Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Swali gumu mno !Why matajiri wengi wamekufa awamu hii pendwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swali gumu mno !Why matajiri wengi wamekufa awamu hii pendwa
Hivi we umbwa unalipa sh ngapi kuja humu kutetea ujingaNimesoma comment nyingi na inaonekana mleta thread hii kafanikiwa kuwafanya wachungaji kuwa emotional.
Je tunafurahia watu wanaomiliki pesa bila takwimu sahii za mapato na Kodi?
Unatoa wapi pesa kihalali ili zijae tu banki? Acheni ujinga lipa Kodi
Wengi wanaolialia ni wezi , matepeli n wizi wakubwa. Fuateni njia halali na muwe bold kujustfy utajiri wenu
Dunia ya sahvi haina uhalaliNimesoma comment nyingi na inaonekana mleta thread hii kafanikiwa kuwafanya wachungaji kuwa emotional.
Je tunafurahia watu wanaomiliki pesa bila takwimu sahii za mapato na Kodi?
Unatoa wapi pesa kihalali ili zijae tu banki? Acheni ujinga lipa Kodi
Wengi wanaolialia ni wezi , matepeli n wizi wakubwa. Fuateni njia halali na muwe bold kujustfy utajiri wenu
Hili ndilo tatizo alilotuachia Nyerere. Japo angekuwepo mpaka sasa angeshtuka,angebadiri,hawa hawana uwezo huo. Alituachia siasa ya jamaa,ni siasa za kishamba sana. Yaani serikali haitaki watu wake waendelee,haitaki watu wake wamiliki pesa nyingi. Utamuulizaje mtu amepataje hela?. Wapo wengine wamefanya yao huko nje ya nchi wanaogopa kuja kuwekeza huku ksbb utaulizwa. Acha mtu amiliki mpunga mrefu. Ksbb huo mpunga utatumika ndani ya hii hii nchi.Hapana....Nafikiri serikali ipo sahihi....kuwa na kiasi kikubwa nia sawah ila kiendane na kodi ulizolipa...wew unamiliki billion 5 bank wakikucheki record zako TRA wanaona haiendani na kiasi unachomiliki...Nchi nyingi zinafanya hiv...tumeshuhudia kina Messi,,Ronaldo wakifikishwa mahakan kwa kutuhuma za kukwepa kodi kwasababu kiasi kilichokusanywa hakiendani na pesa walizoingiza....Miliki pesa nyingi ila hakikisha TRA wanarecords zako nzuri na zinazoendana na kiasi unachomiliki...
Nimejenga vi nyumba vyangu vinane kwa msaada wa kibiashara, lakini nimeitwa ninaambiwa kipato changu hakilingani na Mali ninazomiliki. Daah nimepeleka tarrifa ya kodi nimeambiwa nutaitwa tena kwa akjili ya kupata matokeo ya uchunguziTuliletewa barua na BOT yakureporty kila mteja wetu anayeleta cash nyingi mara kwa mara. Majina yatumwe Bot nikataka kushare hiyo barua hapa miezi ile ya sita na saba lakini nikasita.
Kwa kifupi kla mteja analeta cash nyingi tunatuma jina
Mkuu watch out, siku hizi kuwa tajiri hapa tz ni shida. Hivyo vijumba vibadili umiliki weka majina tofauti tofautiNimejenga vi nyumba vyangu vinane kwa msaada wa kibiashara, lakini nimeitwa ninaambiwa kipato changu hakilingani na Mali ninazomiliki. Daah nimepeleka tarrifa ya kodi nimeambiwa nutaitwa tena kwa akjili ya kupata matokeo ya uchunguzi
Umeona jinsi anavyo zidi kuchongoka na surayake kuzidi kupoteza nuru huku feni ikimlinda pembeni?Pambana na hali yako.
Ni yeye 2020 had 2025.
AiseeeTuliletewa barua na BOT yakureporty kila mteja wetu anayeleta cash nyingi mara kwa mara. Majina yatumwe Bot nikataka kushare hiyo barua hapa miezi ile ya sita na saba lakini nikasita.
