Serikali ya Iran yenyewe imekiri manyuklia yao yalipigwa na kuharibiwa mbaya mno, sasa mnaopinga humu mnatumia nini

Serikali ya Iran yenyewe imekiri manyuklia yao yalipigwa na kuharibiwa mbaya mno, sasa mnaopinga humu mnatumia nini

Hili la kuifuta huwa mnamaanisha nini mkuu
Asilimia kubwa ya raia kuikimbia nchi.

Mwanadamu yoyote hawezi ishi sehemu ambayo hana uhakika na roho yake Kuwa salama .

Raia Wana maamuzi wanapogundua serikali Yao Haina uwezo WA kuwaokoa,hili Kwa Iran amefanikiwa Kwa kurusha makombora yakipiga yanapotaka bila kizuizi.

Siku 12 za vita,kama ulifatilia Kwa karibu,raia WA Israel walizuiwa kuondoka na serikali Yao.

Hii KAZI Kwa Sasa ameachiwa Houth,wanagonga kombora Tel Aviv. Siri ya sifuri
 
Moja Iran alikuwa hana Nuclear na hilo lilisemwa na wengi lakini Netanyau alitaka kupata kisingizio hata kabla ya 2015 kwamba Iran wana siku chache ku enrich Uranium (UONGO)...; Kwahio hio ilikuwa ni kutafuta sababu ambayo na Trump kwa mikemko amefanya alichofanya na kusahau kwamba Silaha kubwa ya Fundamentalist ni kuona kwamba wameonewa...

Obama aliingia nao mkataba wa kuacha Uranium enrichment ili kupata nuclear bombs akaja Trump kwa upuuzi wake na kupenda sifa akajiondoa na kuondoa USA katika makubaliano hayo...


Na kwa kufanya hivyo wamepata sababu kwamba wanaonewa ukizingatia hata hii regime ya leo ilisababishwa na hao hao USA / UK ; by the way kumbuka katika Six day war (kipindi hicho Iran na Israel walikuwa marafiki sababu Iran alikuwa pia anaogopa nguvu ya Arabs ku overswipe eneo)

Kwahio ushauri matokio kama haya usiyaangalia kwa immediate effects siku/wiki / au miaka wakati reactions inaweza ikachukua hata karne na generations...
 
1000438248.jpg
 
Ugaidi wa hiyo dini yenu umemalizwa, hamna tena, unaona mpaka wale HAMAS na matakataka mengine yote yameufyata.
Israel sio mchezo...na mjifunze
Ugaidi wa wakikuyu kuvunja na kupora maduka utaisha lini?
 
Back
Top Bottom