Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sina upande wowote nawaangalia tu munavyo demka na vyama vyenuIla ukawa unasubiria wasio wa upamde wako wafanye ndio ujidai kukemea?
Bas na ww ni sehem ya hili tatzo kwa sababu uliliona na ukalikalia kimya kipindi hicho chote had limefikia hatua mbaya ndio unajidai kulikemea huo ni unafikiSina upande wowote nawaangalia tu munavyo demka na vyama vyenu
Kama unasubili mm nikuambie subili hivyohivyo na ubavicha wakoBas na ww ni sehem ya hili tatzo kwa sababu uliliona na ukalikalia kimya kipindi hicho chote had limefikia hatua mbaya ndio unajidai kulikemea huo ni unafiki
Ila kuvaa sare za ccm kanisani ni halali eti.Nasisi tusichanganye siasa na dini,haikua na ulazima wa kuvaa gwanda za chama na kuingia kanisani kwa kisingizio cha maombi.
Tusome alama za nyakati
Huku kwetu wafuasi wa ccm kila jumapili wanavaa nguo za ccm,mbona sijaona akari yeyote akiwakamata?Sare za Chadema zinaeleweka vizuri ni yale magwanda ya mgambo na zile Tshirt zao zenye rangi za chama chao
Huyo askofu naye aliruhusuje watu waliovaa nguo za chama kugeuza kanisa kikao cha chama waliingiaje kanisani na nguo za vyama vyao? yaani polisi wana ufahamu mkubwa kwenye hilo swala kuliko yeye Askofu .Very sad
Huna akili kumbe kila anesema kitu tofauti na unachokitaka ni bavichaKama unasubili mm nikuambie subili hivyohivyo na ubavicha wako
Si sahihi iwe imefanywa na CCM au Chadema viongozi wa dini wakemeeHuku kwetu wafuasi wa ccm kila jumapili wanavaa nguo za ccm,mbona sijaona akari yeyote akiwakamata?
Ubaya unapokuja baadhi ya watu wakivaa sare za ccm makanisani siyo kosa ila wakivaa baadhi ya watu sare za chadema kanisani wanahamasisha fujo,jeshi la polisi lisitumike vibaya kwa vile tu IGP ni kada kindaki ndaki wa ccm na si vinginevyo,tuliona alitaka kugombea ubunge kupitia ccm jimboni kwake alikozaliwa,na kama siyo msimamo wa Magufuri basi IGP huyu tulie nae angekuwa mbunge kupitia ccm.Si sahihi iwe imefanywa na CCM au Chadema viongozi wa dini wakemee
Nyie Chadema na nyie Acheni kuiga kila kitu CCM
Kama mnapenda kuiga si mjiunge tu na CCM tujue kuwa nyie CCM pia sio Chadema?
Kifupi wewe Chadema na mapadri na maaskofu wasiojielewa waambie nguo za chama hazitakiwi kanisani ziwe za CCM au Chadema nkUbaya unapokuja baadhi ya watu wakivaa sare za ccm makanisani siyo kosa ila wakivaa baadhi ya watu sare za chadema kanisani wanahamasisha fujo,jeshi la polisi lisitumike vibaya kwa vile tu IGP ni kada kindaki ndaki wa ccm na si vinginevyo,tuliona alitaka kugombea ubunge kupitia ccm jimboni kwake alikozaliwa,na kama siyo msimamo wa Magufuri basi IGP huyu tulie nae angekuwa mbunge kupitia ccm.
Binafsi sijajua kabisa ktk eneo hili;Uko sahihi kanisani si sahihi kuingia na nguo ya chama iwe CCM au CHADEMA ni sawa na kufanya mkutano wa siasa ndani ya kanisa
viongozi wa dini kwa hili wakemee
vikao vyao vya siasa wafanyie nje ya kanisa sio ndani ya kanisa kwa kisingizio cha tumekuja kufanya maombi kuombea Mbowe au yeyote
mavazi ya vyama yawe nje ya kanisa na viongozi wa dini kwa hili wawe makini nalo
Dini imekuwa "overrated" sana kiasi kwamba baadhi ya Viongozi wa Dini wamekuwa wakizitumia Dini hizo na madhabahu kufanya Siasa. Hicho ni kitu hatari sana kikiachwa.Wiki hii watu wametokwa na povu sana kutokana na matukio mbalimbali yalioashiria mwanzo wa kuanza kutomaswa tomaswa kwa dini zao ambazo zilikuwa zimepewa hadhi maalum ya kuwa zisizogusika au 'untouchables' kwa muda mrefu.
