Serikali ya Burundi yatangaza kifo cha Rais Pierre Nkurunziza

Serikali ya Burundi yatangaza kifo cha Rais Pierre Nkurunziza

Status
Not open for further replies.
Hapo kwenye kuwafukuza hao watu wa who kisa corona kesha lipwa hapa hapa duniani baada ya mkewe kuukwaa na sasa yupo hapa Nairobi anatibiwa
Ni kupitia mtandao wa twitter ambako ameandika maneno haya:

Tumkumbuke Nkurunzinza
1. 2015 alibadilisha Katiba ili awe Rais kwa Awamu ya 3;
2. 2020 kabadilisha SHERIA apewe TZS 1.2 bil akistaafu na KASRI;
3. 2020 kabadilisha SHERIA aitwe Supreme Leader akistaafu
4 .2020 alifukuza WHO akiwaambia hakuna Corona.
5. Leo KAFA kama binadam wengine
 
Mkewe yuko huku Kenya tunamtibu corona, poleni RIP in peace ila nakumbuka alikua mkaidi kwenye suala la corona, isiwe ndio imemlamba.
Mnamtibu na nyie mna CORONA za kutisha? Sema mnagawana Koronaa. Sioni mantiki ya kuzuia madereva wakati Rona limesambaa Kenya nzima
 
Miafrika nyinyi mnasikitisha sana sasa vijimafua vile vya corona ndo vyakuua mtu mzito Kama nkurunzinza kweli?
 
shetani ameshampokea jehanamu, huyu
atachomwa na makaa ya mawe .Alitesa na kuumiza sana wapinzani
 
Alizuia raia kuvaa barakoa. Alidharau
sayansi akatumia imani ya wananchi
kuwapumbaza. Baadaye akatangaza
kuwa "Burundi imepona Corona kwa
jina la Yesu." Leo, mkewe yupo
Nairobi kutibiwa Corona. Yeye,
Mungu amempenda zaidi. RIP
President Nkurunziza!
 

Attachments

  • IMG_20200609_221548.jpg
    IMG_20200609_221548.jpg
    59.6 KB · Views: 1
kila mtu ataonja umauti
Hakika.
Hata Mimi na wewe tutakufa.
Hata wanaojiona miungu watu pia watakufa.

Kifo cha Nkurunziza ni faraja kwa wapenda haki wote.. Hata huyu mwenzake akifa tutashangilia pia.
 
Ameelezea vzur sana na ndo ukweli wenyewe na hakuna mahali aliposema yeye hatokufa nadhani anawakumbusha kuwa kabla yake walikuwepo watu mashughuli kama Yesu wa nazareth, mtume mohamed, mfale suleiman , karl max, michael jackson, bob marley nk ila wamekufa hivyo sisi tulio ktk nyadhifa zinazobeba maslai ya watu wengi ni lazma tulijue hilo.
Kuyaelewa hayo maneno ni lzm uwe umeelimika , civilized na matured Ila Kama akili yako umemkabidhi mganga ni rahisi kukuadaa anakupa Kinga ya kutokufa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom