Serikali ya Kenya imemtimua Miguna Miguna kwa kumsafirisha kwenda Canada

Serikali ya Kenya imemtimua Miguna Miguna kwa kumsafirisha kwenda Canada

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
24,941
Reaction score
28,869
KENYA: Serikali imemsafirisha Mmoja wa Viongozi wa NRM, Miguna Miguna kuelekea nchini Canada ikiwa ni saa chache baada ya Majaji kusimamisha kesi zake zote kufuatia Polisi kushindwa kumfikisha Mahakama Kuu

Ifahamike kuwa Miguna Miguna ana uraia wa Kenya na Canada

Taarifa zisizo rasmi zinasema Serikali ya Canada iliiandikia barua Kenya kuonyesha wasiwasi juu ya raia wake alikuwa akinyanyaswa na walitaka arudishwe nchini humo

Hatua hiyo ya Majaji wa Mahakama Kuu inakuja baada ya Kiongozi huyo kufunguliwa kesi ya uhaini kwenye Mahakama ya Kajiado hapo jana

Tarehe 5/02/2018 Mahakama Kuu iliamuru Miguna afikishwe Mahakamani hapo ila Polisi hawakufanya hivyo, kupelekea IG na DCI kuitwa Mahakamani hapo kutolea ufafanuzi swala hilo

Miguna Miguna alikamatwa nyumbani kwake huko Runda kutokana na kushiriki kwake kuapishwa kwa kiongozi wa Upinzani, Raila Odinga

======

Self-proclaimed National Resistance Movement (NRM) general Miguna Miguna was on Tuesday night deported after a five-day demeaning encounter with Kenyan police.

The deportation has left many Kenyans wondering on the government stand on the rights of its citizens after the controversial lawyer was denied fair trial since his dramatic seizure at his Runda home in Nairobi on Friday.

A senior government official said that the CS Fred Matiang’i led Interior and National Coordination Ministry will give a detailed statement on Wednesday morning, according to Nation.

According to the unnamed official, when Miguna Miguna was arrested, the Canadian government wrote to Kenya expressing concerns that their Citizen was being harassed. As a resolve, they wanted him back and thus the deportation.

A social media page attributed to the government said the State had headed the advice of the court to have Miguna freed and further offered him a ticket home.

At around 10 pm Tuesday, Miguna was ejected from the country on a KLM flight.

“We are reliably informed that Miguna Miguna has been forced into a KLM flight for ‘deportation’ to Canada,” lawyer Nelson Havi who is Miguna’s lead counsel said in a tweet.

Havi took a swipe at authorities over the alleged deportation of Miguna.

He charged: “Now, how do you deport a Kenyan? This Country has been overrun by criminals.”

Another lawyer, Dr John Khaminwa told Nation his client “was forced into a-KLM flight minutes to 10 pm and we gather he is headed to Canada.”


Source: KTN KENYA
 
Feb 6, 2018
Nairobi, Kenya

Earlier on today the top news of the day was :
The High Court has this evening barred police from filing any criminal case against Miguna Miguna anywhere in the country before they purge the contempt of court for failing to deliver him in court.
On Tuesday, the High Court in Nairobi directed the police to release (habeas corpus Act) self-proclaimed NRM general on anticipatory bail as issued by the court.

“If not yet charged then he remains free since there was an order that he be released on anticipatory bail,” read the ruling by Justice Luka Kimaru.

The judge further indicated that Miguna has a right to file appropriate suit seeking compensation for unlawful detention.

“It is evident that Miguna Miguna was kept incommunicado,” read Justice Luka Kimaru.

Miguna declined to take a plea in Kajiado court, forcing the case to be brought back to Nairobi. He told the court that he was held incommunicado for five days without access to his family or a lawyer.

The former Nairobi governor contestant said police officers humiliated him by locking him up in conditions “unfit for human existence.”

High Court Judge Luka Kimaru barred the Director of Criminal Investigations (DCI) George Kinoti and the Inspector General (IG) of the police Joseph Boinnet from preferring any criminal charges against him.


Source: KTNKENYA
 
bcb974ef7af3890f936498113a537527.jpg

Kiongozi wa kundi lililopigwa marufuku la NRM, Wakili Miguna Miguna Serikali imemtimua nchini Kenya kwa kumsafirisha kwenda Canada kwa ndege ya KLM.

Wakili huyo ana uraia wa nchi mbili, Canada na Kenya.

Jana alifunguliwa mashtaka ya uhaini kwa kushiriki kuapishwa Odinga.

=======

Miguna 'deported' to Canada - lawyer Nelson Havi

Lawyer Miguna Miguna's family and other sources say he has been "deported" to Canada.

This is according to his lawyer Nelson Havi who was interviewed by KTN News at about 11pm on Tuesday night.

Havi said he had been "reliably informed" of the 'deportation' by sources at the JKIA and in Miguna's family.

He said the controversial lawyer and Nasa politician, who has dual citizenship, was forced into a KLM flight at the airport in Nairobi.

Havi also reported that the NRM general's passport had been suspended.

Miguna's troubles began when he stamped documents used for Nasa leader Raila Odinga's self-inauguration as the people's president at Uhuru Park in Nairobi on January 30.

He was there with leaders including Ruaraka MP TJ Kajwang, who administered the oath, and Siaya senator and lawyer James Orengo, who has represented many of the coalition's politicians in legal matters.

The whereabouts of the lawyer have been unclear since police chiefs defied High Court orders to produce him in court and grant him release on bail.

Following this defiance, judge Luka Kimaru ordered DCI director George Kinoti and Flying Squad boss Said Kiprotich to personally present Miguna in court by latest 11 am on Wednesday.

