Mm nikiwa nasoma mada yoyote ile hua ubongo wangu nauweka kwenye free state mean that sina lolote kichwani kwenue mada hiyo hafu ndo naanza kusoma taratiiibu nikifuatilia neno kwa neno content kwa content then ndo naanza kuchambua mada hiyo..Akili nyingine hua unaweza jiuliza ilikuwa wapi akati inaandaa presentation!..
Hii nakubaliana na ww mkuuNi Kanisa Catholic Ambalo Lina Nguvu Kwa Kila Idara Zake Kuanzia Pande Mbalimbali Za Ulimwengu Huu.
Hii yawezekana kweli maana kila sehemu kuna kanisa katoriki na parokia, parokia hua na sehemu kubwa kieneo popote pale lilipo ili kukidhi mahitaji yake jama kujenga kanisa,kujenga nyumba za mapadri&sisters,shule,etcInajulikana Wazi Ndiyo Kanisa Linalomiliki Ardhi Kubwa Sana
Yawezekana kweli ila sijawahi sikia popote,je waweza kutupa Documents?Duniani Yaani Eneo Lolote Unaloliona Hapa Tanzania Ni Mali Ya Baba Mtakatifu
Aaanha kumbe inalipiwa?Wizara ganii inahusika?(Inalipiwa Kodi Zote Na Taratibu Zote Za Kumiliki Hufuatwa )
Hivyo ndivyo ilivyo duniani pote...Huko China SaSa Kuna Vitu Ambavyo Siyo Mfutano Bali Huwa Kwa Taratibu Za Kanisa Catholic Baba Mtakatifu Ndiyo Mtu Pekee Anayechagua Viongozi Wakuu Wa Kanisa (Yaani Askofu ) Hawa Wanafanya Kazi Bila Kuwa Na Hofu Yoyote Maana Wanaripoti Kwa Baba Mtakatifu .
Naomba supporting documents kuhusiana na maneno hayoSasa Nchini China Baba Mtakatifu Anachagua Viongozi Wa Kanisani Na Serikali Nayo Inachagua Viongozi Wa Kanisa Pia Wakitokea
Upande Wa Serikali Yaani Kulinda Maslahi Ya China
Ingawa Wote Wanafanya Kazi Pamoja Yaani Wote Ni Wakatoliki Baba Mtakatifu Hawatambui Hao Viongozi Wa Dini Toka Upande Wa Serikali
Maslahi gani hayo mkuu tunaomba utupe hata matanoLengo Kuu La Serikali Ya China Kuteua Viongozi Wa Dini Ndani Ya Kanisa Ni Kulinda Maslahi Yake
Basi hao sio Mapadri wala Askofu ni majasusi...Maagizo Yote Toka Kwa Baba Mtakatifu Kamwe Hawapewi Hao Viongozi Wa Dini Wanaoteuliwa Na Serikali
Heshima yako...Neno Allah ni Mungu kwa lugha ya kiarabu (Neutral Word),
Sasa hapa sijui hata unamkashifu nani sijui, maana miungu karibia wote wana mitume.
Tuwache hizi mambo mkuu, hazina faida yoyote.
mkuu waweza thibitisha hili uliloliandika? Naomba ushahidiUtaona huyo mtoa mada ataanza kuandamwa na matusi kiukweli ardhi yoyote inayopimwa hapa Tanzania nia lazima waweke sehemu ya hawa wakatoliki
Ushenzi upi huo?Na wenyewe hawapendi huu ushenzi wao wa kutawala nchi indirectly ijulikane kabisa ni siri sana. Na serikali haina lolote mbele ya hawa jamaa ni mkia kuufyata tu
Heshima yako...
Je wajua huyo mungu anayeitwa Allah na warabu historia yake? Ni nani?
