guwe_la_manga
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 2,820
- 2,758
Nani huyo kala mweleka?Ndo keshaanza, jana kalamba mweleka na kesho itakuwa vipi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani huyo kala mweleka?Ndo keshaanza, jana kalamba mweleka na kesho itakuwa vipi
Mbona wenzetu wako mbali na waropakaji awawanyimi usingizi au sababu ni matured na wako bize na issues.Tofautisha kiongozi mwenye msimamo na dikteta. Huwezi kuongoza nchi afu kila mtu awe mropokaji utakuwa haupo siriazi na uongozi.
😃😃😃Kuna mtu bado anafanya masihara na Covid 19.
😃😃😃Wiki iliyopita alikuwa anatania kuhusu watu wanaovaa barakoa! Leo amejibiwa
WALE WALIO KTK MUNGU HII INAITWA DOUBLE FAVOURNAWAZAA MKE WAKE AISEE DAH MSHENZI MMOJA ANAENDA KUTEKENYA MASHINE KILAINI NA KUTUNUKIWA MAISHA BORA MOLA NIJALIE MWISHO MEMA KAMA HUYO AJAYE KWA MAMAETU
official statement imesema ni cardiac arrest, kwa ninavofahamu huo sio mshituko wa moyo, au ni mimi ndio huwa sielewiChanzo cha kifo ni mshtuko wa moyo.
Kama huamini unaweza tunga sababu yako pia.
kama uliyoyasema ni kweli, basi hajafa kwa Corona huenda hata wameona wamtangulize tu, CIA wana sindano ukichomwa sababu ya kifo inakuja kuonekana ni cardiac arrest, ndiyo pia inasemekana alichomwa rais wa kwanza wa congo KASAVUBU, hata mobutu alipanga kutawala mpaka 2000 , licha ya kwamba aliwambia wananchi angestaafu 1990 lakini kuna interview akasema atakuwepo mpaka 2000, inasemekana nae aliuwawaNi kupitia mtandao wa twitter ambako ameandika maneno haya:
Tumkumbuke Nkurunziza
1. 2015 alibadilisha Katiba ili awe Rais kwa Awamu ya 3;
2. 2020 kabadilisha SHERIA apewe TZS 1.2 bil akistaafu na KASRI;
3. 2020 kabadilisha SHERIA aitwe Supreme Leader akistaafu
4. 2020 alifukuza WHO akiwaambia hakuna Corona.
5. Leo kafa kama binadamu wengine
Sijui inaitwaje kwa kiswahili ila nimeona sehemu wamesema kafa kwa ugonjwa huo(article ya kiswahili).Nami nangoja nieleweshwe zaidi.official statement imesema ni cardiac arrest, kwa ninavofahamu huo sio mshituko wa moyo, au ni mimi ndio huwa sielewi
Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza aaga dunia.
===
Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza (55) amefariki dunia. Taarifa ya serikali imeeleza kuwa alikuwa hospitali akisumbuliwa na tatizo la moyo.
Serikali ya Burundi imetangaza kifo cha Rais wa nchi hiyo, Pierre Nkurunziza (55). Mshtuko wa moyo umetajwa kuwa chanzo cha kifo chake.
Imeelezwa alilazwa Hospitali Jumamosi na alikuwa anaendelea vizuri hadi Jumatatu ambapo hali yake ilibadilika ghafla na jitihada za madaktari kuokoa maisha yake hazikufanikiwa.
Rais Nkurunziza alizaliwa Desemba 18, 1964 na ameongoza nchi hiyo kuanzia mwaka 2005 (takribani miaka 15) hadi mauti ilipomfika.
Serikali imesema kutakuwa na kipindi cha maombolezo ya kitaifa kwa siku saba na bendera zitapepea nusu mlingoti.
This is science, ataondoka tu, ni kuwa hawajawa infected, with his age, ataondoka tu!Lile janja,linajifanya halijali wakati ndani linatafuna aspirin kama pipi
Hivi Kitwanga yeye alivunjika wapi?Anaenda Club analewa hadi anavunjika miguu
Unaacha kuogopa kitu ambacho kipo(Corona) unaenda kuogopa kitu ambacho hakipo(Mungu)!