginevyo
 
Back
Top Bottom