Serikali ya CCM haifurahi ukiwa na kiasi kikubwa cha fedha benki, unafilisiwa kwa kupewa kesi ya Uhujumu Uchumi


Hata Zama za Nyerere kufilisi watz watu wa mpakani wengi walificha Kenya pesa zao hasa ma mangi alipoingia tu ruksa demand ya bidhaa nchini ilikuwa kubwa Sana wakazitumia pesa hizo kununua bidhaa Kenya kwa wingi wakazileta tza wakapata utajiri Mkubwa sana thus wakawekeza kwenye mabus na malori,mabar,maguest hotel nk ndo asili ya wachaga wengi kumiliki hizo mambo.

Na kuibuka matajiri Kama kina Mengi,Bakhresa,nk.Zama za Nyerere copy na paste ukuruhusiwa kuwa na pesa nyingi, uhujumu uchumi ulikuhusu.Thus wengi walilazimika kulewea au kuwa malaya coz ukimiliki tu Mali labda nyumba ni lzm utoe maelezo, tofauti na mkoloni yeye Hakuwa na shida na mweusi kumiliki Mali thus baada ya Uhuru Nyerere na sokoinealiwafilisi wote wenye Mali,thus ile karma zinatembea kwenye familia zao.

Wenzetu ukiwa na element za ujamaa na ukomunistu udereva utaisikia kwa jirani wanaogopa kuletewa ufukara.
 
Nunua dola weka ndani mapesa ya madafu nayo hayaaminiki kukaa nayo mengi ndani.
sasa hivi benki sio salama kuweka fedha tena!
Au nunua ardhi ni salama zaidi kuliko kuweka fedha ndani au benki.
Hakuna unachokwepa labda wingi wa noti tuu,hizo dola ununue vichochoroni yaani isiwe sehemu rasmi kama benk ,byuro de change nk maana kuna sheria inakataza kuwa na bulk cash unaweza kudhtskiwa kwa uhujumu uchumi tena
 
Mpaka sasa bank zote hawafurahii kinachoendelea nchini kwa wafanyabiashara. Kuna kufuatiliwa kwa akaunti za wateja. Kwa sasa wafanyabiashara wengi wameanza kutafuta mbinu jinsi ya kuzihifadhi pesa zao mbali na bank. Kina wakinga wengi kwa sasa wanahifadhi pesa zao sehemu zingine mbali na bank.

Hicho kitu kinaiumiza sekta za kibank. T.R.A kwa sasa hawapendi hata kumuona mtu hata anajenga kaghorofa,kosa,utafuatiliwa mpaka usimame au uikimbie hiyo ghorofa lako. Kwa Tz haiji kutokea mtu anaishi maisha kama wale vijana wadogo wa kinigeria Yahoo.com,au kuishi kama Ginimbi
 
Bila kuingia road hakuna kitakachobadilika,na wazungu nao wanaangalia penye maslahi yao tuu
 
Ahadi ya "kuishi" kama shetani iliyotolewa haijawahi tenguliwa!
 
Zamani aliwahi.kusema zito kuwa watu wameficha pesa nje na akasema ana majina yao,
Sasa ni kwa ini walificha hizonpesa nje?
 
Hapana....Nafikiri serikali ipo sahihi....kuwa na kiasi kikubwa nia sawah ila kiendane na kodi ulizolipa...wew unamiliki billion 5 bank wakikucheki record zako TRA wanaona haiendani na kiasi unachomiliki...Nchi nyingi zinafanya hiv...tumeshuhudia kina Messi,,Ronaldo wakifikishwa mahakan kwa kutuhuma za kukwepa kodi kwasababu kiasi kilichokusanywa hakiendani na pesa walizoingiza....Miliki pesa nyingi ila hakikisha TRA wanarecords zako nzuri na zinazoendana na kiasi unachomiliki...
 
 
Ukishazoea tabia ya kuumiza watu ili upate furaha baada ya kuwamaliza wa nje ni lzm utamaliza watoto wako wakiisha utajimaliza mwenyewe. Mawestone hawi na amani moyoni bila kuhakikisha wote wanakuwa zero kabisa. Matajiri wengi Sana wanakufa. Walioona mbali waliwahi mapema kuondoa pesa zao nje. Kuwekeza Africa ni risk Sana coz watawala wakishauwa uchumi kwa ujuaji ugeukia account za watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…