Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
Ni Kanisa Catholic Ambalo Lina Nguvu Kwa Kila Idara Zake Kuanzia Pande Mbalimbali Za Ulimwengu Huu.
Inajulikana Wazi Ndiyo Kanisa Linalomiliki Ardhi Kubwa Sana Duniani Yaani Eneo Lolote Unaloliona Hapa Tanzania Ni Mali Ya Baba Mtakatifu (Inalipiwa Kodi Zote Na Taratibu Zote Za Kumiliki Hufuatwa )
Huko China SaSa Kuna Vitu Ambavyo Siyo Mfutano Bali Huwa Kwa Taratibu Za Kanisa Catholic Baba Mtakatifu Ndiyo Mtu Pekee Anayechagua Viongozi Wakuu Wa Kanisa (Yaani Askofu ) Hawa Wanafanya Kazi Bila Kuwa Na Hofu Yoyote Maana Wanaripoti Kwa Baba Mtakatifu .
Sasa Nchini China Baba Mtakatifu Anachagua Viongozi Wa Kanisani Na Serikali Nayo Inachagua Viongozi Wa Kanisa Pia Wakitokea
Upande Wa Serikali Yaani Kulinda Maslahi Ya China
Ingawa Wote Wanafanya Kazi Pamoja Yaani Wote Ni Wakatoliki Baba Mtakatifu Hawatambui Hao Viongozi Wa Dini Toka Upande Wa Serikali
Lengo Kuu La Serikali Ya China Kuteua Viongozi Wa Dini Ndani Ya Kanisa Ni Kulinda Maslahi Yake
Maagizo Yote Toka Kwa Baba Mtakatifu Kamwe Hawapewi Hao Viongozi Wa Dini Wanaoteuliwa Na Serikali