Kwa kifupi kla mteja analeta cash nyingi tunatuma jina
Sasa hivi kupitia Kitambulisho cha Nida popote unapoweka fedha zako wanaona kiufupi Taarifa zako zote zipo wazi mkuu. Dawa ni nje ya nchi huwezi amini hata hii I'd yako ya JF wakitaka kukjua ni swala la muda tu.Wakishamaliza kuzichungulia kwenye mabenk wataamia kwenye simu.
Salama ni bank za nje unavuka boda unaweka unarudi,siku hazigandi ikipita awamu hii unazirejesha Kama walivyofanya watu Zama za Nyerere
Katika hao ulio wataja hata mimi naona yamkini walifanya ujanja ujanja,mtu wa kawaida hata leo ukipeleka milion 100 ukiulizwa umetoa wapi ukasema umeuza nyumba yako na kiwanja ili ujue cha kufanya kingine qala hawana shida nawe,we tazama hiyo list yako siyo ya watu tu wa kawaida,umetaja wakurugenzi na kadharika,wana mambo hao na bila wao kujua wana watu wa usalama ndani yao wanaojua wamefisadi wapi..Afrika yote hii tukifata haki ya kiutafutaji tutajikuta watu wote hatutapishana parefu sana kiuchumiSalaam Wakuu,
Nmeanza kuelewa kwanini Matajiri wengi wa Tanzania wanaficha fedha zao nje ya Nchi. Siwalaumu tena. Na kama hii hali ikiendelea, Benki nyingi zitatikisika kiuchumi kwani watu watasusa kupeleka hela.
Zamani Watanzania wengi walikuwa hawapeleki fedha zao benki. Walikuwa wanazichimbia mashambani na wengine kuzilalia kwenye Vitanda vya Kamba. Hii walikuwa wanafanya kwa kuhofia kunyang'anywa fedha zao na Serikali. Mabenki yalifanya Kampeni kubwa kuwabembeleza watu wapeleke fedha benki na Wakafanikiwa.
Hii hali sasa imerudi kwa kasi hivi Karibuni. Nini kinafanyika?
1. Wanafuatilia benki una kiasi gani, Wakikuta hela ni nyingi Wanazizuia, Ukienda kutoa hazitoki wanakuambia zinafanyiwa Uchunguzi.
2. Wanabuni mbinu watazipataje hizo hela, hivyo ramani inachorwa ya kuzipata kwa kuangalia makando kando yako. eidha unaweza ambiwa:
i) Unamiliki fedha zisizoendana na Kipato chajo
ii) Hujalipia kodi, au umepata kwa Udanganyifu.
3. Utakamatwa na kufunguliwa kesi isiyo na dhamana Uhujumu Uchumi.
i) Utakatishaji fedha
ii) Kuongoza genge la Uharifu
iii) Kukwepa kodi nk
4. Unalazimishwa uonge nao mfanye Makubaliano ni kiasi gani cha fedha utawapa ili Uachiliwe huru
5. Unalazimishwa ukiri kosa halafu Unapigwa faini na fedha zako zinachukuliwa. Faini haizidi fedha ulizo nazo, wanazijua hivyo wanajua utalipa tu.
Baada ya hapo Wanakuachia huru unaendelea na kazi zako. Unaanza upya kujitafutia kipato, kikiongezeka Mzunguko unaanza tena hapo kwenye maelezo namba moja.
Hakika aduni wa Mtanzania ni Mtanzania.
Hapa chini naweka Mifano Michache ya Watu waliochezewa hii style ya kunyang'anya watu fedha zao ukiachilia mbali Tariq Machibya maarufu Mr Kuku.
