Serikali ya Iran yenyewe imekiri manyuklia yao yalipigwa na kuharibiwa mbaya mno, sasa mnaopinga humu mnatumia nini

MK254 baada mungu wenu kutandikwa kwasasa upo kutafuta kila kono au kichaka cha kujinasua na kumnasua Jehova baada ya kushindwa kuilinda iyo Israel ya Mchongo picha zipo wazi mtu wenu kapigwa Kachakaaaaa...
 
Nimeiona hii RT
 
Oneni kwa macho yenu Waisrael mamia walivokuwa wanakimbia kipigo ndan ya taifa la mchongo !!

mteleta nyuzi nyingi lkn Ukweli utabaki Ukweli usio jificha Israel imebutuliwa sio kupigwa tu..

Dunia aijawai kuona ichi kipigo Wazungu wamebeba mizigo km Wakongo kule Goma kutafuta Salama Iran ana dhambi na ndio Taifa teule..
 

Attachments

  • 1750980663694.png
    244.3 KB · Views: 20
  • VID-20250623-WA0046.mp4
    5.8 MB
Wapo wapi kina Echolmai IRAN hatari kaaaa mbaliiiiiii

mk 254 tunazo picha sisi wengine tukisema Waisrae wanaenda kuwa Watumwa upya tuna Ushaid wote ila tunanyuti tu..

Israel kama sio Tramp leo tunaongea mengine!!!!!

IRAN zaid ya wahuni uwajuao ww kaaa mbaliii !!

uko Marekan wameona ukweli halisi sio hu unaoujua ww ndio mana Wananchi Waliandamana kuogopa Iran isije ikaelekeza makombora uko Marekani..
 
Mimi bado sijajua tatizo NI nini

Mleta taarifa??

Chanzo cha taarifa??

Msemaji wa hiyo taarifa????
 
Kwahiyo hatuta sikia tena mzozo wa Nyukilia kuhusu Irani si ndio?
 
Mmarekani hajawahi kufanya kosa
 
Ugaidi wa hiyo dini yenu umemalizwa, hamna tena, unaona mpaka wale HAMAS na matakataka mengine yote yameufyata.
Israel sio mchezo...na mjifunze
Gen z wamewashinda, Ruto anakula pesa na Odinga kanunuliwa. Badala mdeal na matatizo yenu mnashadadia ya wayahudi wanaokuona manyani tu!!
 
Sasa unataka waseme hayajaharibiwa ili Marekani ije iyaharibu kabisa?. Tumia akili wewe, Vita ni akili
Mara ya kwanza nyie waarabu feki wa Manzese kwa Mfuga Mbwa mlikataa na kudai uharibifu ulikuwa mdogo sana sasa baada ya muathirika mwenyewe kutoa ushuhuda kama kawaida mnaanza unafiki wenu.

Angalieni hizo ndimi zenu msije mkaiponza Iran na kusabisha kazi irudiwe tena.
 
Gen z wamewashinda, Ruto anakula pesa na Odinga kanunuliwa. Badala mdeal na matatizo yenu mnashadadia ya wayahudi wanaokuona manyani tu!!
Nyie kuing'oa ccm mmeshindwa mnaenda kushabikia Iran ambao hata hawawajui eti waifute Israel kwenye ramani ya dunia..!!😛😛
 
be carefully, ni mtego huoooo nendeni mkajipendekeze tena
 
Amani Itawale Duniani
Vita Ni Mbaya Sana Sana
 
Mimi bado sijajua tatizo NI nini

Mleta taarifa??

Chanzo cha taarifa??

Msemaji wa hiyo taarifa????
Utaelewa tu kwa izo picha tu mshindwa uitaji tochi kumjua pitia ivo picha kisha twambie nani Mshindi wa Vita ya siku 10?????
 

Attachments

  • images (3).jpeg
    29.1 KB · Views: 16
  • 1750980663694.png
    244.3 KB · Views: 21
Sasa unataka waseme hayajaharibiwa ili Marekani ije iyaharibu kabisa?. Tumia akili wewe, Vita ni akili
Hii issue ya nyuklia hazikuharibiwa walioianzisha ni jumuiya ya israel walioko US, na Iran nao wakauvaa mkenge wakaidakia juu kwa juu. Nia na madhumuni yao wanataka Trump arudi kule ku bomb tena kwa sababu wanaona Iran bado ana nguvu ya kurusha makombora. sasa hivi Israel wanakula timing watarudi kule muda si mrefu.
 
😂😂🙏🙏
 
Utaelewa tu kwa izo picha tu mshindwa uitaji tochi kumjua pitia ivo picha kisha twambie nani Mshindi wa Vita ya siku 10?????
Kwani hii habari inaelezea Nani kashindwa na Nani kashinda????
 
Sasa unataka waseme hayajaharibiwa ili Marekani ije iyaharibu kabisa?. Tumia akili wewe, Vita ni akili
Hio ni siasa lakini mtoa mada kachanganyikiwa kwa kipigo walicho pelekewa Iran. Huyu mtoa mada si alijisifia hawa makamanda wanne wameuliwa na Israel mbona wako hai


Rising Lion akabaki mdomo wazi


View: https://youtu.be/jJz3d7-oMVE?si=TGVjlTd3x1yQINI-
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…