Ndie huyu Mungu Wa Ibrahim, Isaac na yakobo?
soma hapa Vatican Inamiliki Dunia - JamiiForumsInajulikana Wazi Ndiyo Kanisa Linalomiliki Ardhi Kubwa Sana Duniani Yaani Eneo Lolote Unaloliona Hapa Tanzania Ni Mali Ya Baba Mtakatifu (Inalipiwa Kodi Zote Na Taratibu Zote Za Kumiliki Hufuatwa )
HAPA NDIPO KWENYE UKAKASI.INA MAANA SEHEMU KUBWA YA ARDHI SIO MALI YA SERIKALI BALI YA KANISA??JE WAISLAMU WANAJENGA MISIKITI KWENYE ARDHI YA KANISA???
Kanisa ladhehebu ganiiiiiChinese authorities demolish Christian church
Download Image
11 JANUARY 2018 • 4:55PM
- Neil Connor, beijing
Ahuge church purportedly built with almost £2 million raised from local worshippers in one of China’s poorest regions has been demolished by authorities, the latest flashpoint between religious groups and the officially atheist Communist Party.
The Golden Lampstand Church in the city of Linfen in the northern Shanxi province was destroyed with dynamite and heavy machinery, witnesses and overseas campaign groups said.
Chinese state media dismissed the demolition as part of routine removal of illegal buildings, but critics fear a more political motivation.
Angalia hii Vatican Inamiliki Dunia - JamiiForumsYeah, maana mtume wa allah alioa kitoto cha miaka saba
check Vatican Inamiliki Dunia - JamiiForumsMkuu Ngariba hizi mambo za dini hazina faida sana.
Tuziache maana zitawaharibia mood baadhi ya wasomaji.
Kibaya zaidi wengi wako ndani ya Mfungo........
check Vatican Inamiliki Dunia - JamiiForumsHABARI,
"Kennedy,
Asante sana kwa Taarifa Nzuri ila sasa naomba ufafanuzi na uthibitisho kwenye maneno yako haya.
Yaani Eneo Lolote Unaloliona Hapa Tanzania Ni Mali Ya Baba Mtakatifu (Inalipiwa Kodi Zote Na Taratibu Zote Za Kumiliki Hufuatwa )
LUMUMBA
HapanaNeno "Allah" limeanza kutumiwa na Waarabu, Wakristo na Wayahudi wa Mashariki ya kati hata kabla dini ya Uislamu haijazaliwa. Halafu neno Mungu ni Cheo (title) wala siyo jina la Mungu wa Ibrahimu. Mungu wa Ibrahim, Isaka na Yakobo jina lake anaitwa YAHWEH.
Ndiyo maana nasema siku ukitembelea Makanisa ya Kikristo ya Waarabu utasikia maneno mengi sana ambaya huenda huwa unayasikia kwenye adhana ile ya asubuhi. Hivyo "Allah" linaweza kutumika na Wagiriki kumaanisha miungu wao kama Zeus, Poseidon na Atlas. Au linaweza kutumiwa na Wazungu wa Ulaya Kaskazini kumaanisha miungu wao kama Europa, Czernobog na Odin. Au Watu wa Mashariki ya mbali wanaweza kutumia neno "Allah" kumaanisha miungu wao kama Vishnu, Raijin au Ganesh.
Hivyo neno mungu ni neutral,
Likitafsiriwa kwa kiarabu ni Allah.
Au wewe mwenzangu unaelewa tofauti ??
Na mtoa mada anamaanisha hata Iran ama Saudia ama qatar and the like, ni maeneo ya baba yakeKUMBE HAWA JAMAA WAMEJENGA MISIKITI KWENYE ARDHI YA WAKRISTU??NILIKUWA SIJUI HILI.
Yeye alioa (maana yake haikuwa siri na taratibu zilifuatwa.)Yeah, maana mtume wa allah alioa kitoto cha miaka saba
kawaida kwa wenye akili wanafaham kua dunia ni tawala ya lucifer na mbinguni tawala ya mungu sina hoja kwa kua eneo lote la dunia anatawala shetan ambae yumo vatican aliehalallisha ndoa za jinsia moja pumbavu wwYeah, ila hawajui tu hilo, na wala hamna haja ya kuwajulisha
sasa alieoa na mbakaji yupi bora ,maana ata ww ukiwa na mwari ndani ya nyumba yko unahimiza aolewe ili wajanja wasije wakamtia mimbaYeah, maana mtume wa allah alioa kitoto cha miaka saba