Serikali ya CCM yagawa ' Vyombo vya Usafiri 337 ' kwa watumishi wa afya ngazi ya Jamii

FirstClass

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2016
Posts
1,148
Reaction score
1,470
Wahudumu wa afya ngazi ya jamii katika Manispaa ya Songea na Halmashauri ya Wilaya ya Songea wamekabidhiwa jumla ya baiskeli 337 kwa ufadhili wa kampuni ya Buffalo Bicycles Tanzania Limited ili kurahisisha utoaji wa huduma za afya kwa wananchi.

Katika Manispaa ya Songea, baiskeli 140 zimetolewa kwa wahudumu ambapo kituo cha afya cha Mjimwema kimepata baiskeli 49, Msamala 27 na Ruvuma 64. Huku Halmashauri ya Wilaya ya Songea imepokea baiskeli 197, ambapo zahanati ya Peramiho imepata 100, kituo cha afya Magagula 58 na Hospitali ya Mpitimbi 39.

Akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Ahmed Abbas Ahmed, Mkuu wa Wilaya ya Nyasa, Mhe. Peres Magiri, amesema wahudumu wa afya ngazi ya jamii ni nguzo kuu ya tiba kinga na daraja muhimu linalounganisha kaya na miundombinu ya afya.

Amesema vifaa hivyo vya usafiri vitaimarisha kazi ya kutoa elimu ya afya ya msingi, kufuatilia chanjo, lishe na afya ya uzazi ambayo inaokoa maisha kwa kuwasaidia wagonjwa kufika hospitali mapema kabla hali haijawa mbaya.

Kwa upande wake, Mganga Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Dkt. Louis Chomboko, amesema baiskeli hizo zitaongeza ufanisi wa huduma za afya katika ngazi ya jamii kwani zitarahisisha usafiri wa wahudumu wa afya katika ngazi hiyo.

Naye Meya wa Manispaa ya Songea, Mhe. Abraham Mbunda, amewataka wahudumu hao kutumia lugha yenye staha wanapoenda kutoa huduma hizo kwa wananchi.

Kwa upande mwingine, Meneja wa Mradi wa kampuni ya Buffalo Bicycles Tanzania Limited, Delfina Kubel, amesema kampuni yao inalenga kushirikiana na serikali kuboresha huduma ya afya jumuishi na kuwawezesha wahudumu kuwafikia wananchi kwa urahisi.
 
Attachments

  • FB_IMG_1782273719977.jpg
    FB_IMG_1782273719977.jpg
    521 KB · Views: 11
  • FB_IMG_1782273732746.jpg
    FB_IMG_1782273732746.jpg
    587.5 KB · Views: 11
  • FB_IMG_1782273728889.jpg
    FB_IMG_1782273728889.jpg
    522.5 KB · Views: 10
  • FB_IMG_1782273724564.jpg
    FB_IMG_1782273724564.jpg
    651 KB · Views: 12
Wahudumu wa afya ngazi ya jamii katika Manispaa ya Songea na Halmashauri ya Wilaya ya Songea wamekabidhiwa jumla ya baiskeli 337 kwa ufadhili wa kampuni ya Buffalo Bicycles Tanzania Limited ili kurahisisha utoaji wa huduma za afya kwa wananchi.

Katika Manispaa ya Songea, baiskeli 140 zimetolewa kwa wahudumu ambapo kituo cha afya cha Mjimwema kimepata baiskeli 49, Msamala 27 na Ruvuma 64. Huku Halmashauri ya Wilaya ya Songea imepokea baiskeli 197, ambapo zahanati ya Peramiho imepata 100, kituo cha afya Magagula 58 na Hospitali ya Mpitimbi 39.

Akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Ahmed Abbas Ahmed, Mkuu wa Wilaya ya Nyasa, Mhe. Peres Magiri, amesema wahudumu wa afya ngazi ya jamii ni nguzo kuu ya tiba kinga na daraja muhimu linalounganisha kaya na miundombinu ya afya.

