Serikali ya jiji la Dodoma Ondoeni Machinga barabara ya One way na barabara ya Nyerere square

Sikubaliani na machinga kupanga bidhaa zao kila sehemu. Shida ni sera mbovu za viongozi wetu ndio zimelilea tatizo hili. Nimejifunza hii inchi kila kiongozi anakuja na dira yake; hivyo taifa kama taifa halina dira.
 
Yamefanyika wapii? Bado wapo huku wameziba njia zote hakuna sehemu za watu kutembea. Nchi nzima wanaondelewa barabarani kasoro Dodoma.
Inasikitisha sana...
Dodoma wamejaa vilaza
 
Dodoma wamejaa vilaza
Vilaza haswa. Halmashuari ni jipu, hata stendi ya daladala hamna. Route za daladala hazieleweki, wamekaa tu ofisini wanatafuta namna ya kuiba fedha.
 
mtaa wq vitumbua uendelee hapa barabara ya 8 msikitin.wenyewe tunapata vitimbua vya kiswahil na bagia na chai tam tam kabla ya kuwahi ofisin mtumba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini watolewe oneway? Wapelekwe wapi? Ww unashindwa kupita kwani hyo brbr ni ya kupitisha magari? Sisi wachuuzi wa hapo mjini kati hatupati shida tunapitisha magri yetu tena bila stress kwnye barabra zinazihusika kupitisha magari. Mtatanya watu wahame nchi yao wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…