The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
GT
Kwa kiufupi sana tunaweza kusema CCM imesha fail watu hawana matumaini kabisa na hiki chama. Pamoja na utitiri wa machawa kama comedians, Wanamuziki na vyombo vya habari lakini bado hawaelewi kabisa.
Pamoja na ukatili wa Magufuli watu walikaa kimya maana maendeleo yalikuwa yanaonekana tofauti na sasa. Kama hutimizi majukumu yako afu ukawa katili huo ni udikiteta.
Kuwanyamazisha wakoseoji kwa kutesa/Kuua siyo suluhisho la matatizo ya CCM. Maana hao wakosoaji wanaungwa mkono na watu wengi sana wanaoona hakuna serikali kitu inafanya..
CCM Imeshaishiwa mbinu kabisa na hii chuki ya kuua na kutesana msipochukua tahadhari mapema itakuja kutugharimu maana ninyi inaonekana ni walafi wa madaraka hamna lolote la maana.