Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HakupitikiHapo one way ni balaa tupu
Sikubaliani na machinga kupanga bidhaa zao kila sehemu. Shida ni sera mbovu za viongozi wetu ndio zimelilea tatizo hili. Nimejifunza hii inchi kila kiongozi anakuja na dira yake; hivyo taifa kama taifa halina dira.Ukienda ulaya hata Asia nchi nyingi ,Machinga wanakuwa na soko lao maalumu kubwa, na pia wenye maduka wanabaki madukani, Sasa inakuaje Machinga hataki fremu anataka akakae barabarani Tena mtaa wenye maduka, njia hazipitiki hili halikubaliki. Serikali ya jiji la dodoma nawaasa muwaondoe Hawa Machinga wanaoziba barabara katika mji huu ambao Sasa unapata wageni Hadi kutoka ulaya
Tena kenge majiUlaya ni ulaya afrika ni afrika kenge wewe.
Yamefanyika wapii? Bado wapo huku wameziba njia zote hakuna sehemu za watu kutembea. Nchi nzima wanaondelewa barabarani kasoro Dodoma.Nadhani haya yashafanyika...
Dodoma wamejaa vilazaYamefanyika wapii? Bado wapo huku wameziba njia zote hakuna sehemu za watu kutembea. Nchi nzima wanaondelewa barabarani kasoro Dodoma.
Inasikitisha sana...
Vilaza haswa. Halmashuari ni jipu, hata stendi ya daladala hamna. Route za daladala hazieleweki, wamekaa tu ofisini wanatafuta namna ya kuiba fedha.Dodoma wamejaa vilaza