1. Mwandishi wa Habari za kiuchunguzi Ndugu Erick Kabendera
2. Aliyekuwa Rais wa Migodi ya Pangea North Mara, Exploration na Bulyanhulu, Deogratius Mwanyika
3. Wafanyabiashara saba wa mafuta wakiwemo Wakurugenzi wa Kampuni ya SHIN UP Tanzania limited Zhang Zhi XIN, LINCOLN
4. Mkurugenzi mkuu wa Benki M Tanzania, Sanjeev Kumar
5. Makamu wa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Michael Wambura
6. Astery Ndege aliyekuwa Mkurugenzi wa Kampuni ya Aste Insurance Brokers
7. Mfanyabiashara Daniel Chizua aliyedaiwa kukutwa na Kobe Wawili
8. Raia wa China, Liang Hu aliyedaiwa kuua Tembo 511
9. MKURUGENZI wa Uwezeshaji wa Kampuni ya Yapi Markez inayojenga Reli ya kisasa Standard Gauge, Yetkin Genc Mehmet
10. Wafanyabiashara Noah Mmasanga, Richard Boniface, Ally Said na Mosses Mbojo na wengine wengi.
Vilevile kuna hukumu zinatolewa bila hata ya Kwenda Mahakamani. Mfano TCRA iliwapiga faini Airtel: 1.6 bilioni, TTCL: 1.6 bilioni, Halotel: 900 milioni, Zantel: 850 milioni, Tigo: 500 milioni na Vodacom: 450 milioni.
Je, ni lini Tutapata Mabilionea Wapya sababu Waliopo Wanazidi kuaga dunia.
Nashauri wachunguzi wa mambo wafanyie kazi Vifo vya hawa Matajiri wa Kitanzania ambao wamekufa kwa kufuatana . Isijekuwa ni hela zao zimewatoa roho. Mungu alaze roho zao mahali pema peponi Subhash Patel, Mr Reginald Mengi, Dr Rajni Kanabar, Ali Mufuruki, Salim Hassan Turky, Mr Salum Shamte nk.
Kinachoikumba Shule ya Mt. Jude: TRA waliondoa 500,000,000 kwenye akaunti za Shule
HALI YA SASA YA SHULE YA ST. JUDE UTANGULIZII 1. Shule ya St Jude inatoa asilimia 100 ya elimu bure na bora kwa Zaidi ya watoto 2000 kuanzia shule ya msingi, sekondari na elimu ya juu kwa familia zenye hali duni ya kiuchumi wanaoishi kwenye mikoa ya kaskazini ya Tanzania. Kati ya wanafunzi...www.jamiiforums.com
Hapa unatakiwa kujua kua uongozi wa nchi yako uko macho na masilahi ya taifa ili ujue kwamba hawana shida ulipo peleka nyaraka halali uliporwa pesa zako?jibu yamkini ni la hasha.Usifikiri ni utani.
Leo hii ukipata tu hela nyingi, fikiria mara mbili kabla hujapeleka bank.
Kuna wakati nililkuwa nalipwa mshahara wa dola 9,000 kwa mwezi. Nilikuwa nimeajiriwa nje ya nchi lakini niliomba mshahara wangu ulipwe kwenye akaunti yangu ya nyumbani hapa Tanzania.
Niliporudi likizo, kutaka kuchukua hela, nikaambiwa nikamwone manager wa branch. Baadaye nilifanikiwa lakini baada ya kupeleka documents za mkataba, work permit, nakala ya dicuments za kodi za nchi nilikokuwa nafanya kazi, n.k.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo hapa serikali ikishtuka watu hawapeleki hela bank Watakuja na mbinu ya kubadirisha pesa, hapo ndio kimbembe utazipeleka vp bankKuna mtu alipelekewa (delivery) trekta 4 shambani kwake, zilipofika aliingia kwenye nyumba ya shambani akaibuka na mzigo wa kutosha (cash) akawalipa waliompelekea trekta wakaondoka zao, nilishangaa tu mtu kukaa na mzigo wa kiasi kile shambani. Kumbe wanaogopa mambo kama haya!
Serikali inadhani inawakomoa wafanyabiashara, in a long run itajikuta benki zote ziko tupu zitabaki kuwa sehemu ya kupitishia mishahara tu.
Kipindi hiki ukiweka 20m bank lazima utoe maelezo chanzo cha hiyo pesaSalaam Wakuu,