Hivi wewe una uhusiano gani na waisraeli wakati wewe ni sokwe mtu kama wanavyokuonaUDINI ulivyokujaa kichwani umeanza kubwabwaja ovyo ovyo tu!! Wananchi wa Iran hawa Mtaki Ayatollah wako wao wanamtaka Mfalme Prince Reza Pahlavi hayo ya kulikomboa unayajua mwenyewe!!!!
Stop tagging me kwenye mijadala yako ya kidini. Nani kakuambia mie muislam? I'm against zionism ila ulivyo na akili mbovu unadhani kila anayepinga wayahudi ni muislam.Halafu naona wanawake hawajasitiri nywele, siunajua makobaz hayapendi kuona nywele za wanawake, wao husema huwapa nyege hehehe
adriz zitto junior MOTOCHINI
Maandamano dhidi ya gharama kubwa ya maisha nchini Iran yameenea hadi vyuo vikuu kadhaa, huku wanafunzi wakijiunga na wafanyabiashara na wauzaji wa masoko (bazaars), vyombo vya habari vya serikali vimeripoti. Serikali imesema iko tayari kufanya mazungumzo na waandamanaji. Sarafu ya Iran (rial) imeporomoka karibu nusu ya thamani yake dhidi ya dola ya Marekani mwaka 2025, huku mfumuko wa bei ukifikia asilimia 42.5 Desemba. Rais Masoud Pezeshkian amesema amemuagiza waziri wa mambo ya ndani kusikiliza “madai halali” ya waandamanaji, na msemaji wa serikali akatangaza kuanzishwa kwa mfumo wa mazungumzo na viongozi wa maandamano.
Video zilizothibitishwa zinaonyesha waandamanaji wakitembea mitaani Tehran wakipiga kauli mbiu, huku mamia ya wanafunzi wakifanya maandamano katika vyuo vikuu vinne vya jiji hilo. Watu kadhaa mitandaoni wamesema bei kubwa na rushwa zimewasukuma wananchi “kufikia hatua ya mlipuko,” na kuonya maandamano yanaweza kuenea nchi nzima. Serikali haijaeleza bado namna mazungumzo yatakavyofanyika. Haya ni maandamano makubwa ya kwanza tangu mashambulizi ya anga ya Israel na Marekani mwezi Juni, ambayo awali yaliibua mshikamano wa kizalendo.
Uchumi wa Iran umeathirika kwa miaka kadhaa kutokana na vikwazo vya Marekani vilivyorejeshwa mwaka 2018, pamoja na vikwazo vya Umoja wa Mataifa vilivyorejeshwa Septemba. Tofauti za kipato, usimamizi mbovu wa uchumi na rushwa zimeongeza hasira za wananchi. Jumanne, rial ilishuka hadi takribani rial milioni 1.4 kwa dola moja—rekodi mpya ya chini. Iran pia iko chini ya shinikizo la kimataifa, huku Marekani ikitishia kuunga mkono mashambulizi zaidi iwapo Tehran itaendelea na shughuli za makombora au nyuklia, madai ambayo Iran inayakanusha ikisisitiza mpango wake wa nyuklia ni wa amani.
Acha uongo wewe ni Mfuga Midevu na Majini watu wote wana kujua kuwa wewe ni mtetezi wa Magaidi wa Hamas,Hezbollah,Houth na Islamic Jihad.Stop tagging me kwenye mijadala yako ya kidini. Nani kakuambia mie muislam? I'm against zionism ila ulivyo na akili mbovu unadhani kila anayepinga wayahudi ni muislam.
Tundu Lissu ni critic mkubwa wa Israel ila ni mkatoliki.
Grow up
Acha uongo wewe ni Mfuga Midevu na Majini watu wote wana kujua kuwa wewe ni mtetezi wa Magaidi wa Hamas,Hezbollah,Houth na Islamic Jihad.
Tendu Lissu unamweka kwenye ujinga ambao hahusiki nao na umefanya hivyo kuhalalisha mambo yako maovu!!!
