The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Fanya yako mkuu ukatiwe korokoloni afu uje kutusimuliaAisee kufungwa kunaweza kuwa deal
Kwani Awamu ya 6 IMEINGIA KWA UCHAGUZI GANI? Msitupotoshe hii ni ya AWAMU YA 5 KIPINDI CHA PILI CHA KUHITIMISHA MIAKA 10 YA AWAMU YA 5Nawasalimu kwa jina la JMT.
Kuelekea kuadhimisha mwaka mmoja wa Rais Samia S. Hassan, nimekutana na hii habari iliyonisiktisha sana.
Kwamba Serikali ya mama itaanza kutoa motisha na mitaji ya fedha na vifaa kwa wafungwa wanaomaliza vifungo vyao.
Kwa kuanzia wataanza na gereza kuu la mkoa wa Mbeya.Hii ni habari njema kwa wafungwa ambao wanakuwa waneshiriki katika uzalishaji mali wakiwa magerezani lakini wanaachwa solemba wakimaliza vifungo.
Hili ni jambo jema na moja ya legacy yenye nguvu ya kukumbukwa kwa madam President atakapomaliza mda wake.
Kongole kwa wahusika wote.
View attachment 2147669
😀😀😀😀😀😀Magufuli: Wafungwa wafanyishwe kazi usiku na mchana na wazembe wapigwe mateke - BBC News Swahili
Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli amesema kuwa wafungwa wanapaswa kufanyishwa kazi usiku na mchana na kwamba wafungwa wazembe wanafaa 'kupigwa mateke'www.bbc.com
Imeingia kipindi cha pili,hata ukielewa hivyo hivyo ni sawa tuu.Kwani Awamu ya 6 IMEINGIA KWA UCHAGUZI GANI? Msitupotoshe hii ni ya AWAMU YA 5 KIPINDI CHA PILI CHA KUHITIMISHA MIAKA 10 YA AWAMU YA 5
Fao la jujitsu na wanaodai fedha zao walipwe kwani hili la wafungwa ni la mzunguko wa kisiasa ambao hauna faida kwa Chama.Nawasalimu kwa jina la JMT.
Kuelekea kuadhimisha mwaka mmja wa mh.Rais Madam Samia S.Hassan,nimekutana na hii habari iliyonikisha Sana.
Kwamba Serikali ya mama itaanza kutoa motisha na mitaji ya fedha na vifaa kwa wafungwa wanaomaliza vifungo vyao.
Kwa kuanzia wataanza na gereza kuu la mkoa wa Mbeya.Hii ni habari njema kwa wafungwa ambao wanakuwa waneshiriki katika uzalishaji mali wakiwa magerezani lakini wanaachwa solemba wakimaliza vifungo.
Hili ni jambo jema na moja ya legacy yenye nguvu ya kukumbukwa kwa madam President atakapomaliza mda wake.
Kongole kwa wahusika wote.
View attachment 2147669
Wewe mjinga ndugu,wamachinga unaowazhngumzia wewe ni Hawa ambao Rais anawajengea masoko Dar na Dom au?👇Fao la jujitsu na wanaodai fedha zao walipwe kwani hili la wafungwa ni la mzunguko wa kisiasa ambao hauna faida kwa Chama.
Kama tumeshindwa kuwasaidia Wamachinga hawa Wafungwa wakishapewa fedha biashara watafanyia wapi au ni hisani tuje na hoja za kufikirika sio zisizo na faida
Aruhusu Fao la kujitoa na wanaodai ili mzunguko wa fedha uongezeke kwani watakaolipwa watafanyia bishara hizo fecha
Mfumuko wa bei umeshashukaAiseee watupunguzie na mifumuko ya bei huku uraiani
Imeingia kwa katiba, labda upingane na katiba chiefKwani Awamu ya 6 IMEINGIA KWA UCHAGUZI GANI? Msitupotoshe hii ni ya AWAMU YA 5 KIPINDI CHA PILI CHA KUHITIMISHA MIAKA 10 YA AWAMU YA 5
Hawa wahuni hawajui, kazi yao kupinga kila kituWewe mjinga ndugu,wamachinga unaowazhngumzia wewe ni Hawa ambao Rais anawajengea masoko Dar na Dom au?👇
View attachment 2147689
Kwa Jina la Bwana Yesu Kristu Mimi sio Mjinga.Wewe mjinga ndugu,wamachinga unaowazhngumzia wewe ni Hawa ambao Rais anawajengea masoko Dar na Dom au?[emoji116]
View attachment 2147689
Itaongeza uhalifu nchiniAisee kufungwa kunaweza kuwa deal