Mkuu,Kuhusu shule hii Jamii husika nayo inabeba Lawama inafaa wakaazi wote wa hapo wachapwe viboko kuanzia wazee hadi watoto wanashindwa vipi kutumia udongo kufyatua tofali na vigae vya kuezekea wajenge shule bora kuliko hilo banda la mbuzi.
Hapa ndipo nilipompendea Mjerumani wote hao ni viboko ndani ya miezi mitatu shule ya kisasa imejengwa.
Ina maana hawaoni udongo,hawaoni kuni tele hakuna miti porini wakate mbao.
Tuache uzembe kujenga shule bora ya kisasa kwa kutumia nguvu hata milioni 20 haifiki unapata madarasa 20 kwa nguvu kazi.
View attachment 2073921
Hahahaaa... naona moyoni mwako unatamani vita kuu ya dunia ya 3 ili isahihishe mwelekeo wa dunia siyo? (natural process of earth habilitation and rehabilitation)Kama tunaweza nunua makocha wa team toka nje kwann tusinunue watu wa kutuongoza toka nje kwa ajira ya miaka mitano mitano ukishindwa unafukuzwa ukiiba tunakufunga.
Hawa wanasiasa hamna kitu.
Tuajiri raisi, Waziri mkuu,Makamu wa raisi hana Kazi ni matumizi mabaya ya Kodi zetu.
Wabunge hawana Kazi wanakula bure kodi zetu tutamfute muundo mwingine wa kupata maoni toka kwa wananchi,si lazima kuwe na mbunge.Social media zinatosha KILA mtu anamtuma maoni yake kwa kamati maalumu.
Bajeti ya nchi iandaliwe na wanachuo kwa makundi yote hawa wanayajua maisha halisi ya watz.
Kama watu ni wavivu ni lzm walazimishwe kufanya Kazi.Mkuu,
Ukichapa watu viboko, wanaharakati watakuzulia jambo kuhusiana na uvunjifu wa haki za binadamu. Tz imeridhia mkataba wa haki za binadamu na kuwa nchi pekee barani Afrika ambayo imeingiza protocol hiyo kwenye Katiba yake (Katiba yetu ni bora.... jamani)
Mwafrika bila kiboko aendi angalau Magu alijutahidi achilia mapungufu mengine.Hahahaaa... naona moyoni mwako unatamani vita kuu ya dunia ya 3 ili isahihishe mwelekeo wa dunia siyo? (natural process of earth habilitation and rehabilitation)
Madhara ya kuwa na viongozi wasio na maono ya karne nyingi mbele.Aibu, nchi ina chuma , almasi, tanzanite, dhahabu, mlima Kilimanjaro, bandari, etc mazuzu wanawaza kukopa ili wajenge vyoo
Mkuu,Madhara ya kuwa na viongozi wasio na maono ya karne nyingi mbele.
In short bongo mnaongozwa na vilaza waliotukuka wenye ujasiri wa kuwarubuni wadanganyika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wote hamnazoMkuu,
Ni sahihi kusema wananchi ni Wadanganyika ila viongozi ni Watanganyika au?
“To measure a country’s wealth by its gross national product is to measure things, not satisfactions.”Kama serikali imeshindwa hata kusambaza mashine za kufyatua tofali na vigae vya kuezekea Ili watz wajenge nyumba bora wasikae kwenye nyumba za nyasi na udongo kama panya kweli hii ni serikali kweli?
Ni kweli mkuu,Kama watu ni wavivu ni lzm walazimishwe kufanya Kazi.
Kuna kijiji pwani wazazi waliombwa wajitolee nguvu shule ijengwe kwa ajili ya watoto wao waligoma wakasema wajitolee walimu kwani wao wanalipwa mshahara hapa bila fimbo watafanya vipi kazi.
Mjerumani aliwachapa viboko live mbele ya familia zao wakulima wote wazembe wasiopalilia mashamba yao wasilete njaa kijijini
Mswahili ni mtu moja mbaya sana!Habari!
Huu uzi ninauandika nikiwa na jazba na ghazabu.
Nimefanya kazi mgodi wa GGM(GEITA GOLD MINE), kisha nikafanya Mgodi wa Bulyanhulu uliokuwa ukimilikiwa na Barrick kisha Acacia.
Ardhi yetu imemeza matrilioni ya fedha.
Nimefanya kazi kwenye hifadhi ya Serengeti kwenye hoteli ya kitalii FOUR seasons na kuizungukia hifadhi kwa umakini siku za off. Ni utajiri mtupu.
Ukianzia Tanga mpaka Mtwara kuna bahari, kuna maziwa , kuna hifadhi nyingi, kuna mapori mengi.
Tuna madini ya chuma, gesi, makaa ya mawe, ardhi inayosapoti kila aina ya mazao.
Kama zao hili halikubali Mbeya basi Morogoro linakubali, kama Lindi halikubali Njombe linakubali n.k, n.k
Sasa mpaka leo serikali imeshindwa kutoa mkopo kwa wanafunzi wote wa chuo kikuu,
Serikali imeshindwa kutoa huduma za afya bure.
Serikali imeshindwa kuondoa nyumba za manyasi na udongo kwa kuboresha sekta ya kilimo na ufugaji.
Je, si wakati sasa serikalini kujiuzulu?
View attachment 2073871hii ni shule ya serikali jamani sio kilinge cha mganga wa kienyeji.
Kwa falsafa hiyo ya Nyerere, Mwigulu yuko sahihi kuchukuwa tozo?Ni kweli mkuu,
“If real development is to take place, the people have to be involved.”
Julius Kambarage Nyerere, from his book Uhuru na Maendeleo (Freedom and Development), 1973. -
Aibu, nchi ina chuma , almasi, tanzanite, dhahabu, mlima Kilimanjaro, bandari, etc mazuzu wanawaza kukopa ili wajenge vyoo
Very sad, tusiiache kuwa enlighten watu wajue walipo na inapotakiwa kuwepo.Wakati kisiwa cha Bahama kina beach tu…BEACH TUU MKUU…ni one of the high income countries..wanaenjoy healthcare nzuri, modern infrastructure you name it…sisi sijui tunafeli wapi CCM inatushinda kuitoa…wametuloga sijui na zile rangi ama bado wanatembelea nyota ya Nyerere sijui..
Muda utaongea, Ikulu watapakimbia wenyewe..
Mmmmh[emoji23]Aibu, nchi ina chuma , almasi, tanzanite, dhahabu, mlima Kilimanjaro, bandari, etc mazuzu wanawaza kukopa ili wajenge vyoo
Kwa falsafa hiyo ya Nyerere, Mwigulu yuko sahihi kuchukuwa tozo?