Serikali ya CCM haifurahi ukiwa na kiasi kikubwa cha fedha benki, unafilisiwa kwa kupewa kesi ya Uhujumu Uchumi

Hivi we umbwa unalipa sh ngapi kuja humu kutetea ujinga
 
Dunia ya sahvi haina uhalali
Hakuna aliyemsafi ndomana kuna manchi makubwa yanavamia nchi zenye natural resource ili wao wajijenge zaidi kiuchumi
Kuna watu kila leo wanaombea vita wakauze silaha
Ndomana kuna criminal na certified criminals
Tukirudi kwenye mada watu wakisema mchunguzane mambo ya hela watu wngi wanaishi na wana mimali tofauti na vipato vyao
Haya mambo ya kuchunguza kwanini huyu ana hela nyingi benki yashapitwa kikubwa wangalie
Je pesa hyi anaitumiaje?
Hii dunia ya leo serikali zote duniani bila rafu mambo hayaendi mzee

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Hili ndilo tatizo alilotuachia Nyerere. Japo angekuwepo mpaka sasa angeshtuka,angebadiri,hawa hawana uwezo huo. Alituachia siasa ya jamaa,ni siasa za kishamba sana. Yaani serikali haitaki watu wake waendelee,haitaki watu wake wamiliki pesa nyingi. Utamuulizaje mtu amepataje hela?. Wapo wengine wamefanya yao huko nje ya nchi wanaogopa kuja kuwekeza huku ksbb utaulizwa. Acha mtu amiliki mpunga mrefu. Ksbb huo mpunga utatumika ndani ya hii hii nchi.
Hakika kama nchi tunaishi kishamba sana halafu tunakosa mengi. Ona tu Nigeria wanavyoishi. Vijana shuleni unafundishwa kweli kweli namna gani unaweza kupata utajiri,wanafundishwa maswala haya ya IT kiundani sana. Kwa sasa Nigeria unakutana na vijana wadogo miaka 28 anaishi maisha ya anasa,anamiliki majumba,mahekalu aliyowekeza hapo hapo Nigeria. Wanamiliki magari ya kifahari ma-Lamborgin na mengine ya kifahari. Huku anaonekana tu mtu wa hivyo lazima afuatiliwe. Nigeria wanaongoza kwa utaperi wa mitandao duniani. Na wanataperi mataifa makubwa kama Marekani. Sasa vijana kama hao hapa kwetu wataishi kweli?. Acha mtu amiliki maisha,kama anawekeza nchini atalipa kodi kwa hivyo anavyowekeza na ataajiri vijana wengi. NCHI KAMA NCHI LAZIMA TUBADIRIKE TUISHI KULINGANA NA DUNIA INAVYOENDA.
 
Tuliletewa barua na BOT yakureporty kila mteja wetu anayeleta cash nyingi mara kwa mara. Majina yatumwe Bot nikataka kushare hiyo barua hapa miezi ile ya sita na saba lakini nikasita.
Kwa kifupi kla mteja analeta cash nyingi tunatuma jina
 
Tuliletewa barua na BOT yakureporty kila mteja wetu anayeleta cash nyingi mara kwa mara. Majina yatumwe Bot nikataka kushare hiyo barua hapa miezi ile ya sita na saba lakini nikasita.
Kwa kifupi kla mteja analeta cash nyingi tunatuma jina
Nimejenga vi nyumba vyangu vinane kwa msaada wa kibiashara, lakini nimeitwa ninaambiwa kipato changu hakilingani na Mali ninazomiliki. Daah nimepeleka tarrifa ya kodi nimeambiwa nutaitwa tena kwa akjili ya kupata matokeo ya uchunguzi
 
Nimejenga vi nyumba vyangu vinane kwa msaada wa kibiashara, lakini nimeitwa ninaambiwa kipato changu hakilingani na Mali ninazomiliki. Daah nimepeleka tarrifa ya kodi nimeambiwa nutaitwa tena kwa akjili ya kupata matokeo ya uchunguzi
Mkuu watch out, siku hizi kuwa tajiri hapa tz ni shida. Hivyo vijumba vibadili umiliki weka majina tofauti tofauti
 
Tuliletewa barua na BOT yakureporty kila mteja wetu anayeleta cash nyingi mara kwa mara. Majina yatumwe Bot nikataka kushare hiyo barua hapa miezi ile ya sita na saba lakini nikasita.
Kwa kifupi kla mteja analeta cash nyingi tunatuma jina
Aiseee
 
Wakishamaliza kuzichungulia kwenye mabenk wataamia kwenye simu.
Salama ni bank za nje unavuka boda unaweka unarudi,siku hazigandi ikipita awamu hii unazirejesha Kama walivyofanya watu Zama za Nyerere
Sasa hivi kupitia Kitambulisho cha Nida popote unapoweka fedha zako wanaona kiufupi Taarifa zako zote zipo wazi mkuu. Dawa ni nje ya nchi huwezi amini hata hii I'd yako ya JF wakitaka kukjua ni swala la muda tu.
 
Katika hao ulio wataja hata mimi naona yamkini walifanya ujanja ujanja,mtu wa kawaida hata leo ukipeleka milion 100 ukiulizwa umetoa wapi ukasema umeuza nyumba yako na kiwanja ili ujue cha kufanya kingine qala hawana shida nawe,we tazama hiyo list yako siyo ya watu tu wa kawaida,umetaja wakurugenzi na kadharika,wana mambo hao na bila wao kujua wana watu wa usalama ndani yao wanaojua wamefisadi wapi..Afrika yote hii tukifata haki ya kiutafutaji tutajikuta watu wote hatutapishana parefu sana kiuchumi
 
Hapa unatakiwa kujua kua uongozi wa nchi yako uko macho na masilahi ya taifa ili ujue kwamba hawana shida ulipo peleka nyaraka halali uliporwa pesa zako?jibu yamkini ni la hasha.

Ukiuza kitu chako hata kama ni cha urisi nenda peleka pesa zako bank na maelezo ya hiyo pesa nyingi umetoa wapi na si shida yoyote,wala hutafatiliwa

Ndani kwako wewe kama ni me/ke..mwezi wako wa mahahara wa laki 6 ktk kazi ya ualimu,dereva,afisa ustawi,benker n.k ukiingia ndani ghafla na pesa milioni 50,tarajia mkeo/mumeo kukuuliza umezitoa wapi

Ni utaratibu wa kawaida
 
Sasa Kama ukiwa na huge financial security wataweza kukutawala wanavyotaka wao?

Serikali yoyote ile huwa haiko tayari kuona wanainchi wake wengi wako na power ya kiuchumi, maana itajikuta wanainchi hawatawaliki na hatimae kuingia kwenye anarchy

Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
 
Tatizo hapa serikali ikishtuka watu hawapeleki hela bank Watakuja na mbinu ya kubadirisha pesa, hapo ndio kimbembe utazipeleka vp bank
 
Kipindi hiki ukiweka 20m bank lazima utoe maelezo chanzo cha hiyo pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…