Serikali ya CCM ikubali kulamba matapishi ya makosa yake; yaani unatumia 5% ya GDP kujenga bwawa la umeme halafu uagize umeme nje? Mnajisikiliza??

Kumbe maana yake, hata hii tunaambiwa ni pool, Tanzania itakuwa inachangia kidogo sana ama tuseme hakuna maana hatuna mifereji imara ya kuufikisha huo umeme.

Maana yake ni vile hatuambiwi tu, inawezekana hata ukienda Mwalimu Nyerere ukakuta operations zipo less than 50% kitu ambacho kwangu ni kama loss fulani hivi
 
Kwamba fedha zimekauka hawawezi kupata za kujenga miundombinu na kuifanya efficient ? Kabla ya Bwawa na Kabla ya hawa kununua Ethiopia walikuwa wanatumia Vibatali ?

Issue ni kwamba hatua moja imefanyika waendelee kufanya nyingine, sio kuacha kufanya mambo eti ni mradi wa Trilioni ngapi (unadhani usingefanyika huo kwa kipindi hicho si hizo pesa eventually tungewapa kina Dowans) au kama tunavyowapa hawa wenye mirija yao kwa mgongo wa Umeme kupotea !!??? Kwanini tusijenge hio mioundombinu ili tufike huko border na kuwauzia ziada wote waliotuzunguka ?

Kwanini kama ziada ni kubwa wasipunguze gharama hata wote mijini na vijijini kuwa Tariff Zero ili waweze kupikia kwa kutumia umeme badala ya kuagiza LPG kutoka nje ?

Its about time tuache kulishana lawama na excuses bali action na results...
 
Mbona wameeleza vizuri tu na nimewaelewa
 
Loss ya tramssion,ni kweli ukiwa na poor infrastructures,wakati wagunduzi wa umeme wanagundua nyaya zinazozuia tramssion loss zilitakiwa ziwe za Material ya Gold sio copper,as long as unatumia copper hata uwezi Kukosa transmission loss , point inarudi pale pale tu
 
..huo umeme tunaonunua mpakani chanzo chake ni ETHIOPIA kwa hiyo hoja yako kuwa Rufiji ni mbali sio sahihi.
Get the fact b4 you open big mouth, Ethiopia inauzia umeme Kenya Kwa Grid yake geographical wako karibu na Kenya on behalf wanauza kwetu as agent Kwa Ethiopian
 
Wimbo wa Luckydube

" One Monster Dies another One Comes alive"

1988
 
Umeme Uko Rufiji Hapo?πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Get the fact b4 you open big mouth, Ethiopia inauzia umeme Kenya Kwa Grid yake geographical wako karibu na Kenya on behalf wanauza kwetu as agent Kwa Ethiopian
Hahaha.......Yaani Mnachekesha sana.

Sasa Matrilioni yoote mliyotumia si bora mngenunua tu huko huko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…