Zipo taarifa katika mitandao ya kijamii zikisema rais huyo wa zamani hatuna naye duniani tena.Je? Sisi tuliobaki tunajifunza nini? Je? Kuna mema mengi aliyoyaacha kama ilivyo kwa hayati marehemu Nelson Mandela hadi walifikia kuzunguka Nyumba yake wakimuomba Mungu asimchukue?.Au watu wake wa Burundi wanasema bora ameenda?.
Tujifunze kila kifo kinapotokea elimu haina mwisho.
Hivi kuna mwana soka aliyekufa na corona?Corona hii hii... Iliyoshindwa hapa Tz kwa maombi...
Kweli Corona haichagui watu wa kuwaondoa duniani... R.I.P
Huyu PN si alikua mwanasoka wa Haleluya FcHivi kuna mwana soka aliyekufa na corona?
Hata wenye madaraka watakufa kwa kuzimia kama kibatali.Zipo taarifa katika mitandao ya kijamii zikisema rais huyo wa zamani hatuna naye duniani tena.Je? Sisi tuliobaki tunajifunza nini? Je? Kuna mema mengi aliyoyaacha kama ilivyo kwa hayati marehemu Nelson Mandela hadi walifikia kuzunguka Nyumba yake wakimuomba Mungu asimchukue?.Au watu wake wa Burundi wanasema bora ameenda?.
Tujifunze kila kifo kinapotokea elimu haina mwisho.
Kila siku kufikiria Magu ndo atakufa kwa Corona, Mbowe je?La kujifunza ni kwamba huwezi kuidharau Corona halafu ikakuacha salama. Yule mkaidi wa TZ ambae juhudi zake kubwa kwenye Corona ni kupinga barakoa majukwani ajipange!This shit is coming to him sooner rather than later!
Sasa cha kujifunza ni kipi wakati hata Waziri mkuu wa uingereza corona ilimpiga vilevile nusu afe, nae angekufa tungejifunza nini?Definitely ni corona, acha imuondoe maana aliikejeli sana . Mikutano ya kampeni iliendelea kama kawaida as if hakuna tatizo na corona virus! Wengine wajifunze, wakorofi kama yeye1
WAO NA WANA KINGA YA COVID 19Sasa cha kujifunza ni kipi wakati hata Waziri mkuu wa uingereza corona ilimpiga vilevile nusu afe, nae angekufa tungejifunza nini?
CCM hamna akili kabisa! Mbowe ana mamlaka ya kutengeneza na kutekeleza mipango pamoja na sera za kupambana na Corona Tanzania?!Namzungumzia MEKO kwa sababu amepewa dhamana ya kupambana na Corona ila anafanya uzembe. Kwa nini vijana wa CCM ni kama vichwa vya wendawazimu?Mna matatizo gani?
Muulize Nkurunzinza atakwambia amejifunza nini kwa kudharau virus pandemic!Sasa cha kujifunza ni kipi wakati hata Waziri mkuu wa uingereza corona ilimpiga vilevile nusu afe, nae angekufa tungejifunza nini?
Mbowe hana ulinzi atakufa hata kwa kushambuliwa na wahuni, tunazungumzia wenye ulinzi wa hadi helkopta kama kina Nkurunzinza korona inawafikia tu.
Mbowe hana ulinzi atakufa hata kwa kushambuliwa na wahuni, tunazungumzia wenye ulinzi wa hadi helkopta kama kina Nkurunzinza korona inawafikia tu.
Mungu ndio anajua zaidi matendo yetu, unafikiri mie nikiuwa kwa ushirikina wewe utajua?At least yeye hajaua mtu wala kupiga risasi wengine wasio na hatia kwa uonevu