Kawe Alumni
JF-Expert Member
- Mar 20, 2019
- 8,685
- 12,000
Covid-19 ni noma! Inakulia timing ikikupata inakuniga koo mpaka kinyesi ikutoke.
Waliofanya party wakeshe wakiomba.
We nabii au ndio mungu mwenyewe?Jamaa anaenda kuzimu directly, huyu hapaswi kuombewa popote yani
Kama ikifika hiyo October maana hatuna mkataba na Mungu.Hahahahha.. Wewe subiri tu oktoba ukipata kipigo
Bado mpuuzi mmoja tu nae covid19 itapita nae[emoji3]Kuna tetesi kwanza aliyekuwa Rais wa Burundi inasemekana amefariki kwa covid 19, Na mkewe pia yupoNairobi akitibiwa ugonjwa wa covid 19 .Ikumbukwe kwamba Nkurunziza aliwafukuza wasimamizi wa kimataifa walipohoji kwa Nini wanafanyq Uchaguzi kipindi cha mlipuko wa ugonjwa wa covid 19
Yote mawili yanakuhusu, MATAGA na dogo.Mara uniite mataga, mara dogo. Hueleweki, death is inevitable!
ᵗᵘˡⁱᵃ ʷᵉʷᵉWe nabii au ndio mungu mwenyewe?
Huku wewe ukiwa mwenye busara sana! roger that!!Yote mawili yanakuhusu, MATAGA na dogo.
Mungu tunampenda na kumuabudu, hatumuogopi.Corona mchumba tu .
Wa kuogopwa ni MUNGU PEKEE
Mungu tunampenda na kumuabudu, hatumuogopi.
Mbona Nkurunziza alikataza kupima na kaondoka na Covid-19, hofu ilitoka wapiKwani Corona ina tiba?. Na jee Kenya wamepata wapi mashine za kuaminika kupima corona.
Watu wengi wanaotajwa kufa kwa corona huwa wamekufa kihoro cha kuambiwa wanao au jirani yake anao.Ndio maana mabeberu wanahimiza sana kupima watu kwa wingi kwa vijiti vyao vyenye majibu ya corona ili watu wazidi hofu.
Nitatulia vp mi nataka kujua kama humu JF kuna member ni miungu.ᵗᵘˡⁱᵃ ʷᵉʷᵉ
Duh!Mungu tunampenda na kumuabudu, hatumuogopi.
Kifo hakina mwenyewe hata stone Hana hatimilikiAliwapiga x watu wengi pale kwao lkn leo naye katangulia
Kifo hakina mwenyewe hata stone Hana hatimiliki
Kuwaza waza ukorofi. Ni ukorofi ndgUkorofi wangu ni upi ndugu?
Wanalinda mwili hawawezi Linda rohoWanajisahau sana wanapo kuwa na walinzi wa kila aina