Serikali ya CCM haifurahi ukiwa na kiasi kikubwa cha fedha benki, unafilisiwa kwa kupewa kesi ya Uhujumu Uchumi

Hii kitu inawezekana ina ka ukweli.
Kipindi kile cha Kampeni za uchaguzi nilimsikia Lisu akizungumzia hili jambo kuwa ni moja ya chanzo cha kuwakimbiza matajiri na wawekezaji hapa nchini.
 
Du walitaka kukukata kodi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mtu alipelekewa (delivery) trekta 4 shambani kwake, zilipofika aliingia kwenye nyumba ya shambani akaibuka na mzigo wa kutosha (cash) akawalipa waliompelekea trekta wakaondoka zao, nilishangaa tu mtu kukaa na mzigo wa kiasi kile shambani. Kumbe wanaogopa mambo kama haya!

Serikali inadhani inawakomoa wafanyabiashara, in a long run itajikuta benki zote ziko tupu zitabaki kuwa sehemu ya kupitishia mishahara tu.
 
Kweli hii Mbinu nzuri nayo, kuliko kutinza mahela ambayo yanaweza shuka thamani anytime.

Sent using Jamii Forums mobile app
Muda wowote miswada itakwenda bungeni kuwazuia watu kununua dhahabu na hizo bitcoin maana kwa aina ya mtu aliyeko Ikulu

Ila kwetu sisi wazee wa kucross borders bila passport hawatatuweza watawabana misukule yao ya kijani
 
Na hata mishahara watu watatafuta alternatives nyingine man nayo itaanza kufuatiliwa jinsi chungu cha hadhina kitakavyizidi kuwa {}
 
Siku Hizi Wanaume Tunavaa Bukta Yenye MifukoMingi Unaweka Cash Nyingi Sana Ndani Ya Hiyo Halafu Suruali Nayo.
Tumechelewa Sana Ndugu Zangu
 
Naomba niongelee tukio nililosimuliwa na mshkaji wangu funzi ujenzi....
wale wa mwanza mnapajua eneo la nyamongolo musoma road kuna jamaa alikuwa anaporomosha bonge la jumba kiukweli ingawa mitaa ile kuna nyumba nzuri mpyampya ila ya jamaa ni tamu sana.

Sasa kumbe siku moja jamaa wakapita,kwa mujibu wa fundi alisema ni TRA...wakawauliza maswali ghorofa la nani ikabidi contacts zitolewe,boss akaendewa hewani maswali ya kutosha tu ikiwepo unafanya biashara gani, Tin number yako ni ipi...bla bla blaaa.

Jamaa anakuambia baada ya siku 2 ujenzi ulisimama kwa muda usiojulikana na kuwaathiri sababu hata malipo ya jamaa yalikuwa mazuri sana hadi msosi wa uhakika walikuwa wanaletewa site.

Bila shaka hata mama ntilie walikiona ch amoto, mafundi, ma supplier wa vifaa vya ujenzi,madereva....
sad....
 
Acha kukutea unyang'anyi wa Mali za watu bila hatia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…