ITR
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 6,096
- 16,390
Mbona hizo nchi za Magharibi mpaka sasa zimeshindwa kuusabaratisha uchumi wa Urusi pamoja na kuiwekea vikwazo maelfu ya vikwazo?Hakuna nchi inayoweza kufika popote kwa kutengwa na Dunia, na Dunia, hasa mataifa ya Ulaya na America. Hiyo ndiyo Dunia yenye soko kubwa lenye nguvu na imara kuliko regional markets zote za Dunua. Urusi ya kale, USSR, pamoja na ukubwa wa nchi na resources nyingi na tekinolojia, haikufika popote kutokana na kutengwa na masoko hatlya makubwa, na baadaye ilisalimu amri kwa mataifa ya Magharibi, na kuishia kuomba msaada, na ili kupata msaada ikapewa masharti ya kuheshimu uhuru wa watu, iliporidhia, ikawa ndiyo mwisho wa USSR. Leo Urusi imegeuka kuwa adui wa nchi zilizokuwa sehemu ya muungano wa kisovieti.
Iran, hata ifanye nini, kwa kujitenga na Ulimwengu, itaishia kuwatesa raia wake, wakati nchi ilikuwa na potential kubwa ya maendeleo makubwa.
BRICS, bado sana. Uchumi na soko la BRICS bado ni mdogo sana ukilinganisha na ule wa nchi za Magharibi. BRICS mpaka kuweza kuwa na uchumi na soko shindani ni process, siyo tukio la mara moja.
Kwa sasa nchi za Magharibi zimesha poteza udhibiti wa uchumi wa dunia hilo liko wazi kabisa japo huu ukweli hamtaki kuusikia.
Mpaka mwaka 1995 %70 ya uchumi wa dunia nzima ulikuwa una milikiwa na nchi za Magharibi lakini mpaka sasa tunavyo ongea nchi za Magharibi zinamiliki %32 tu ya uchumi wa dunia.