Kimaru also suspended all proceedings against the self-declared National Resistance Movement general, until more orders are given tomorrow. He said this would prevent further "mischief and disobedience".

He said the DPP will freshly instruct Kinoti and Kiprotich should Miguna not be produced in court.

In his interview, Havi termed the government's efforts against his client as exercises in futility.

In his KTN interview on Tuesday night, lawyer Ahmednasir Abdullahi said: "Miguna is so insignificant in Kenyan politics so there is no need for police to detain him unlawfully."

He added Raila's oath-taking did not amount to treason as his people's president role is "imaginary" and only aimed at appeasing his supporters.

At a press briefing earlier today, Wiper party leader Kalonzo Musyoka said president Uhuru Kenyatta's Jubilee Party adminstration has reported to the Nasa crackdown as it is panicking.

"The panic by Jubilee tells it all. If they are firmly in control, why panic?" he posed.

Meanwhile, reports indicate that Orengo and Mombasa governor Hassan Joho are among the latest victims of the governments crackdown on the National Super Alliance.

The two are said to be among 14 politicians whose passports have been suspended. Joho also attended Raila's ceremony.

Others are former Machakos senator Johnson Muthama, business mogul Jimmy Wanjigi and Nasa strategist David Ndii.

Earlier reports indicated the Immigration department suspended about 38 pass[ports belonging to MPs allied to the opposition.

Director Gordon Kihalangwa said in a notice that the persons affected had 21 days to surrender the document, failure of which they will be declared null and void.
Miguna 'deported' to Canada - lawyer Nelson Havi
 
Wakenya, ndugu majirani mna vituko....How can you deport a Kenyan from Kenya? I thought you guys are allowed to have dual citizenship? Even if he renounced it..Citizenship is his constitutional right surely!

He is being given too much importance...Barking dogs seldom bite...It is the quiet dogs JW caliber they should worry about...

Matianginization....This man Matiang’i is on the level of Chunga and Tuiyott....no chills whatsoever...I would be afraid of my shadow crossing his path...

The saga continues...Who will be next?
 
Bye bye Miguna Miguna! Huu mchezo haunaga huruma asee! Alisimama mbele ya wanahabari huku akikenuakenua na akiwa amejawa na kiburi. Akatangaza laivu kwamba yeye ndo jenerali wa kikundi kilichoharamishwa cha NRM. Hakuachia hapo, kisha akawaambia wadhubutu kumtia mbaroni. Alitumia maneno haya kukejeli vyombo vya usalama; 'Come baby come'! Ona sasa. Acha arudi kwao tu, maanake hamna namna!
 
Wampe nchi MAGUFULI kwa wiki moja tu.

Kama ulisikia matamshi ya waziri wa sheria bungeni jana. "Raisi wa jamhuri ya muungano ni mmoja tu, naye ni JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI, na hakuna mwingine ni mmoja tu, naye ndiye mkuu wa majeshi na jemedari mkuu" nikasema moyoni, ikitokea mtu akajiapisha kuwa rais kama Kenya, sijui ingekuwaje.
 
Wampe nchi MAGUFULI kwa wiki moja tu.

Kama ulisikia matamshi ya waziri wa sheria bungeni jana. "Raisi wa jamhuri ya muungano ni mmoja tu, naye ni JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI, na hakuna mwingine ni mmoja tu, naye ndiye mkuu wa majeshi na jemedari mkuu" nikasema moyoni, ikitokea mtu akajiapisha kuwa rais kama Kenya, sijui ingekuwaje.
Acha kutuvurugia mada na wewe.
MBONA MAFISADI WA CCM WANAMSHINDA?
 
Kaaazi kweli kweli
Majanga!
Asikudanganye mtu kwamba haya yote ni kwasababu ya kuapishwa kwa Raila tu. Kuna mengi yanayoendelea kimya kimya huku uchunguzi ukiendelea. Inasemekana kwamba hiyo siku ya kuapishwa kwa Raila kuna vijana wengi ambao walisafirishwa kuja Nairobi. Hawa vijana walikuwa wamekabithiwa bunduki na silaha kali kali ili wazitumie kukabiliana na polisi. Ngoma bado, utajoinea mengi tu hivi karibuni!
 
Kenya cjui ndio democrasia au ni uoga na kukosa maamuzi.Raila odinga alijiapisha ucku??!! Ilikuwa mchana na aliitangazia dunia yoote.mpk anaomba ulinzi mlikuwepo.cku anajiapisha alilindwa na rais kw kuvizuia vyombo vya dora visitimize wajibu wake.baadae mnavifungia vyombo vya hbr huku nyie ndio mliruhusu.kw nn msingemkamata raila hiyo cku.
 
Is dual citizenship a new deterrence to political activism in Africa?

I know, Canada did intervene on behalf of their citizen Miguna Miguna, hence his deportation. But this makes me wonder.

Can this precedence give African leaders another arrow in their quiver to deal with some "obnoxious" opposition firebrands?

Time will tell.
 
Kenya cjui ndio democrasia au ni uoga na kukosa maamuzi.Raila odinga alijiapisha ucku??!! Ilikuwa mchana na aliitangazia dunia yoote.mpk anaomba ulinzi mlikuwepo.cku anajiapisha alilindwa na rais kw kuvizuia vyombo vya dora visitimize wajibu wake.baadae mnavifungia vyombo vya hbr huku nyie ndio mliruhusu.kw nn msingemkamata raila hiyo cku.
Labda ulizaliwa jana. Wewe tulia hapo hapo, shughulika na mambo mengine. Kenya huwezi ielewa.
 
Back
Top Bottom