Serikali ya CCM iache Masihara na suala la Bima, wanacheza na maisha ya watu

Serikali ya CCM iache Masihara na suala la Bima, wanacheza na maisha ya watu

Serikali izitaifishe hospitali zote binafsi zinazoshiriki kwenye mgomo huu haramu.

Ai
1709267776800.png
 
Kwanini mnaleta masiala kwenye maisha ya Watu? Kwanini mnakua na maono hafifu kiasi hiki? Ni rasmi kuanzia Leo wamiliki WA hospital Binafsi wamesitisha kupokea Bima za Afya za NHIF ambazo wanaotumia zaidi ni watu WA kipato cha chini.

Siamini kabisa kwamba Serikali nzima ya CCM imekosa MTU mwenye busara hata mmoja kushauri juu ya kushapaza shingo huku? Ni kweli tunaweza kufanya masiala Juu ya Afya za Watu kwa kiasi hiki?

Tuna Nchi yenye Viongozi WA ajabu kuwahi kutokea Nchi hii. Juzi Kati waingiza mafuta walilalamika na kuandika barua Kabisa, Nani anayejua, Kesho na wao wakigoma itakuaje? Kila MTU Yuko kimya. Mwisho sio mwema.

View attachment 2920820View attachment 2920821View attachment 2920822
subra yavuta kheri,
ndhani serikali imekiri kwamba ipo changamoto kwenye jambo hili na linashughulikiwa.

bilashaka,
wakati wowote mapema iwezekanavyo jambo hili linapatiwa ufumbuzi...

Ni kwa Neema na Baraka za Mungu Yote Haya Yanawezekana Kwake..
 
Kufuta Kitita sio jmbo dogo warudi mezani wabadili Bei..full stop hakuna mjdala.mwingine
 
BICHWA KOMWE - huu ndo muda wa wewe kutufundisha Dawa za asili tutumieje kama ni milonge tunywe kiasi gani na mbegu ngapi..

Kama ni Shubiri tunywe kiasi gani
Shida yenu hamfundishiki. Mafansida na Machanjo yameshawavuruga kiasi kwamba ukiambiwa shubiri inatibu malaria unabaki kushangaa, unaona kama miujiza ya MWAMPOSA au kama ndoto hivi!

Wakati nyie mnadungana machanjo ya corona, mie nilikunywa shubiri nikawa mzima wa afya tele. Sikufa.

Wazee wa machanjo wakawa wananicheka, ati ooooh wee mshambaa unakunywa vitu vya kichawi! Nikasema tawire baba, mie mchawiii! Tutajua tu baadaye kama kweli mie ni mchawi au PapaaWise.

Mmoja alidungwa machanjo hadi tako likaenda upande! Akaambiwa amepata stroke!!! Kuuliza nini kulikonii kaelezwa hiyo ni SIDE EFFECT YA KAWAIDA YA KISAYANSIII, PERIPHERAL NEURAL DAMAGE!!!

Kukaa hakai, anashuta tu! Akikaa anakalia tako moja kama Kunguru!
 
Kufuta Kitita sio jmbo dogo warudi mezani wabadili Bei..full stop hakuna mjdala.mwingine
Yes,
Suluhu muafaka ya kuleta matokeo ya maana ni kuketi meza moja kuondoa dosari na vikwazo, kurekebisha makosa na kuja na way forward kwa maslahi mapana kwa wateja na watoa huduma.🐒
 
Serikali izitaifishe hospitali zote binafsi zinazoshiriki kwenye mgomo huu haramu.
Ai
Kutaifisha hawawezi maana uwezo wa kuziendesha hawana, zitakufa upesi mikononi mwao.
Labda wazifutie vibali au watafute muafaka
 
mimi sio mwanachama wa chama chochote cha siasa Tanzania , nimefanya utafiti kidogo tu kuhusu serikali na wananchi wake hapa Tanzania nimegundua wananchi wa Tanzania wengi hawana ufahamu wowote ule kuusu mambo yakiserikali na wengi ni wafata mkumbo pale linapokuja swala lakulaumu serikali issue ya NHIF na hospitals iko wazi kabisa kwamba shirika la bima limeziba mianya yote iliyokuwa ikitumiwa na hospitals mbalimbali kupata pesa za ujanja ujanja na sikuzote ukibana mianya ya pesa lazima kuna kelele kama hizi zitatokea lakini wananchi bila kufatilia nini chanzo kelele zinaenda kwa serikali ilihali hospitali binafisi zinafanya hvyo hili kupata pesa nyingi kutoka kwenye shirika isivyo takiwa.
 
Serikali wamegoma kukaa meza moja
View attachment 2920945
hapa sasa kuna msukumo au shinikizo la kibinafsi miongoni mwa waandamizi NHIF wanamsakazia meneja uhusiano bure tu Maskini 🐒

soon kuna kuwajibishwa kutatokea hapa, yule mkurugenzi kijana alieteuliwa majuzi ajiangalie 🐒

Diplomacy is the art of negotiations.
hii ni nyenzo muhimu sana kutumika katika Jambo hili kutunishiana misuli na wadau hakuna maana yeyote zaidi ya kuchochea mgogoro zaidi 🐒
 
Kwanini mnaleta masiala kwenye maisha ya Watu? Kwanini mnakua na maono hafifu kiasi hiki? Ni rasmi kuanzia Leo wamiliki WA hospital Binafsi wamesitisha kupokea Bima za Afya za NHIF ambazo wanaotumia zaidi ni watu WA kipato cha chini.

Siamini kabisa kwamba Serikali nzima ya CCM imekosa MTU mwenye busara hata mmoja kushauri juu ya kushapaza shingo huku? Ni kweli tunaweza kufanya masiala Juu ya Afya za Watu kwa kiasi hiki?

Tuna Nchi yenye Viongozi WA ajabu kuwahi kutokea Nchi hii. Juzi Kati waingiza mafuta walilalamika na kuandika barua Kabisa, Nani anayejua, Kesho na wao wakigoma itakuaje? Kila MTU Yuko kimya. Mwisho sio mwema.

Halafu waziri kimyaaaa kwa jinsi walivyo na dharau
 
hapa sasa kuna msukumo au shinikizo la kibinafsi miongoni mwa waandamizi NHIF wanamsakazia meneja uhusiano bure tu Maskini 🐒

soon kuna kuwajibishwa kutatokea hapa, yule mkurugenzi kijana alieteuliwa majuzi ajiangalie 🐒

Diplomacy is the art of negotiations.
hii ni nyenzo muhimu sana kutumika katika Jambo hili kutunishiana misuli na wadau hakuna maana yeyote zaidi ya kuchochea mgogoro zaidi 🐒
Tatizo viongozi wetu wengi hawana elimu ya Diplomasia
 
Back
Top Bottom