Kalunya
JF-Expert Member
- Oct 5, 2021
- 13,322
- 18,609
Kama tunaweza nunua makocha wa team toka nje kwann tusinunue watu wa kutuongoza toka nje kwa ajira ya miaka mitano mitano ukishindwa unafukuzwa ukiiba tunakufunga.
Hawa wanasiasa hamna kitu.
Tuajiri raisi, Waziri mkuu,Makamu wa raisi hana Kazi ni matumizi mabaya ya Kodi zetu.
Wabunge hawana Kazi wanakula bure kodi zetu tutamfute muundo mwingine wa kupata maoni toka kwa wananchi,si lazima kuwe na mbunge.Social media zinatosha KILA mtu anamtuma maoni yake kwa kamati maalumu.
Bajeti ya nchi iandaliwe na wanachuo kwa makundi yote hawa wanayajua maisha halisi ya watz.