Serikali ya Iran yatoa wito wa mazungumzo na waandamanaji

Serikali ya Iran yatoa wito wa mazungumzo na waandamanaji

Polisi na vikosi vya Usalama vya Iran nao walitposhikwa walichezea kichapo cha mbwa koko!!
 
Attachments

  • -3222972213992940660.mp4
    925.6 KB
  • 4476276265993964476.mp4
    1.2 MB
  • 7060513699944703267.mp4
    543.6 KB
  • -20944838602940795.mp4
    802 KB
UDINI ulivyokujaa kichwani umeanza kubwabwaja ovyo ovyo tu!! Wananchi wa Iran hawa Mtaki Ayatollah wako wao wanamtaka Mfalme Prince Reza Pahlavi hayo ya kulikomboa unayajua mwenyewe!!!!
Hivi wewe una uhusiano gani na waisraeli wakati wewe ni sokwe mtu kama wanavyokuona
Najua hata wakati wa kichapo cha makombora ya Iran, ulijificha chini ya kitanda baada ya kunyimwa kuingia kwenye mahandaki waliyokuw awanajificha, wewe ni utakuwa ni mtu mweusi mpumbavu wa kutupwa kwa kujikombakomba
Na ushahidi huu hapa watu weusi hawaruhusiwi kuingia kwenye mahandaki yao

Halafu naona wanawake hawajasitiri nywele, siunajua makobaz hayapendi kuona nywele za wanawake, wao husema huwapa nyege hehehe
adriz zitto junior MOTOCHINI
Stop tagging me kwenye mijadala yako ya kidini. Nani kakuambia mie muislam? I'm against zionism ila ulivyo na akili mbovu unadhani kila anayepinga wayahudi ni muislam.

Tundu Lissu ni critic mkubwa wa Israel ila ni mkatoliki.

Grow up
 
Hayo yanakuja tanzania ndani ya huu mwaka ...serikali pumbavu ya samia haiwezi kuendesha nchi bila ya ufisadi hivyo vikwazo vitakuwa na madhara mabaya sana kwa tz ...Samia ni genge la Raia feki kina ROSTAM AZIZ wanaitafuna nchi vibaya sana ....vitendo vyote vya kuwatafuta Wazalendo serikali na mitaani vinaratibiwa na makampuni ya simu ya Rostam Aziz ndiyo maana wafanyakazi wa serikali walianza kulazimishwa kutumia raini za simu za Rostam Aziz. SABABU KUU ILIYO MFANYA FISADI ROSTAM AZIZI KUNUNUA MAKAMPUNI YA SIMU NI
1)KUFUTA KUMBUKUMBU NA USHAHIDI WAO WA UFISADI NA UHALIFU WOTE AMBAO WAO WANAUFANYA NA WALIOUFANYA (UFISADI ,UJANGIRI,WIZI,MAUAJI,NK) .

2)KUWAFUATILIA NA KUWACHUNGUZA NA KUWABAINI WAZALENDO WOTE WALIOPO SERIKALINI NA KUWA UA AU KUWA TEKA.

(hata kutekwa kwa polepole ni kazi tukufu ya bwana ROSTAM AZIZI KWA KUTUMIA MAKAMPUNI YAKE YA SIMU.
Maandamano dhidi ya gharama kubwa ya maisha nchini Iran yameenea hadi vyuo vikuu kadhaa, huku wanafunzi wakijiunga na wafanyabiashara na wauzaji wa masoko (bazaars), vyombo vya habari vya serikali vimeripoti. Serikali imesema iko tayari kufanya mazungumzo na waandamanaji. Sarafu ya Iran (rial) imeporomoka karibu nusu ya thamani yake dhidi ya dola ya Marekani mwaka 2025, huku mfumuko wa bei ukifikia asilimia 42.5 Desemba. Rais Masoud Pezeshkian amesema amemuagiza waziri wa mambo ya ndani kusikiliza “madai halali” ya waandamanaji, na msemaji wa serikali akatangaza kuanzishwa kwa mfumo wa mazungumzo na viongozi wa maandamano.

Video zilizothibitishwa zinaonyesha waandamanaji wakitembea mitaani Tehran wakipiga kauli mbiu, huku mamia ya wanafunzi wakifanya maandamano katika vyuo vikuu vinne vya jiji hilo. Watu kadhaa mitandaoni wamesema bei kubwa na rushwa zimewasukuma wananchi “kufikia hatua ya mlipuko,” na kuonya maandamano yanaweza kuenea nchi nzima. Serikali haijaeleza bado namna mazungumzo yatakavyofanyika. Haya ni maandamano makubwa ya kwanza tangu mashambulizi ya anga ya Israel na Marekani mwezi Juni, ambayo awali yaliibua mshikamano wa kizalendo.

Uchumi wa Iran umeathirika kwa miaka kadhaa kutokana na vikwazo vya Marekani vilivyorejeshwa mwaka 2018, pamoja na vikwazo vya Umoja wa Mataifa vilivyorejeshwa Septemba. Tofauti za kipato, usimamizi mbovu wa uchumi na rushwa zimeongeza hasira za wananchi. Jumanne, rial ilishuka hadi takribani rial milioni 1.4 kwa dola moja—rekodi mpya ya chini. Iran pia iko chini ya shinikizo la kimataifa, huku Marekani ikitishia kuunga mkono mashambulizi zaidi iwapo Tehran itaendelea na shughuli za makombora au nyuklia, madai ambayo Iran inayakanusha ikisisitiza mpango wake wa nyuklia ni wa amani.

