Serikali ya Chama cha Mwalimu, Chama cha ukombozi wa Afrika, Chama cha kijamaa, leo imeshtakiwa ICC. Julius Nyerere anabingirika kaburini

barracuda

Member
Joined
Nov 2, 2025
Posts
31
Reaction score
140
ROSTAM AZIZ, Mweka Hazina Mstaafu wa CCM, anasema alipoanza mishe zake chamani, alikuta fomu za CCM hazina mahala pa kujaza MFANYABIASHARA.

Chama kiliundwa kwa raison detre (SABABU YA UWEPO) ya kupigania wanyonge, masikini wa kutupwa, wakulima na wafanyakazi.

Yeye anasema akasukuma mabadiliko makubwa ya kualika Watanzania wenye background zozote. Wakasema utajiri si dhambi, na umaskini si sifa. Vizuri.

Lakini je, baada ya kualika kila mja ajaye, chama kilichukua hatua gani kudhibiti pitfalls zinazokuja kwa kujumuisha kila aina ya watu ?

Hakuna!

Walichapa fomu mpya tu. Kwenye Ukulima na Ufanyakazi wakaongeza Mpiga mishe.

Ndio wakaja maharamia wa kila aina chamani.

Tarehe 29 Oct 2025 tuliona bendera za Chama Cha Mwalimu zinachomwa moto. Ofisi za chama zinachomwa moto.

Ofisi za TANU, ofisi za CCM, zamani zilikuwa mahala takatifu. Hata mgomvi wako ulikuwa unamwambia ee bwana nitakupeleka CCM! Una kagari huna egesho ulikuwa unaenda kulilaza CCM. Palikuwa sehemu salama na kimbilio la wanyonge.
Leo Serikali ya CCM, Chama Cha Ukombozi wa Afrika, imeshtakiwa kwenye mahakama ya jinai za dunia kwa makosa ya kuua raia wake wenyewe. Kufukuza raia wake kwenye ardhi zao na kuwauzia Waarabu. Kuteka na Kufira raia.

CHAMA CHA MAPINDUZI kinanuka damu. Kinanuka dhulma. Kinanuka mavi. Kwa sababu vyombo vyake vya usalama vimejisifia kwamba vikikuchukua vinakutesa na vinakufira. Kinanuka uhaini wa kupindua matakwa ya wananchi kwenye sanduku la kura.

Leo Mwalimu amebiringika kaburini. Chama chake cha ukombozi kina tuhuma nzito za dhulma, kwa uhabithi, ujahili, na ujaalaana. Dhidi ya watu wake yenyewe. Watu wa CCM leo ni matapishi ya dunia. Jakaya Mrisho Kikwete, umeshika remote kwa pembeni, utakwepa hukumu, lakini wale uliowaingiza mkenge wakaenda kumwaga damu za wananchi ili familia zenu tatu tano ziendelee kutawala tunaomba dunia iwanyonge mpaka kufa.
 
CCM haijawahi kuwa takatifu, SYSTEM NZIMA ipo kwa uchawa na unafiki wa hali ya juu, kusema uongo ingawa unajua huu ni uongo. Wauuaji walikuwepo, ila kidogo kwa aibu, SOKOINE aliuawa na wale CCM wenye siasa kali ambao hata Nyerere aliwaona kuwa wapo karibu sana. SYSTEM. SYSTEM ya kinafiki nafiki, kusema tunaipenda NCHI kuliko fulani. FULANI anaharibu NCHI, tutunze FIKRA za mwenyekiti.

SYSTEM ilitegemeana na STRONG MAN, kila enzi na kipindi kuna STRONG MAN, ila tangu zama za JK, mambo haya yamekuwa wazi zaidi, kwa sababu zama za NYERERE kulikua na STRONGMAN mwenye ETHICS/MAADILI.

Wahuni walipochukua, hamna cha madili ETHICS, uaaji wa wazi, utekaji wa wazi nk. Watu kama MAKONDA ndiyo HENCHMEN wnakuja na slogan kama MAMA WANAKULOGA, naye akiskia anaona kama MAKONDA anampenda, na SYSTEM ipo created, anything done STRONGMAN(WOMAN) anafumba masikio.

CCM ni CCM hadi ife au ifutwe, hapo ndiyo tutaanza kuwa salama
 
ROSTAM AZIZ, Mweka Hazina Mstaafu wa CCM, anasema alipoanza mishe zake chamani, alikuta fomu za CCM hazina mahala pa kujaza MFANYABIASHARA.