Amesema vifaa hivyo vya usafiri vitaimarisha kazi ya kutoa elimu ya afya ya msingi, kufuatilia chanjo, lishe na afya ya uzazi ambayo inaokoa maisha kwa kuwasaidia wagonjwa kufika hospitali mapema kabla hali haijawa mbaya.

Kwa upande wake, Mganga Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Dkt. Louis Chomboko, amesema baiskeli hizo zitaongeza ufanisi wa huduma za afya katika ngazi ya jamii kwani zitarahisisha usafiri wa wahudumu wa afya katika ngazi hiyo.

Naye Meya wa Manispaa ya Songea, Mhe. Abraham Mbunda, amewataka wahudumu hao kutumia lugha yenye staha wanapoenda kutoa huduma hizo kwa wananchi.

Kwa upande mwingine, Meneja wa Mradi wa kampuni ya Buffalo Bicycles Tanzania Limited, Delfina Kubel, amesema kampuni yao inalenga kushirikiana na serikali kuboresha huduma ya afya jumuishi na kuwawezesha wahudumu kuwafikia wananchi kwa urahisi.
Badala ya kuandika 'vyombo vya usafiri' ibadilishwe na kuandikwa 'baiskeli', kwa wengine baiskeli si chombo cha usafiri bali kifaa/vifaa vya mazoezi. Mwisho wa siku mtadai kuwa viatu ni vyombo vya usafiri.
 
Wahudumu wa afya ngazi ya jamii katika Manispaa ya Songea na Halmashauri ya Wilaya ya Songea wamekabidhiwa jumla ya baiskeli 337 kwa ufadhili wa kampuni ya Buffalo Bicycles Tanzania Limited ili kurahisisha utoaji wa huduma za afya kwa wananchi.

Katika Manispaa ya Songea, baiskeli 140 zimetolewa kwa wahudumu ambapo kituo cha afya cha Mjimwema kimepata baiskeli 49, Msamala 27 na Ruvuma 64. Huku Halmashauri ya Wilaya ya Songea imepokea baiskeli 197, ambapo zahanati ya Peramiho imepata 100, kituo cha afya Magagula 58 na Hospitali ya Mpitimbi 39.

Akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Ahmed Abbas Ahmed, Mkuu wa Wilaya ya Nyasa, Mhe. Peres Magiri, amesema wahudumu wa afya ngazi ya jamii ni nguzo kuu ya tiba kinga na daraja muhimu linalounganisha kaya na miundombinu ya afya.

Amesema vifaa hivyo vya usafiri vitaimarisha kazi ya kutoa elimu ya afya ya msingi, kufuatilia chanjo, lishe na afya ya uzazi ambayo inaokoa maisha kwa kuwasaidia wagonjwa kufika hospitali mapema kabla hali haijawa mbaya.

Kwa upande wake, Mganga Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Dkt. Louis Chomboko, amesema baiskeli hizo zitaongeza ufanisi wa huduma za afya katika ngazi ya jamii kwani zitarahisisha usafiri wa wahudumu wa afya katika ngazi hiyo.

Naye Meya wa Manispaa ya Songea, Mhe. Abraham Mbunda, amewataka wahudumu hao kutumia lugha yenye staha wanapoenda kutoa huduma hizo kwa wananchi.

Kwa upande mwingine, Meneja wa Mradi wa kampuni ya Buffalo Bicycles Tanzania Limited, Delfina Kubel, amesema kampuni yao inalenga kushirikiana na serikali kuboresha huduma ya afya jumuishi na kuwawezesha wahudumu kuwafikia wananchi kwa urahisi.
Hii ni dharau, zama hizi ni za baiskeli? V8 moja inanunua pikipiki ngapi? Au gari ndogo suzuki ngapi?
 
Screenshot_20260616-173300~2.png
 
Serikali ya wananchi wa Tanzania.
 
Safi sana
Baiskeli haitumii nishati, haichafui mazingira, gharama kidogo katika ukarabati, haitaji leseni ya uderewa wala kulipia bima
sasa ili kupunguza gharama inatakiwa DMO Dr Louis, madokta wengine na wauguzi tumwone wakienda kazini na baiskeli
 
Back
Top Bottom