Na Ujerumani ambapo viwanda vinafungwa na penyewe inafuata sela kama za Iran?Asipo badili policy zake hatoishi kufunga hiko tu, kuna many more
Nyinyi msio fadhili ugaidi mbona kila kukicha mambo yanazidi kuwa magumu mara 100 ya Iran?Iran bila kutafuta njia ya kujirudi ili kuachana na vitendo vya kufadhili magenge ya kigaidi kamwe wataendelea kukumbana na vikwazo na watazidi kuumia zaidi ya wanavyoumia sasa.
Kumbuka wakati ana wekeza mambo yalikuwa shega sana1)Iran ana uchumi uliojifunga bado hakupaswa kufanya anachofanya huko Syria.
2)Syria ni taifa lililoporomoka kisiasa,kijamii na kiuchumi.
Cha msingi Iran akipata wateja wa mafuta yake na gesi na akajipanga vizuri kwenye delivery hapo anaweza kupiga hela ndefu na kutajirika, na sasa anao wapo China, Venezuela na North Korea Pakistan. Na bado Mzunguko wa magendo unknown wa IRGC nadhani atavuka tuu kipindi hiki kigumuSorry tu kukwambia habadili sera kwa ajili ya watu wachache, kwa ajili ya mfumo wa uchumi wa dunia ulivyo. Brics wanatumia blue print zile zile just at low cost, hakuna tofauti
Toyota ni nchi au mtu ? tumia akil mkuu , ingekuwa ni kiwanda cha muiran ingekuwa sw ila ishu kinamilikiwa na serikali ya iranKwanini unapinga
Naomba sababu mbili tatu
Toyota mbona kawekeza south Africa?
hujui kua gharama za uendeshaj viwanda kwa ulaya zipo juu ?Na Ujerumani ambapo viwanda vinafungwa na penyewe inafuata sela kama za Iran?
Alafu Iran imefunga baada ya kukosa faida baada ya uchumi wa Siriya kuanguka kwa sababu ya vita.
Hayo mengine ni yako.
Iran toka imekuwa na vikwazo ni lini? Je, tanzania isiyo kuwa na vikwazo imeizidi?Iran bila kutafuta njia ya kujirudi ili kuachana na vitendo vya kufadhili magenge ya kigaidi kamwe wataendelea kukumbana na vikwazo na watazidi kuumia zaidi ya wanavyoumia sasa.
Na ww hujui kuwa uchumi wa Syria umesambaratishwa na vita?hujui kua gharama za uendeshaj viwanda kwa ulaya zipo juu ?
Policy zake zipi ?Asipo badili policy zake hatoishi kufunga hiko tu, kuna many more
Nyie waafrika ?Waarabu na waajemi, watakapoanza kuamini kuwa Wazungu na Wayahudi wanawapita mbaali sana ki afya ya Akili, watafika mbali panapowasitahili
Toyota ndio the best seller, is No 1 worldwide for more than 20 years; unafananisha na gari za Iran ambazo hata hatujui ni aina gani?Kwanini unapinga
Naomba sababu mbili tatu
Toyota mbona kawekeza south Africa?
Embu itizame Syria ikoje Sasa hivi.Kumbuka wakati ana wekeza mambo yalikuwa shega sana
Hamna Saipa humo, hio ni Toyota Allion rebaged. Waache uhuni hao! Kumbe wanafanya mchezo wa kichina nao. Tazama hii gari na hio Saipa zina tofauti gani π!?Sema unyama sanaa kitu cha Saipa ukipiga kiremba chako na kanzu swaafi kabisa kishoka ndani ya Saipa lako
View attachment 3154596
Mkuu Iran sio watu wa kubahatisha.Toyota ndio the best seller, is No 1 worldwide for more than 20 years; unafananisha na gari za Iran ambazo hata hatujui ni aina gani?
Mkuu kugeza model ni kawaida ila ukija kwenye engine na vifaa vingine wanaunda wenyewe.Hamna Saipa humo, hio ni Toyota Allion rebaged. Waache uhuni hao! Kumbe wanafanya mchezo wa kichina nao. Tazama hii gari na hio Saipa zina tofauti gani π!?
View attachment 3155039
Hahahah BMW engine ndio imeharibu kwenye supra bora wangeunda engine mpya yenye power ila iwe yao ToyotaMkuu kugeza model ni kawaida ila ukija kwenye engine na vifaa vingine wanaunda wenyewe.
Basi hata kama useme wana rebag bado sio kitu chepesi,siku hawa watu wakikaa na wakatulizana basi wataunda vikubwa zaidi ya hiko.
Ukizingatia unaambiwa nchi ina vikwazo vya uchumi tangu mwaka 79 aloooooh!
Unaweza ukajilaani kuzaliwa Tanzania.
Itizame Toyota supra Ile ni BMW Z tupu.
Kwani mkuu kitu kufanana muundo ni tatizo?Hamna Saipa humo, hio ni Toyota Allion rebaged. Waache uhuni hao! Kumbe wanafanya mchezo wa kichina nao. Tazama hii gari na hio Saipa zina tofauti gani π!?
View attachment 3155039
Imeharibu kivipi kaka!?Hahahah BMW engine ndio imeharibu kwenye supra bora wangeunda engine mpya yenye power ila iwe yao Toyota