Nasisi tusichanganye siasa na dini,haikua na ulazima wa kuvaa gwanda za chama na kuingia kanisani kwa kisingizio cha maombi.
Tusome alama za nyakati
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasisi tusichanganye siasa na dini,haikua na ulazima wa kuvaa gwanda za chama na kuingia kanisani kwa kisingizio cha maombi.
Tusome alama za nyakati
Hazitakiwa kwa sababu chadema wamevaa au ni hila binafsi za nafsi yako kuona wale watu ni magaidi?Kifupi wewe Chadema na mapadri na maaskofu wasiojielewa waambie nguo za chama hazitakiwi kanisani ziwe za CCM au Chadema nk
Nguo za chama kanisani hazitakiwi ziwe za Chadema au CCM au chama chochoteHazitakiwa kwa sababu chadema wamevaa au ni hila binafsi za nafsi yako kuona wale watu ni magaidi?
Si halaliIla kuvaa sare za ccm kanisani ni halali eti.
Akili za Saccos hovyo kabisa, kwani wale wanaovaa hivyo vilemba vya CCM huwa wanajikusanya na kutangaza kwamba Kuna gaidi wanaenda kumuombea? Au ulisikia wapi wakaenda na viongozi wa chama na kutoka sehemu mbalimbali wakaacha makanisa yao wakachanga na hela wakatoa kanisani na kutangaza kuwa hizo hela wanamhonga Mungu ili gaidi aachiliwe?Hoja yako haina mashiko. Tangu lini serikali ilianza kuwapangia watu nguo za kuvaa? Mbona mara nyingi tu unakuta akina mama na wabibi wamevaa kanga, vitenge na vilemba vya ccm kwenye ibada makanisani! Lakini hakuna aliye lalamikia?
Nongwa wakivaa chadema! Halafu Makanisa yalitoa malalamiko yoyote yale serikalini? Au ni kiherehere tu cha policcm kutaka kuonekana kwa mabosi wao wa ccm!
Kuna 'siasa' na kuna usimamizi wa serikali.
Dini haziwezi kuwa zaidi ya serikali ndio maana uwepo wa taasisi yoyote inayofanya sughuli za kiimani lazima seriali iwe na taarifa zake na itoe kibali/ruhusa kwa shughuli hizo.
Labda utudadavulie kwa ufahamu wako siasa ni nini na usimamizi wa serikali uwe vipi?.