Serikali wekeni dini mbali na mambo yenu ya Kiserikali ili nyote muwe huru

Kabisa. Unaenda kuabudu matambala tambala ya vyama ya nini? Tusiruhusu kurutubisha Bomu la udini.
 
Kifupi wewe Chadema na mapadri na maaskofu wasiojielewa waambie nguo za chama hazitakiwi kanisani ziwe za CCM au Chadema nk
Hazitakiwa kwa sababu chadema wamevaa au ni hila binafsi za nafsi yako kuona wale watu ni magaidi?
 
Hazitakiwa kwa sababu chadema wamevaa au ni hila binafsi za nafsi yako kuona wale watu ni magaidi?
Nguo za chama kanisani hazitakiwi ziwe za Chadema au CCM au chama chochote

Mungu Hana chama chochote Cha siasa na si mshabiki wa chama chochote Cha siasa
 
Akili za Saccos hovyo kabisa, kwani wale wanaovaa hivyo vilemba vya CCM huwa wanajikusanya na kutangaza kwamba Kuna gaidi wanaenda kumuombea? Au ulisikia wapi wakaenda na viongozi wa chama na kutoka sehemu mbalimbali wakaacha makanisa yao wakachanga na hela wakatoa kanisani na kutangaza kuwa hizo hela wanamhonga Mungu ili gaidi aachiliwe?
Baada ya kusali wanakaribishwa kula chakula na Askofu, uliona wapi CCM wakafanya hayo?
Nyumbu hovyo kabisa.
 
Kuna 'siasa' na kuna usimamizi wa serikali.

Dini haziwezi kuwa zaidi ya serikali ndio maana uwepo wa taasisi yoyote inayofanya sughuli za kiimani lazima seriali iwe na taarifa zake na itoe kibali/ruhusa kwa shughuli hizo.

Labda utudadavulie kwa ufahamu wako siasa ni nini na usimamizi wa serikali uwe vipi?.
 
Hujaelewa huu uzi, rudia kusoma.
 
Kabisa. Unaenda kuabudu matambala tambala ya vyama ya nini? Tusiruhusu kurutubisha Bomu la udini.
Hao wenye dini zao ndio waamue aina za mavazi, serikali hazipaswi kuingilia hayo mambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…