Serikali ya ccm yakiri bila kutumia dola kubaki madarakani

P didi

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2024
Posts
579
Reaction score
751
Serikali ya Chama cha mapindinduzi imekiri ya kuwa inatumia vyombo vya dola kuteka, kushambulia pamoja na kuua.
Ni ngumu kushinda uchaguzi, ndio maana wote wanaikosoa serikali na chama tunawashughulikia haraka iwezekanavyo.
Msidhani kama kuna hatua zitakazochukuliwa, mtasubiri sana hata hili la kushambuliwa Katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania Padre Charles Kitima litapita hivihivi kama yalivyopita mengine alisikika mtoa taarifa huyo ambaye hakutaka jina lake litwaje, hata mimi sipendi yanayoendelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…