Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
- Thread starter
-
- #21
Huku government ndio upumbavu mtupuTunaelezwa "Mama" kajenga hospital kila mahali,kamwaga ma CT Scan,MRI na budget ya dawa kaongeza kwa 200%
Watu wa bima waende Government tu ndiyo lengo na hiki kinachoendelea.
Serikali izitaifishe hospitali zote binafsi zinazoshiriki kwenye mgomo huu haramu.
Ai
subra yavuta kheri,Kwanini mnaleta masiala kwenye maisha ya Watu? Kwanini mnakua na maono hafifu kiasi hiki? Ni rasmi kuanzia Leo wamiliki WA hospital Binafsi wamesitisha kupokea Bima za Afya za NHIF ambazo wanaotumia zaidi ni watu WA kipato cha chini.
Siamini kabisa kwamba Serikali nzima ya CCM imekosa MTU mwenye busara hata mmoja kushauri juu ya kushapaza shingo huku? Ni kweli tunaweza kufanya masiala Juu ya Afya za Watu kwa kiasi hiki?
Tuna Nchi yenye Viongozi WA ajabu kuwahi kutokea Nchi hii. Juzi Kati waingiza mafuta walilalamika na kuandika barua Kabisa, Nani anayejua, Kesho na wao wakigoma itakuaje? Kila MTU Yuko kimya. Mwisho sio mwema.
View attachment 2920820View attachment 2920821View attachment 2920822
Kufuta Kitita sio jmbo dogo warudi mezani wabadili Bei..full stop hakuna mjdala.mwinginesubra yavuta kheri,
ndhani serikali imekiri kwamba ipo changamoto kwenye jambo hili na linashughulikiwa.
bilashaka,
wakati wowote mapema iwezekanavyo jambo hili linapatiwa ufumbuzi...
Ni kwa Neema na Baraka za Mungu Yote Haya Yanawezekana Kwake..
Shida yenu hamfundishiki. Mafansida na Machanjo yameshawavuruga kiasi kwamba ukiambiwa shubiri inatibu malaria unabaki kushangaa, unaona kama miujiza ya MWAMPOSA au kama ndoto hivi!BICHWA KOMWE - huu ndo muda wa wewe kutufundisha Dawa za asili tutumieje kama ni milonge tunywe kiasi gani na mbegu ngapi..
Kama ni Shubiri tunywe kiasi gani
Yes,Kufuta Kitita sio jmbo dogo warudi mezani wabadili Bei..full stop hakuna mjdala.mwingine
Serikali wamegoma kukaa meza mojaYes,
Suluhu muafaka ya kuleta matokeo ya maana ni kuketi meza moja kuondoa dosari na vikwazo, kurekebisha makosa na kuja na way forward kwa maslahi mapana kwa wateja na watoa huduma.π
Kutaifisha hawawezi maana uwezo wa kuziendesha hawana, zitakufa upesi mikononi mwao.Serikali izitaifishe hospitali zote binafsi zinazoshiriki kwenye mgomo huu haramu.
Ai
hapa sasa kuna msukumo au shinikizo la kibinafsi miongoni mwa waandamizi NHIF wanamsakazia meneja uhusiano bure tu Maskini πSerikali wamegoma kukaa meza moja
View attachment 2920945
Halafu waziri kimyaaaa kwa jinsi walivyo na dharauKwanini mnaleta masiala kwenye maisha ya Watu? Kwanini mnakua na maono hafifu kiasi hiki? Ni rasmi kuanzia Leo wamiliki WA hospital Binafsi wamesitisha kupokea Bima za Afya za NHIF ambazo wanaotumia zaidi ni watu WA kipato cha chini.
Siamini kabisa kwamba Serikali nzima ya CCM imekosa MTU mwenye busara hata mmoja kushauri juu ya kushapaza shingo huku? Ni kweli tunaweza kufanya masiala Juu ya Afya za Watu kwa kiasi hiki?
Tuna Nchi yenye Viongozi WA ajabu kuwahi kutokea Nchi hii. Juzi Kati waingiza mafuta walilalamika na kuandika barua Kabisa, Nani anayejua, Kesho na wao wakigoma itakuaje? Kila MTU Yuko kimya. Mwisho sio mwema.
Tatizo viongozi wetu wengi hawana elimu ya Diplomasiahapa sasa kuna msukumo au shinikizo la kibinafsi miongoni mwa waandamizi NHIF wanamsakazia meneja uhusiano bure tu Maskini π
soon kuna kuwajibishwa kutatokea hapa, yule mkurugenzi kijana alieteuliwa majuzi ajiangalie π
Diplomacy is the art of negotiations.
hii ni nyenzo muhimu sana kutumika katika Jambo hili kutunishiana misuli na wadau hakuna maana yeyote zaidi ya kuchochea mgogoro zaidi π
Kama wanategea akili ya makonda unatarajia nini?!!Hivi kuna jambo lolote ambalo serikali hii ya kihuni imeliweza zaidi ya kuharibu kila walichokikuta?
Tunaenda enda tu yaani ni bora liende