Serikali ya Iran yenyewe imekiri manyuklia yao yalipigwa na kuharibiwa mbaya mno, sasa mnaopinga humu mnatumia nini

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
33,575
Reaction score
53,613
Serikali ya Iran imekubali manyuklia yamesambaratishwa, ila makobaz humu JF yameshupaza na kutokwa mishipa utosini yakipinga kwamba hamna kilichotendeka kwenye hivyo vinu....
Mkibisha sana tutarudi humo na kupiga tena, mjue kilichopo sasa hivi ni ceasefire, ifahamike ceasefire ni kusitisha vita lakini sio mwisho wa vita, Israel akihisi au kunusa uwepo wa manyuklia, atapiga tena...

Iran’s Foreign Minister Says Nuclear Facilities ‘Seriously Damaged’​

The assessment came hours after the country’s supreme leader had downplayed the damage the U.S. strikes had caused.
Iran’s foreign minister, Abbas Araghchi, said on Thursday that the country’s nuclear facilities had sustained “significant and serious damages,” the first official acknowledgment of the extent of the damages caused by U.S. strikes on three nuclear sites.

The Atomic Energy Organization of Iran was still “surveilling the damages and losses,” Mr. Araghchi said in an interview with Iran’s state television. But, he added, “I have to say, the losses have not been small, and our facilities have been seriously damaged.”

 
Wakati huo wakikuyu wanaichoma Nairobi na kuvunja mageti na kuiba maduka
 
Kobazi akili kisoda
Lakini israel kachapika isingekuwa trump kuiombea pooo ingefutwa kwenye uso wa dunia
 
Sasa wewe unataka tuamini habari zilizo andikwa na The New York Times au habari zilizo semwa na Iran Suprime leader (Ayatollah) Waziri wake wa mambo ya nje ana mamlaka gani ya kupingana na kauli ya Boss wake?

Wakati mwingine tujaribu kutumia akili tulizo zaliwa nazo, yaani wewe hapo huoni kwamba hiyo ni janja ya Iran yakutaka kuzuia vinu vyake visishambuliwe tena na Merikani ambayo inafikiri kwamba vinu vyote vimeharibiwa beyond repair wakati hiyo si kweli, kutokana na taarifa za independent media zilizo fatilia operation hii, ndio maana Trump anashikwa na hasira, hataki ukweli ujulikane.
 
Lakini israel kachapika isingekuwa trump kuiombea pooo ingefutwa kwenye uso wa dunia
Hili la kuifuta huwa mnamaanisha nini mkuu

Kuifuta kwa kuwauwa wote au kuifuta kwa kuing'arisha kama mtu anapiga kiwi viatu?

Kama kuifuta kwa kuwauwa wayahudi, hii hata akisimamia shetani mwenyewe, ngoma hii ataikimbia mwenyewe
 
Kwani wew ni mgeni kwa waislamu?
 
Tulia acha kutoa milio ya Nokia.

Mzee Uchebe katandika Haifa katandika na Telaviv,na mkiliamsha tena anatandika tena humohumo🤸🤸🤸,manyoko zenu.
 
Sasa unataka waseme hayajaharibiwa ili Marekani ije iyaharibu kabisa?. Tumia akili wewe, Vita ni akili
Wewe na wenzio humu si mlidai hakuna uaribifu wowote uliofanyika mkaweka mpaka picha kama ushaidi na mkawa mnawashambulia watu humu kwa kejeli na matusi waliokuwa wanawapinga sasa leo inakuwaje unakubali kama uko mwanzo mlikataa humu, au ndio mnapelekwa pelekwa tu na upepo kama bendera? Trump na Netanyau sio wapumbavu kama nyinyi humu maamuma ujuaji mwingi kichwani weupe, subiri tu muda utasema na kila kitu kitakuwa wazi sio mnakurupuka tu kiandika andika na kubishabisha
 
Ugaidi wa hiyo dini yenu umemalizwa, hamna tena, unaona mpaka wale HAMAS na matakataka mengine yote yameufyata.
Israel sio mchezo...na mjifunze
kama vijana wenyewe wa Kenya ndo kama wewe,nimeacha kuwaone huruma.wauwawe tu
 
Hili la kuifuta huwa mnamaanisha nini mkuu

Kuifuta kwa kuwauwa wote au kuifuta kwa kuing'arisha kama mtu anapiga kiwi viatu?

Kama kuifuta kwa kuwauwa wayahudi, hii hata akisimamia shetani mwenyewe, ngoma hii ataikimbia mwenyewe
Wewe unahisi trump kampigia magoti ayatollah aache mashambulizi kizembe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…