Serikali ya Burundi yatangaza kifo cha Rais Pierre Nkurunziza

Status
Not open for further replies.
Tofautisha kiongozi mwenye msimamo na dikteta. Huwezi kuongoza nchi afu kila mtu awe mropokaji utakuwa haupo siriazi na uongozi.
Mbona wenzetu wako mbali na waropakaji awawanyimi usingizi au sababu ni matured na wako bize na issues.
Kiongozi inatakiwa uwe na ngozi Nene Kama huna uongozi haukufai ukakune nazi.Kuwazuia watu kusema ni sawa na kumzuia samaki kupanua mdomo
 
Kifo ooh kifo, kifo hakina huruma.
 
Soon tunamsahau Kama tulivowasahau madikteta wa Africa waliotangulia kuzimu
 
NAWAZAA MKE WAKE AISEE DAH MSHENZI MMOJA ANAENDA KUTEKENYA MASHINE KILAINI NA KUTUNUKIWA MAISHA BORA MOLA NIJALIE MWISHO MEMA KAMA HUYO AJAYE KWA MAMAETU
WALE WALIO KTK MUNGU HII INAITWA DOUBLE FAVOUR
RCV IT
 
kama uliyoyasema ni kweli, basi hajafa kwa Corona huenda hata wameona wamtangulize tu, CIA wana sindano ukichomwa sababu ya kifo inakuja kuonekana ni cardiac arrest, ndiyo pia inasemekana alichomwa rais wa kwanza wa congo KASAVUBU, hata mobutu alipanga kutawala mpaka 2000 , licha ya kwamba aliwambia wananchi angestaafu 1990 lakini kuna interview akasema atakuwepo mpaka 2000, inasemekana nae aliuwawa
 
official statement imesema ni cardiac arrest, kwa ninavofahamu huo sio mshituko wa moyo, au ni mimi ndio huwa sielewi
Sijui inaitwaje kwa kiswahili ila nimeona sehemu wamesema kafa kwa ugonjwa huo(article ya kiswahili).Nami nangoja nieleweshwe zaidi.
 

Corona shikamoo.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…