Kila siku nakuuliza hapa gaidi ni nani? Mfano Rais wa sasa wa Syria ni zao la Al qaeda kabisa ila ndio rafiki mkubwa wa USA na Israel!! Je unajua hata RSF ni magaidi ila yanasapotiwa na Israel? Je nani anayeamua kuwa RSF ni magaidi wazuri ila hezbollah ni magaidi wabaya?Magaidi wa Hamas,Hezbollah,Houth na Islamic Jihad.
Ulivyo mjinga na mpumbavu unaamini wanasiasa!!!Kila siku nakuuliza hapa gaidi ni nani? Mfano Rais wa sasa wa Syria ni zao la Al qaeda kabisa ila ndio rafiki mkubwa wa USA na Israel!! Je unajua hata RSF ni magaidi ila yanasapotiwa na Israel? Je nani anayeamua kuwa RSF ni magaidi wazuri ila hezbollah ni magaidi wabaya?
Wewe BUMUNDA kweli mpaka leo 2026 bado tu hujui Gaidi ni nani? Bure kabisa wewe!!!!!Kila siku nakuuliza hapa gaidi ni nani? Mfano Rais wa sasa wa Syria ni zao la Al qaeda kabisa ila ndio rafiki mkubwa wa USA na Israel!! Je unajua hata RSF ni magaidi ila yanasapotiwa na Israel? Je nani anayeamua kuwa RSF ni magaidi wazuri ila hezbollah ni magaidi wabaya?
Jibu swali, kama gaidi ni wabaya why Al Sharaa awe rais wa Syria? Kwanini Israel inakubali kumsaidia gaidi wa Al qaeda kuwa rais wa Syria?Wewe BUMUNDA kweli mpaka leo 2926 bado tu hujui Gaidi ni nani? Bure kabisa wewe!!!!!
Hata video hujaangalia maana huwezi elewa mjadala ya kitaaluma we umezoea mijadala ya ngono na vigodoro!!Ulivyo mjinga na mpumbavu unaamini wanasiasa!!!
Mwanasiasa akikuambia sasa hivi ni saa 11 jioni usimwamini toka nchi uhakiki kama kweli ni saa 11 jioni!!.TAL anavyovaa vibaragashia na kazu fupi wewe unajua ni Mfuga midevu na majini mwenzenu? Bure kabisa wewe!!
2026 bado hujui nani Gaidi ama kweli wewe BUMUNDA kabisa!!Jibu swali, kama gaidi ni wabaya why Al Sharaa awe rais wa Syria? Kwanini Israel inakubali kumsaidia gaidi wa Al qaeda kuwa rais wa Syria?
Huu unafiki wanafanya wao alafu nyie manyani ndio mnajifanya mnachukia sana ugaidi kuliko Israel na US!!
Sasa nini maana ya kuwa na utawala wa kidini kama nchi bado inaweza kukabiliwa na lindi la ufisadi, ndio maana tunasema waga hamna utawala wa kidini hizo ni porojo tu za kisiasa ili wajanja watawale.
Eti USD 1 = 1,400,000 Irani Rials
Sasa hiyo kweli ni nchi. Ina maana bei ya mkate moja inaweza kuwa hizo Rials 1,400,000...!!!!
Iran ikae chini ijitathmini iache kushindana na Marekani kwani aliyekuzidi kakuzidi tu. Marekani ni sawa na mwamba na Iran eti inajaribu kupiga ngumi kwenye mwamba. Very funny.🤣🤣🤣🤣
Sina muda kuhangaika na UHARO wa BUMUNDA kama wewe. Unadanganyika na kiingereza Uchwara Mimi Mmatumbi hunitishi na UJINGA huo!!Hata video hujaangalia maana huwezi elewa mjadala ya kitaaluma we umezoea mijadala ya ngono na vigodoro!!
Hauna uwezo wa ku debate na mimi kwa lolote sehemu yoyote maana hakuna unachojua.
Your ignorance says a lot about the insurmountable garbage stored in your rotting brain!!
Halafu shit hole country kuna maseng€ yanasupport massacre ya 10000 kwa kuchoma takataka za mafisadiWananchi wa Iran hawa poi wamekamata kambi ya Jeshi na kuchomwa moto vifaa-vita!!! Mpaka sasa hivi utawala wa Iran unapumlia Mashine!!!!
View: https://x.com/emilykschrader/status/2006458515993596406?s=61
View: https://x.com/visegrad24/status/2006527727646519687?s=61