Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Inasikitisha mnoHivi kuna jambo lolote ambalo serikali hii ya kihuni imeliweza zaidi ya kuharibu kila walichokikuta?
Tunaenda enda tu yaani ni bora liende
Mama anamwaga hela kwenye afya, tatizo liko wapi? Acheni uongo.Kwanini mnaleta masiala kwenye maisha ya Watu? Kwanini mnakua na maono hafifu kiasi hiki? Ni rasmi kuanzia Leo wamiliki WA hospital Binafsi wamesitisha kupokea Bima za Afya za NHIF ambazo wanaotumia zaidi ni watu WA kipato cha chini.
Siamini kabisa kwamba Serikali nzima ya CCM imekosa MTU mwenye busara hata mmoja kushauri juu ya kushapaza shingo huku? Ni kweli tunaweza kufanya masiala Juu ya Afya za Watu kwa kiasi hiki?
Tuna Nchi yenye Viongozi WA ajabu kuwahi kutokea Nchi hii. Juzi Kati waingiza mafuta walilalamika na kuandika barua Kabisa, Nani anayejua, Kesho na wao wakigoma itakuaje? Kila MTU Yuko kimya. Mwisho sio mwema.
View attachment 2920820View attachment 2920821View attachment 2920822
Wako kimyaaa, shenzi kabisaMa
Mama anamwaga hela kwenye afya, tatizo liko wapi? Acheni uongo.
Cc faiza, Lucas
Ndio akili za Makada wa CCM hiziTumieni dawa za asili achaneni na hospitali
Unanunua Gari ya million mia tano na unashindwa kulipa madeni, dahWanaelewa basi
Hapo walipo wanawaza kununua jinsi gani wataharibu uchaguzi
Kuna siku Kuna Jambo litatokeaHizi ni baadhi tu ya mambo zinazokuambia sasa upo Afrika...
Kuna siku Kuna Jambo litatokea
AiKwanini mnaleta masiala kwenye maisha ya Watu? Kwanini mnakua na maono hafifu kiasi hiki? Ni rasmi kuanzia Leo wamiliki WA hospital Binafsi wamesitisha kupokea Bima za Afya za NHIF ambazo wanaotumia zaidi ni watu WA kipato cha chini.
Siamini kabisa kwamba Serikali nzima ya CCM imekosa MTU mwenye busara hata mmoja kushauri juu ya kushapaza shingo huku? Ni kweli tunaweza kufanya masiala Juu ya Afya za Watu kwa kiasi hiki?
Tuna Nchi yenye Viongozi WA ajabu kuwahi kutokea Nchi hii. Juzi Kati waingiza mafuta walilalamika na kuandika barua Kabisa, Nani anayejua, Kesho na wao wakigoma itakuaje? Kila MTU Yuko kimya. Mwisho sio mwema.
View attachment 2920820View attachment 2920821View attachment 2920822
Hizi Sasa ndio zinazoitwa akili fupiSerikali izitaifishe hospitali zote binafsi zinazoshiriki kwenye mgomo huu haramu.
Ai