Chama kiliundwa kwa raison detre (SABABU YA UWEPO) ya kupigania wanyonge, masikini wa kutupwa, wakulima na wafanyakazi.

Yeye anasema akasukuma mabadiliko makubwa ya kualika Watanzania wenye background zozote. Wakasema utajiri si dhambi, na umaskini si sifa. Vizuri.

Lakini je, baada ya kualika kila mja ajaye, chama kilichukua hatua gani kudhibiti pitfalls zinazokuja kwa kujumuisha kila aina ya watu ?

Hakuna!

Walichapa fomu mpya tu. Kwenye Ukulima na Ufanyakazi wakaongeza Mpiga mishe.

Ndio wakaja maharamia wa kila aina chamani.

Tarehe 29 Oct 2025 tuliona bendera za Chama Cha Mwalimu zinachomwa moto. Ofisi za chama zinachomwa moto.

Ofisi za TANU, ofisi za CCM, zamani zilikuwa mahala takatifu. Hata mgomvi wako ulikuwa unamwambia ee bwana nitakupeleka CCM! Una kagari huna egesho ulikuwa unaenda kulilaza CCM. Palikuwa sehemu salama na kimbilio la wanyonge.
Leo Serikali ya CCM, Chama Cha Ukombozi wa Afrika, imeshtakiwa kwenye mahakama ya jinai za dunia kwa makosa ya kuua raia wake wenyewe. Kufukuza raia wake kwenye ardhi zao na kuwauzia Waarabu. Kuteka na Kufira raia.

CHAMA CHA MAPINDUZI kinanuka damu. Kinanuka dhulma. Kinanuka mavi. Kwa sababu vyombo vyake vya usalama vimejisifia kwamba vikikuchukua vinakutesa na vinakufira. Kinanuka uhaini wa kupindua matakwa ya wananchi kwenye sanduku la kura.

Leo Mwalimu amebiringika kaburini. Chama chake cha ukombozi kina tuhuma nzito za dhulma, kwa uhabithi, ujahili, na ujaalaana. Dhidi ya watu wake yenyewe. Watu wa CCM leo ni matapishi ya dunia. Jakaya Mrisho Kikwete, umeshika remote kwa pembeni, utakwepa hukumu, lakini wale uliowaingiza mkenge wakaenda kumwaga damu za wananchi ili familia zenu tatu tano ziendelee kutawala tunaomba dunia iwanyonge mpaka kufa.
Ila Mzee wa Msoga kweli nimeamini ni mtoto wa mjini Bwana ukweli usemwe na sifa yake apewe , mpka sasa hakuna anapotajwa popote pale ,

Huyu mzee kweli ni mtoto wa mjini kweli kweli, kinaenda kulamba watu ila akiwa pembeni , kazi zake anafanya bila kuacha alama yoyote ya ushahidi , ikimbukwe ni Rais mstahafu , bila kujali ushauri wake nyuma ya capeti unawezaje mtia hatiani ?

1. Hayupo madarakani maana ni stahafu
2. Yaliyotokea 29 Oct hakua na mamlaka yoyote katoa order public nani alitoa order sio yeye hata kama alishauri nyuma ya capeti kitu ambacho ni kigumu dhibitisha.

Nichuke mda huu kumpongeza kwamba kweli ni mtoto wa mjini , ila ajue tu , uwe na pesa , au mali za kila aina hakuna binadamu yoyote alietoka tumboni mwa mama yake hatakufa.

Mzee wetu na aliekua mtabili na alikua mtu wa karibu sana na uyu Mzee wa msoga , ,mpaka kipindi flani wakati Mzee wa msoga ameanguka jukwaani alijitokeza na kusema kuna mchezo ila atamwongezea ulinzi , ila leo yuko wapi ?

Huyu ni Mzee alisema kumbe yupo na uwezo wa kumuongezea binadamu mwenzake ulinzi na kusahau ulinzi wa binadamu anao Mungu tu , yuko wapi sasa
 
Akiendelea na Tour yake nchini marekani, Davido alishangaza wengi baada ya kusimamisha show Kwa Dakika Moja huku akiwaomba mashabiki wake walio jitokeza kuiombea Tanzania kutokana na machafuko yaliyo jitokeza siku chache nyuma.

Show hiyo iliyo enda Kwa jina la Atlanta concert ilihudhuriwa na mashabiki wengi, na bendera ya Tanzania ilipeperushwa muda huo.

Una neno gani Kwa Davido na wasanii wetu?
1764137305360.jpg
 
Back
Top Bottom