Mzee wa Upako ni mmojawapo wa watu waliotokuwa na povu hilo hadi kufikia hatua ya kutoa vitisho mbalimbali kwa utawala ambao muda mrefu amekuwa swahiba wake wa karibu sana. Wapo waliotokwa na povu na kamata kamata zinazofanywa makinasani
Ni wakati sasa wa Serikali kujifunza na kuisogeza dini mbali kabisa na mambo yake.
Hakuna haja kila jambo la kiserikali linapofanyika likaunganishwa na mambo ya kidini. Hakuna haja ya kuwa na mabaraza ya kidini yenye muelekeo wa ushawishi wa kiserikali.Hakuna haja ya kubebana na viongozi wa kidini katika kila tukio la kiserikali.
Mambo ya kidini yakiwekwa mbali na serikali. Itakuwa na faida kubwa kwa serikali, viongozi wa dini na waumini wa dini kwa sababu wote watakuwa na uhuru mkubwa wa kutenda na kusimamia yale wanayoamini ni sahihi na yenye maslahi kwao.
Wiki hii watu wametokwa na povu sana kutokana na matukio mbalimbali yalioashiria mwanzo wa kuanza kutomaswa tomaswa kwa dini zao ambazo zilikuwa zimepewa hadhi maalum ya kuwa zisizogusika au 'untouchables' kwa muda mrefu.
Mzee wa Upako ni mmojawapo wa watu waliotokuwa na povu hilo hadi kufikia hatua ya kutoa vitisho mbalimbali kwa utawala ambao muda mrefu amekuwa swahiba wake wa karibu sana. Wapo waliotokwa na povu na kamata kamata zinazofanywa makinasani
Ni wakati sasa wa Serikali kujifunza na kuisogeza dini mbali kabisa na mambo yake.
Hakuna haja kila jambo la kiserikali linapofanyika likaunganishwa na mambo ya kidini. Hakuna haja ya kuwa na mabaraza ya kidini yenye muelekeo wa ushawishi wa kiserikali.Hakuna haja ya kubebana na viongozi wa kidini katika kila tukio la kiserikali.
Mambo ya kidini yakiwekwa mbali na serikali. Itakuwa na faida kubwa kwa serikali, viongozi wa dini na waumini wa dini kwa sababu wote watakuwa na uhuru mkubwa wa kutenda na kusimamia yale wanayoamini ni sahihi na yenye maslahi kwao.
Wewe popoma mbona ulisema Mimi ccm sija kumaindi,nilijua tu kwakua bichwa yako no mzigo kwa mwili utamaindiHuna akili kumbe kila anesema kitu tofauti na unachokitaka ni bavicha
Si halaliIla kuvaa sare za ccm kanisani ni halali eti.
Nasisi tusichanganye siasa na dini,haikua na ulazima wa kuvaa gwanda za chama na kuingia kanisani kwa kisingizio cha maombi.
Tusome alama za nyakati
Nyie wote wawili mmechemka hatari....Sare za Chadema zinaeleweka vizuri ni yale magwanda ya mgambo na zile Tshirt zao zenye rangi za chama chao
Huyo askofu naye aliruhusuje watu waliovaa nguo za chama kugeuza kanisa kikao cha chama waliingiaje kanisani na nguo za vyama vyao? yaani polisi wana ufahamu mkubwa kwenye hilo swala kuliko yeye Askofu .Very sad
Ukibishana na mpumbavu utaonekana wote ni wapumbavu. Ngoja nikae kimya tu maana umekoswa hojaWewe popoma mbona ulisema Mimi ccm sija kumaindi,nilijua tu kwakua bichwa yako no mzigo kwa mwili utamaindi
Nadhani ni sahihi kuwa kuvaa nguo zenye alama ya chama si hoja, ma bibi zetu kijijini wana vilemba vya sisiem na wazee fulana hizo.Hoja yako haina mashiko. Tangu lini serikali ilianza kuwapangia watu nguo za kuvaa? Mbona mara nyingi tu unakuta akina mama na wabibi wamevaa kanga, vitenge na vilemba vya ccm kwenye ibada makanisani! Lakini hakuna aliye lalamikia?
Nongwa wakivaa chadema! Halafu Makanisa yalitoa malalamiko yoyote yale serikalini? Au ni kiherehere tu cha policcm kutaka kuonekana kwa mabosi wao wa ccm!
Kweli wewe popoma ,kumbe ulikua unabisha?sasa unabishana nini hapoUkibishana na mpumbavu utaonekana wote ni wapumbavu. Ngoja nikae kimya tu maana umekoswa hoja