The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
- Thread starter
-
- #21
Acha ujinga,Itaongeza uhalifu nchini
Mitaji ingetolewa kwa wanafunzi wanasema masomo ya vitendo
Mfano tegemeo letu kuu kiuchumi ni kilimo Uvuvi,madini
Wanaomaliza Kozi za hizo sekta
Wewe uwe ajira huna na mtaji huna ukiambiwa magereza pesa za mtaji zipo si utakaba mtu uende huko.Uhalifu UtaongezekaAcha ujinga,
Labda ueleweshwe awamu inahesabiwaje. Awamu ni kipindi anachokaa madarakani rais. Awamu ya rais husika hukoma pale anapoondoka kwenye madaraka haijalishi amekaa vipindi vingapi. Hivyo awamu ni rais, vipindi ni uchaguzi.Kwani Awamu ya 6 IMEINGIA KWA UCHAGUZI GANI? Msitupotoshe hii ni ya AWAMU YA 5 KIPINDI CHA PILI CHA KUHITIMISHA MIAKA 10 YA AWAMU YA 5
😍Nawasalimu kwa jina la JMT.
Kuelekea kuadhimisha mwaka mmoja wa Rais Samia S. Hassan, nimekutana na hii habari iliyonikosha sana.
Kwamba Serikali ya mama itaanza kutoa motisha na mitaji ya fedha na vifaa kwa wafungwa wanaomaliza vifungo vyao.
Kwa kuanzia wataanza na gereza kuu la mkoa wa Mbeya.Hii ni habari njema kwa wafungwa ambao wanakuwa waneshiriki katika uzalishaji mali wakiwa magerezani lakini wanaachwa solemba wakimaliza vifungo.
Hili ni jambo jema na moja ya legacy yenye nguvu ya kukumbukwa kwa madam President atakapomaliza mda wake.
Kongole kwa wahusika wote.
View attachment 2147669
Upo Sawa kabisa.Usikute jembe, shoka , ama msumeno selemara, sio mbaya Ni dhamira njema kwa kuanzia
Mama anatafuta popularity ya kisiasa tu!hiyo haina tija!!ameshindwa kuandaa mitaji ya graduates. Wa chuo kikuu ambao wanalia ajira hamna anakuja na mitaji kea wafungwa si ndio!!??Nawasalimu kwa jina la JMT.
Kuelekea kuadhimisha mwaka mmoja wa Rais Samia S. Hassan, nimekutana na hii habari iliyonikosha sana.
Kwamba Serikali ya mama itaanza kutoa motisha na mitaji ya fedha na vifaa kwa wafungwa wanaomaliza vifungo vyao.
Kwa kuanzia wataanza na gereza kuu la mkoa wa Mbeya.Hii ni habari njema kwa wafungwa ambao wanakuwa waneshiriki katika uzalishaji mali wakiwa magerezani lakini wanaachwa solemba wakimaliza vifungo.
Hili ni jambo jema na moja ya legacy yenye nguvu ya kukumbukwa kwa madam President atakapomaliza mda wake.
Kongole kwa wahusika wote.
View attachment 2147669
Haina tija kwa nani labda,atafute cheap popularity ya nini hasa?Mama anatafuta popularity ya kisiasa tu!hiyo haina tija!!ameshindwa kuandaa mitaji ya graduates. Wa chuo kikuu ambao wanalia ajira hamna anakuja na mitaji kea wafungwa si ndio!!??
Sio mkopo,watapewa pesa ya mtaji ya bure kwa kuthamini Kazi yao wakiwa magerezani.Badala ya kuboresha maisha ya wafungwa,
Na kuwalipa mishahara kwa kazi wanazofanya gerezani,
Mnatwambiya Mambo ya kuwapa mitaji.
Hivi mfungwa amepasua mawe,
Amelima hekari kibao.
Amepasua mbao kwa miaka 10.
Uje umpe mtaji milioni au milioni 2 mkopo?
Ingekuwa anapata mshahara angepata sh ngp akitoka?
Mfungwa anaishi mazingira mabovu,
Machafu,
Magumu.
Unadhani anawezaje kuishi gerezani kwa miaka yote ?
Atoke salama aje apewe huo mkopo?
Vitu vingine ni vyanzo vya upigaji na wala havipo kwenye kusaidia wafungwa.
Weka system kila mwezi mfungwa alipwe pesa kutokana na kazi anazofanya.
Sio poa kila jambo kuwaza negativewatu wanafanya kazi asubuhi hadi saa nane mchana, kazi ngumu alafu wanapewa chakula mara moja tu kwa siku ten ugali maharage nusu sahani, hio mitaji labda itakuwa elf 30 na hapo kuna rushwa kidogo inabidi afande achukue 10 yake akuachie 20
Kuwa tu demu wa bwana yako yesu na kumtegemea ni ujinga tayari sijui unapinga nini sasaKwa Jina la Bwana Yesu Kristu Mimi sio Mjinga.
Bwana Yesu akulipe sawasawa na majibu yako.
Ukiweza kunitajia idadi ya Wamachinga hapa Tanzania ndo uje na majibu yako ya uani.
Mkuu ile sehemu isikie hivyo hivyo ni mahala pagunu pasipozoeleka na yoyote.Aisee kufungwa kunaweza kuwa deal
Kwanza kwa hiyo laki tano ni ya kupanga frem au ya biashara kwani awezi kufanya Machinga kwa kuwa harusiwi.Mtaji wa shilingi laki5 au hata milioni1 kwa mtu aliye tumikia kifungo cha miaka10 unamsaidia nini?? Zaidi zaidi ataenda kulewea
Kwanza waboreshewe magereza,Sio mkopo,watapewa pesa ya mtaji ya bure kwa kuthamini Kazi yao wakiwa magerezani.
Badala ya kupongeza unapinga ,hii ni hatua nzuri, maana kuna kipindi wanatoka hawana pa kuanzia wanafanya tena uhalifu wanasema Bora wakaendelee na maisha ya kifungo waliyozoea.
Kwa kweli ni jambo jema mno na huenda likaigwa na Mataifa mengine kwa kujifunza kutoka kwetu. La msingi sasa ni kuweka dhamira ya dhati katika Utekelezaji wake. Aidha Wahusika ( Watoa Mtaji = Serikali na Waliopata Mtaji=Wanufaika) kuzingatia Taratibu zitakazowekwa(Vigezo na Masharti) ili kupewa Mtaji. Jambo lingine ni Kuzingatia Viashiria vitakavyowekwa hususan vile vya Udhibiti wa Usimamizi na Ufuatiliaji (Supervision,Monitoring and Evaluation) wa Utekelezaji kwa Upande wa Walengwa/Wanufaika. Yule Mnufaika atakayebainika kufanya Matumizi au kwenda kinyume cha Malengo kama alivyobainisha Mwenyewe kwenye Hati ya kupewa Mtaji awajibishwe. Wanufaikaji wapewe ka-Elimu kidogo ihusuyo namna ya Utekelezaji wa Miradi wanayokusudia kwenda kufanya kwa kutumia Mitaji watakayopewa. Elimu hiyo itolewe Kabla ya kupewa Mtaji.Nawasalimu kwa jina la JMT.