Serikali ya China inafanikiwa vipi kufanya biashara huku Tanzania tukiaminishwa Serikali haiwezi chochote(Biashara na huduma)

Kwa bahati mbaya sana Namna ya kutatua huo upumbavu haipo, kwa sababu walio kwenye mfumo wakiondoka wanaweka watu wao ili milija iendelee kutiririsha kuelekea kwao

hata wakiwa kwenye kikao Chao cha chama alafu likatokea tetemeko kama lile la Libya wafe wote bila kupona hata mmoja bado hatuko salama kwa sababu mizizi yao ipo itachipua majani tena
Hatari sana
 
Serikali ya Wachina wanatoa huduma, hawafanyi biashara..
Umepewa data hapo kuwa wanafanya niashara,sasa tu na wewe za kwako kuwa hawafanyi biashara.
Sasa labda nikuulize swali haya makampuni ya serkali ya china ya ukandarasi yaliyojaa Tanzania yanafanya biashara au yanatoa huduma?
 
Swali mezani:
Serikali ya uchina inafanikiwa vipi kufanya biashara na kutoa huduma kwa mafanikio makubwa kwa kutikisa dunia huku Tanzania tukiaminishwa serikali haiwezi vyote ila ubinafsishaji unaweza?

In fact, 71% of China's Fortune 500 companies are state-owned. State ownership is most common in China's strategic sectors, such as energy, telecommunications, and banking.

Over 150,000 SOEs dominate China's economy, 98 of these SOEs are owned by the central government. A government entity called the “State-owned Assets Supervision and Administration Commission” is in charge of these companies. Other SOEs are managed by entities similar to the SASAC at the provincial and local levels of government.
Hata sisi tukiwa na sheria ya kuuwa wabadhirifu na wezi wa mali za umma serikali yetu itaendesha biashara na kutowa huduma kuliko serikali ya China.
 
Hata wewe na nani ccm yako?
Kaa kimya
Ungekuwa karibu ningekuchapa makofi
 
Umepewa data hapo kuwa wanafanya niashara,sasa tu na wewe za kwako kuwa hawafanyi biashara.
Sasa labda nikuulize swali haya makampuni ya serkali ya china ya ukandarasi yaliyojaa Tanzania yanafanya biashara au yanatoa huduma?
Mimi nazungumzia serikali ya china kwa wananchi wake ndani ya china wanatoa huduma hawafanyi biashara unlike huku kwetu nikatoa mfano BRT wanaangalia faida na si huduma . Ofocoz linapokuja swala la nje ya china lazima waangalie faida more business
 
Kunyonga pekee kunaweza tibu changamoto zote katika vitu vya umma ?
Nidhamu ya uoga ni muhimu sana katika Nchi !! Ushuhuda tuliuona japo bado kulikuwa na mapungufu makubwa lakini ilionekana kumbe inawezekana !!
Wahenga walisemaga Ukicheka na………… utavuna mabua 🙏🙏
 
Swali mezani:
Serikali ya uchina inafanikiwa vipi kufanya biashara na kutoa huduma kwa mafanikio makubwa kwa kutikisa dunia huku Tanzania tukiaminishwa serikali haiwezi vyote ila ubinafsishaji unaweza?

In fact, 71% of China's Fortune 500 companies are state-owned. State ownership is most common in China's strategic sectors, such as energy, telecommunications, and banking.

Over 150,000 SOEs dominate China's economy, 98 of these SOEs are owned by the central government. A government entity called the “State-owned Assets Supervision and Administration Commission” is in charge of these companies. Other SOEs are managed by entities similar to the SASAC at the provincial and local levels of government.
China wanaua wala rushwa na wezi wa mali ya umma bila kujali rangi, dini wala kabila.

Nyie hamuwezi sababu mnaangaliana usoni kosa kafanya nani, kama ni wa dini yako au kabila lako mtafumba macho na kuruhusu ufisadi uendelee midhali ni mwenzenu na anashiriki misa na kuleta sadaka iliyonona au kuleta michango iliyonona ya harusi na misiba.

As long as you can not stand for what is right regardless ya background ya mtu, shirika la umma(SU) kwenu litabaki ni Sina Uchungu(SU) na hivyo hamtaweza kuyaendesha kwa faida kama wachina na ndiyo inabidi mlete investors and foreigners.

It's all down to integrity, you don't have that!
 
Swali mezani:
Serikali ya uchina inafanikiwa vipi kufanya biashara na kutoa huduma kwa mafanikio makubwa kwa kutikisa dunia huku Tanzania tukiaminishwa serikali haiwezi vyote ila ubinafsishaji unaweza?

In fact, 71% of China's Fortune 500 companies are state-owned. State ownership is most common in China's strategic sectors, such as energy, telecommunications, and banking.

Over 150,000 SOEs dominate China's economy, 98 of these SOEs are owned by the central government. A government entity called the “State-owned Assets Supervision and Administration Commission” is in charge of these companies. Other SOEs are managed by entities similar to the SASAC at the provincial and local levels of government.
Taasisi za umma kufanya biashara ni kichekesho kwa maana vyombo kama CAG na PPRA wao kazi yao kubwa ni kuuliza maswahili ya ajubu mfano ulimpataje huyu mwekezaji ? Hivi nyie mliwahi ona wapi kutangaza tender kwa ajili ya kufanya biashara?
 
Hata ukitoa mawazo hayawez kutekelezwa kwa maana wenye maslah yao watakupga vita. Ndo maana watu wanye mawazo mazur wakiwasilisha wanatupiliwa mbali kwa maslah ya wachache
Na wanaweza wakambambikia jambo lolote baya ili kumnyamazisha milele !!
Wakijidanganya wao wataishi milele kwa furaha !!
 
Back
Top Bottom