makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Nchi ya kisenge saana hii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe maana yake, hata hii tunaambiwa ni pool, Tanzania itakuwa inachangia kidogo sana ama tuseme hakuna maana hatuna mifereji imara ya kuufikisha huo umeme.Na pia kama Tuna Nia ya Kufanya Cross-border trading ya Umeme kwenye Pools mbalimbali ni lazima kabisa tuwekeze Sana kwenye Ujenzi wa transmission lines leo tuna Surplus kwasababu ya Mwalimu Nyerere kuingia lakini Umeme huo hakuna Njia Tunaweza kufiksha Kenya na Kutrade kwenye Pools, Tuwekeze zaidi Kujenga transmission line za Msongo wa Juu wa Voltage 400KV
Loss ya tramssion,ni kweli ukiwa na poor infrastructures,wakati wagunduzi wa umeme wanagundua nyaya zinazozuia tramssion loss zilitakiwa ziwe za Material ya Gold sio copper,as long as unatumia copper hata uwezi Kukosa transmission loss , point inarudi pale pale tuMi nimesema miundombinu nikilenga power grid ile miundombinu ya kusambaza umeme mkubwa kutoka kwenye generation source.
Japo mi sio mtaalamu sana ila kuna power grid na kuna hii miundombinu ya distribution ya kawaida ya umeme wa nguzo za mitaani.
I think hapa hoja kuu iwe ni hiyo miundombinu ya kutoa umeme kwenye generation site, ndio kwa Tanzania itakuwa ni poor ndo maana inakuwa expensive kupeleka umeme wa ziada kwenye northern circuit kiasi tutoe Kenya ambao umetoka Ethiopia
Get the fact b4 you open big mouth, Ethiopia inauzia umeme Kenya Kwa Grid yake geographical wako karibu na Kenya on behalf wanauza kwetu as agent Kwa Ethiopian..huo umeme tunaonunua mpakani chanzo chake ni ETHIOPIA kwa hiyo hoja yako kuwa Rufiji ni mbali sio sahihi.
Wimbo wa LuckydubeView attachment 3265668
Watu wameng'ang'ania kujadili uhalali wa kuagiza umeme nje ya nchi. Kuna shida ingine kubwa haimulikwi.
Tatizo haswa la Tanzania ni kwamba, baada ya ule mradi wa bwawa la umeme kupitishwa na kuanza rasmi, kuna kitu kingine kilipaswa kufanywa sambamba na mradi wa bwawa la Nyerere, nacho ni Power Grid Transmission infrastructures ambayo ingemudu kusafirisha hicho kiasi kinachozaliswa.
Kwenye uchumi kuna bidha ambazo zonaendana matumizi, ukipika chai, lazima uwena sukari na majani ya chai. Sasa huwezi tu kununua sukari halafu ukasahau majani ya chai.
Walichofanya serikali ya CCM ni kutumia Trillioni 9 (5% ya GDP) kujenga capacity kubwa kiasi hicho na kusahau kuwekeza kwenye Power Grid. Maana yake ni kwamba, kama huna efficiency kwenye transmission, lazima iwe ghali na ineffective kupeleka umeme kule ambapo grid ni changamoto.
Kwa mahesabu ya haraka haraka, ku invest kwenye grid ya 600km inaweza kugharimu kama $1.2 billion (kama trilioni 3 hivi). Na hii risk nadhani ingepaswa kuonekana kwenye andiko la mradi.
Ambacho wangepaswa kufanya serikali ya Samia ni kuomba radhi watanzania kwa kufanya mradi mkubwa wa matrilioni bila kujua ukiisha huo umeme utasafirishwa vip.
Kwahiyo watu wasijikite sana na masuala sijui ya ni halali au sio halali kuagiza umeme nje, au sijui eti hasara ya bilioni 30 kwa mwaka, kuna hoja kubwa ya upotevu wa trillioni 9 ambao kwasasa ni wazi capacity yake haitumiki kwa asilimia 100 kwasababu ya poor grid
Kwahiyo wote mnaotetea kununua nje umeme hamjisikilizi. Na kununua umeme nje sio sustainable, kwasababu hujui ni kwa haraka kiasi gani huo umeme wa nje utamudu demand growth ya Tanzania.
Maana yake hapa ningetegemea serikali ije na project ingine ya kujenga power grid ya 600km ambayo ni uwekezaji kama wa 3 trillion hivi. Huwezi kusema tu tutakuwa tunanunua umeme Ethiopia halafu ukaishis tu hapo bila way forward, ukizingatia una bwawa la 9 trillion pesa zimelala tu hapo.
Inasikitisha
Umeme Uko Rufiji Hapo?😅😅😅Loss ya tramssion,ni kweli ukiwa na poor infrastructures,wakati wagunduzi wa umeme wanagundua nyaya zinazozuia tramssion loss zilitakiwa ziwe za Material ya Gold sio copper,as long as unatumia copper hata uwezi Kukosa transmission loss , point inarudi pale pale tu
Hahaha.......Yaani Mnachekesha sana.Get the fact b4 you open big mouth, Ethiopia inauzia umeme Kenya Kwa Grid yake geographical wako karibu na Kenya on behalf wanauza kwetu as agent Kwa Ethiopian
Si champion ccm,but fact are fact.Stop the hate ,,sika jambo nikukosaaHahaha.......Yaani Mnachekesha sana.
Sasa Matrilioni yoote mliyotumia si bora mngenunua tu huko huko?
Get the fact b4 you open big mouth, Ethiopia inauzia umeme Kenya Kwa Grid yake geographical wako karibu na Kenya on behalf wanauza kwetu as agent Kwa Ethiopian