Stop tagging me kwenye mijadala yako ya kidini. Nani kakuambia mie muislam? I'm against zionism ila ulivyo na akili mbovu unadhani kila anayepinga wayahudi ni muislam.

Tundu Lissu ni critic mkubwa wa Israel ila ni mkatoliki.

Grow up
Acha uongo wewe ni Mfuga Midevu na Majini watu wote wana kujua kuwa wewe ni mtetezi wa Magaidi wa Hamas,Hezbollah,Houth na Islamic Jihad.

Tendu Lissu unamweka kwenye ujinga ambao hahusiki nao na umefanya hivyo kuhalalisha mambo yako maovu!!!
 
Magaidi wa Hamas,Hezbollah,Houth na Islamic Jihad.
Kila siku nakuuliza hapa gaidi ni nani? Mfano Rais wa sasa wa Syria ni zao la Al qaeda kabisa ila ndio rafiki mkubwa wa USA na Israel!! Je unajua hata RSF ni magaidi ila yanasapotiwa na Israel? Je nani anayeamua kuwa RSF ni magaidi wazuri ila hezbollah ni magaidi wabaya?
 
Ulivyo mjinga na mpumbavu unaamini wanasiasa!!!

Mwanasiasa akikuambia sasa hivi ni saa 11 jioni usimwamini toka nchi uhakiki kama kweli ni saa 11 jioni!!.TAL anavyovaa vibaragashia na kazu fupi wewe unajua ni Mfuga midevu na majini mwenzenu? Bure kabisa wewe!!
 
Wewe BUMUNDA kweli mpaka leo 2026 bado tu hujui Gaidi ni nani? Bure kabisa wewe!!!!!
 
Wewe BUMUNDA kweli mpaka leo 2926 bado tu hujui Gaidi ni nani? Bure kabisa wewe!!!!!
Jibu swali, kama gaidi ni wabaya why Al Sharaa awe rais wa Syria? Kwanini Israel inakubali kumsaidia gaidi wa Al qaeda kuwa rais wa Syria?

Huu unafiki wanafanya wao alafu nyie manyani ndio mnajifanya mnachukia sana ugaidi kuliko Israel na US!!
 
Ulivyo mjinga na mpumbavu unaamini wanasiasa!!!

Mwanasiasa akikuambia sasa hivi ni saa 11 jioni usimwamini toka nchi uhakiki kama kweli ni saa 11 jioni!!.TAL anavyovaa vibaragashia na kazu fupi wewe unajua ni Mfuga midevu na majini mwenzenu? Bure kabisa wewe!!
Hata video hujaangalia maana huwezi elewa mjadala ya kitaaluma we umezoea mijadala ya ngono na vigodoro!!

Hauna uwezo wa ku debate na mimi kwa lolote sehemu yoyote maana hakuna unachojua.

Your ignorance says a lot about the insurmountable garbage stored in your rotting brain!!
 
Jibu swali, kama gaidi ni wabaya why Al Sharaa awe rais wa Syria? Kwanini Israel inakubali kumsaidia gaidi wa Al qaeda kuwa rais wa Syria?

Huu unafiki wanafanya wao alafu nyie manyani ndio mnajifanya mnachukia sana ugaidi kuliko Israel na US!!
2026 bado hujui nani Gaidi ama kweli wewe BUMUNDA kabisa!!
 
Sasa nini maana ya kuwa na utawala wa kidini kama nchi bado inaweza kukabiliwa na lindi la ufisadi, ndio maana tunasema waga hamna utawala wa kidini hizo ni porojo tu za kisiasa ili wajanja watawale.

Eti USD 1 = 1,400,000 Irani Rials
Sasa hiyo kweli ni nchi. Ina maana bei ya mkate moja inaweza kuwa hizo Rials 1,400,000...!!!!

Iran ikae chini ijitathmini iache kushindana na Marekani kwani aliyekuzidi kakuzidi tu. Marekani ni sawa na mwamba na Iran eti inajaribu kupiga ngumi kwenye mwamba. Very funny.🤣🤣🤣🤣

Ufisadi umeingizwa tu hapo, ila shida ni economic starvation kutokana na Vikwazo.

Sasa inflation ya 42% Lazima watu waingie barabarani
 
Hata video hujaangalia maana huwezi elewa mjadala ya kitaaluma we umezoea mijadala ya ngono na vigodoro!!

Hauna uwezo wa ku debate na mimi kwa lolote sehemu yoyote maana hakuna unachojua.

Your ignorance says a lot about the insurmountable garbage stored in your rotting brain!!
Sina muda kuhangaika na UHARO wa BUMUNDA kama wewe. Unadanganyika na kiingereza Uchwara Mimi Mmatumbi hunitishi na UJINGA huo!!
 
Ripoti ya kijasusi iliyonukuliwa na The Times inadai kwamba kiongozi mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei ameandaa mpango wa dharura wa kutoroka Tehran kuelekea Moscow ikiwa machafuko ya kitaifa yataongezeka na vikosi vya usalama kuanza kuasi au kutotii maagizo.

Ripoti hiyo inasema mpango huo unahusisha kundi dogo la ndani, mali zilizowekwa tayari nje ya nchi, na unatumia mfano wa kukimbia kwa Bashar al-Assad kwenda Urusi, ikionyesha wasiwasi kuhusu afya ya Khamenei inayodorora, kutengwa wakati wa maandamano ya hivi karibuni, na hofu kwamba uaminifu ndani ya vyombo vya usalama unaweza kuvunjika kutokana na ugumu wa kiuchumi unaoongezeka na hasira ya umma.

(Joe Truzman kwenye X)
 
Back
Top Bottom