Serikali ya Burundi yatangaza kifo cha Rais Pierre Nkurunziza

Serikali ya Burundi yatangaza kifo cha Rais Pierre Nkurunziza

Status
Not open for further replies.
kuna WATU WANAHISI WABURUNDI WA.M EFURAHI SANA LEO

WALIOFURAHIA N UONGOZI MPYA HUYU JAMAA ALISHAANZA KUWALETEA CHOKOCHOKO NA KAMA ANGENDELEA KUWEPO ANGEWASUMBUA SANA SANA

NAHISI WANAKUNYWA MBEGH3 IKULU LEOHII
 
Kama vile wewe ndo ulimhudumia kipindi anaumwa.Kwamba heart attack inayoua zaidi watu Africa na entire world imeacha kuua! Halafu ukute unakisia kisia tu,uhakika huna!
Mke wake anajipambania uhia Kenye na wanalala kitanda kimoja. Ni corona per se! Mawazili kumi nao wako hoi! Walikuwa hawachukui tahadhali kwa kumsikiliza ujinga wake (of course ni unafiki wa matumbo yao)
 
Uzuri wa ugonjwa huu unazikwa na watu watatu ,ameuwa wee-wee Mungu amesikiliza kilio cha wanaburundi nimemkumbuka Mobutu wa Kongo alizikwa na watoto yaani
 
Ni kupitia mtandao wa twitter ambako ameandika maneno haya:

Tumkumbuke Nkurunzinza
1. 2015 alibadilisha Katiba ili awe Rais kwa Awamu ya 3;
2. 2020 kabadilisha SHERIA apewe TZS 1.2 bil akistaafu na KASRI;
3. 2020 kabadilisha SHERIA aitwe Supreme Leader akistaafu
4 .2020 alifukuza WHO akiwaambia hakuna Corona.
5. Leo KAFA kama binadam wengine
Kwa corona!
 
Ni kweli lakini hana makuu na wala hajifanyi yeye ni Mungu mtu.
Hapo enyewe aliyoyafanya ni makuu wa Afrika huwa tuna utamaduni wa kuheshimu marehemu hata akiwa alifanya mabaya gani Mungu ndiye ataye muhukumu sio sisi tuliye hai.
 
Mke wake anajipambania uhia Kenye na wanalala kitanda kimoja. Ni corona per se! Mawazili kumi nao wako hoi! Walikuwa hawachukui tahadhali kwa kumsikiliza ujinga wake (of course ni unafiki wa matumbo yao)
Mawaziri nao wako hoi kweli?
 
Hoja mbele yetu ni aliyoyafanya Nkurunzinza. Je ni sawa alivyofanya?
 
Ameelezea vzur sana na ndo ukweli wenyewe na hakuna mahali aliposema yeye hatokufa nadhani anawakumbusha kuwa kabla yake walikuwepo watu mashughuli kama Yesu wa nazareth, mtume mohamed, mfale suleiman , karl max, michael jackson, bob marley nk ila wamekufa hivyo sisi tulio ktk nyadhifa zinazobeba maslai ya watu wengi ni lazma tulijue hilo.
 
Kufa atakufa lkn kwani Kabadili Katiba na Sheria za kutokushtakiwa
Yeye ni Mwanasheria anatuasa tuishi hapa Duniani tukijua tunapita
Nkurunziza alijisahau kkasababisha vifo 1500 kwa kanchi km Mkoa wa DSM na Pwani
 
Four experts from the World Health Organization, who had reportedly questioned the government’s response to the pandemic, were expelled from Burundi last month.

The president’s wife, Denise Bucumi Nkurunziza, was airlifted to Kenya on May 29 to be treated for COVID-19 at a top hospital in Nairobi, according to Kenyan media. On Monday, local media reported that Mr. Nkurunziza was in hospital with COVID-19. None of the reports were confirmed by the government.

If the link to COVID-19 is confirmed, he would be the first world leader to have died of the coronavirus.

Mr. Nkurunziza, an avid soccer player and sports fan, had attended a volleyball game as recently as Saturday, according to the government statement. On Sunday, he was interacting with people around him, until the sudden worsening of his condition, the statement said.

Burundi has reported only 83 cases of the coronavirus and one death. But at last report, a total of only 382 tests had been conducted in the country of 11 million – one of the world’s lowest rates of testing. There were unconfirmed reports of many deaths from the virus in Burundi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom