nonsense 🐒Kabla ya Dangote kusema anataka kujenga refinery Africa Mashariki serikali ya CCM katika kile ambacho huita ilani ilikuwa ina mpango wowote wa kujenga refinery au Dangote ndio aliwaamsha wakaona uhitaji wa refinery?
Au pia ni kwa sababu jirani ana mpango wa refinery na sisi lazima tujenge refinery yetu?
Mtindo wa kuendesha nchi kwa namna hii ni sahihi?
Huko CCM niambie mtu mmoja mwenye akili ya Strategic Economical Thinking!Kabla ya Dangote kusema anataka kujenga refinery Africa Mashariki serikali ya CCM katika kile ambacho huita ilani ilikuwa ina mpango wowote wa kujenga refinery au Dangote ndio aliwaamsha wakaona uhitaji wa refinery?
Au pia ni kwa sababu jirani ana mpango wa refinery na sisi lazima tujenge refinery yetu?
Mtindo wa kuendesha nchi kwa namna hii ni sahihi?
Hivi CCM ina Think Tank?Kabla ya Dangote kusema anataka kujenga refinery Africa Mashariki serikali ya CCM katika kile ambacho huita ilani ilikuwa ina mpango wowote wa kujenga refinery au Dangote ndio aliwaamsha wakaona uhitaji wa refinery?
Au pia ni kwa sababu jirani ana mpango wa refinery na sisi lazima tujenge refinery yetu?
Mtindo wa kuendesha nchi kwa namna hii ni sahihi?
Chama bendera fuata upepo, miaka hii, how patheticCCM ni kama mwanzi inakwenda kwa jinsi upepo unavyovuma!...
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
Dira inafuatwa lakini doesn't limit kufanya mengine endapo kama ni mema na yanatija kwa taifa!...Chama bendera fuata upepo, miaka hii, how pathetic
No wonder incompetence kwenye uongozi wa hii nchi inatisha all because wanafuata upepo si dira wala malengo ya muda mrefu
Nadhani kuwa na mpango ama kutokuwa na mpango si jambo la maana sana kulijadili. Jambo la msingi la kuzingatia ni kama ujenzi wa hiyo refinery una tija kwa Taifa ama la.Kabla ya Dangote kusema anataka kujenga refinery Africa Mashariki serikali ya CCM katika kile ambacho huita ilani ilikuwa ina mpango wowote wa kujenga refinery au Dangote ndio aliwaamsha wakaona uhitaji wa refinery?
Au pia ni kwa sababu jirani ana mpango wa refinery na sisi lazima tujenge refinery yetu?
Mtindo wa kuendesha nchi kwa namna hii ni sahihi?
Dira haifuatwi watu wanaenda na vibe la kisiasa, that history ya hii nchiDira inafuatwa lakini doesn't limit kufanya mengine endapo kama ni mema na yanatija kwa taifa!...
Ndani ya dira yapo mengi njiani..yataibuka na correction mbali mbali,dira si msahafu au biblia,linapotokea jema tunafanya!..Dira haifuatwi watu wanaenda na vibe la kisiasa, that history ya hii nchi
Hizo ni story za kuzunguka mbuyu oh kuna mengi njiani sijui nnNdani ya dira yapo mengi njiani..yataibuka na correction mbali mbali,dira si msahafu au biblia,linapotokea jema tunafanya!..
Kuna haja gani ya kuwa na ilani kama inaweza kusahau kuweka mradi wa dola bilioni 20?Nadhani kuwa na mpango ama kutokuwa na mpango si jambo la maana sana kulijadili. Jambo la msingi la kuzingatia ni kama ujenzi wa hiyo refinery una tija kwa Taifa ama la.
Nadhani upembuzi yakinifu ujikite kwenye economic benefits za hiyo refinery. Kwani hukujifunza juu ya reallocation of resources?
Kwa kifupi hatuchagui rangi ya Paka, tunachoangalia ni uwezo wake wa kukamata Panya ndani ya nyumba yetu.
Mipango ya Taifa haitegemei document moja pekee, ndiyo maana unakuta tuna Dira 2050 na kuna Foreign Policy. Hivi vyote husaidia kuhakikisha nothing left behind and supporting each other for State prosperity.Kuna haja gani ya kuwa na ilani kama inaweza kusahau kuweka mradi wa dola bilioni 20?
Nakuhakikishia haitajengwaKabla ya Dangote kusema anataka kujenga refinery Africa Mashariki serikali ya CCM katika kile ambacho huita ilani ilikuwa ina mpango wowote wa kujenga refinery au Dangote ndio aliwaamsha wakaona uhitaji wa refinery?
Au pia ni kwa sababu jirani ana mpango wa refinery na sisi lazima tujenge refinery yetu?
Mtindo wa kuendesha nchi kwa namna hii ni sahihi?